sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UTATA: Ufanye Kazi ambayo huipendi ila inakulipa sana au ufanye kazi unayopenda ila inakulipa wastani?

    (Eneo la salamu na utangulizi ) Mfano, ufanye kazi ya ukonda, kwa siku uweke mfukoni 30-50k kwa mwezi hio ni 900-1.5M ila huipend wala haikupi amani ya moyo (Yan kwa kifupi unaichukia kazi) Au ufanye kazi yenye mshahara wa wastani ila inakupa amani na unaipenda, eg Ualimu hapo unachukua zako...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo sahihi sana. Je, muungano si unaweza kuvunjika wakati wowote tukabaki na mikataba ovyo iliyosainiwa na wageni?

    Freeman Mbowe yupo sahihi kabisa kuhoji ni akina nani wanahusika kusaini mikataba hasa ile inayotekelezwa upande mmoja wa muungano. Haiwezekani mkataba mkubwa wenye kuhusisha lango kuu la Tanganyika ukasainiwa na watu wanaotokea upande mwingine wa muungano! Hivi mkataba huo ukiwa na hujuma na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mwema sana ila amezungukwa na watu waroho na wenye roho mbaya

    Kwanza kabisa huyu mama ni mchamungu na nadhani nyie wenyewe ni mashahidi, hajawahi kuingia msikitini na camera. Mama amekuwa ni mtu wa kutoa sadaka kwa wingi hasa kwa watu wenye uhitaji na hata wale anaowapa misaada huwa hatuoni wakimulikwa na camera kama alivyokuwa anafanya mwendazake. Suala...
  4. JamiiForums Tanzania Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

    (ANGALIZO: NAONGELEA WACHESHI NA SIO MALAYA..ucheshi hauna uhusiano na tabia mbaya) Habari za leo wana chit-chat wenzangu. Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata. Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine. Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya-...
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

    Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe. ========= In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine. “In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they...
  6. JamiiForums Tanzania Hosting ni expensive sana

    Aise kama unataka kuanza ku code kitu kabla hauja chagua frameworks hakikisha unapitia cost za deployment kwanza, bila hivyo utajikuta system yako unatumia mwenyewe kwenye localhost Ipo hivi ulitumua python kama backend cost hazishikiki Web App - Tumetumia Azure web app ($55/mo) Postgresql -...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

    Kwa uchunguzi wangu binafsi nimeona ndoa nyingi sana zinapata changamoto ya kupata mtoto. Hapa mjini wadada karibu wote wameharibika. Ndiyo maana wengi hata wakibahatika kuolewa kupata mtoto inakuwa tabu sana. Na wengi wao hawazai kabisa. Wanawake wengi wa mjini Mjini wanatumia vizuia mimba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
  9. JamiiForums Tanzania Ninampenda sana ila kwa hili sifikirii kama nitaendelea kuwa nae

    WAKUU POLENI NA PILIKA PILIKA ZA TETESI ZA BANDARI YETU KUUZWA....... Twende direct kwenye mada tajwa hapo juu, Nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kutoka kanda ya kaskazini........tulifahamiana toka nikiwa advanced level. yeye alikuwa anasoma shule ya girls halafu mimi nipo...
  10. JamiiForums Tanzania Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge wetu mnasikitisha sana

    Wabunge wetu mnawawakilisha wananchi wapi? Mbona mmeshindwa kuwawakilisha dukuduku lao la bandari? Je, mlichaguliwa kwenda kumsifu chifu tu? Hivi walioeleza dosari za mkataba ule wote walikuwa na nia ovu kweli? Kwanini katika bunge la kujadili mkataba/makubaliano hayo hamkujadili issues badala...
  12. JamiiForums Tanzania Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

    Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom. Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi nyuma, 1. Nywele zinanyonyoka af zilizobaki zinakua kama za kiarabu. 2. Mabega yanapanda juu na...
  13. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ludewa Tunasema Asante Sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Sisi Tanzania ni watu wa ajabu sana! Hakuna tunachoweza zaidi ya UCHAWA!

    Yaani watu mnakwenda tu kwenye maonyesho na mnarudi mmesainishwa mikataba ya kimangungo ya " kuuza" bandari zenu kwa waarabu! Baada ya TICTS kumaliza muda wao iko wapi taarifa ya kina ya utendaji wao ili tuone manufaa, changamoto na skills transfer ambayo Watanzania wamepata ili kuweza...
  15. JamiiForums Tanzania Zamani title ya Profesa (PhD) ilikuwa inaheshimika sana

    kwa masikitiko makubwa sana nimetokea kuanza kuwadharau sana watu wanaojiita Maprofesa na PhD's. Hawa watu hawana tofauti na laymen wasiojua kusoma na kuandika. Inawezekana hata wakazidiwa uwezo wa kutambua mambo kwa mbali sana na wengi waliomaliza elimu ya darasa la saba! Nimegundua kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hitimisho langu. Ni ishara nzuri ya kuongezeka kwa confidence kwa Wawekezaji ila kwetu tuzidi kupambana na ujinga na chuki hawa ni maadui wakubwa sana

    Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu. Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
  17. JamiiForums Tanzania Kennedy Musonda katoka mbali sana

  18. JamiiForums Tanzania Hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD

    Hadi muda huu, hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD Vile vile hakuna mkataba uliosainiwa kati ya nchi yetu na Dubai, isipokuwa kilichosainiwa ni AGREEMENT kati ya Tanzania na Dubai; kwa Dubai kuwekeza kwenye sekta ya Bandari NOT ALL AGREEMENTS ARE CONTRACTS, BUT...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Afrika haina kizazi kama cha akina Samuel Doe na Thomas Sankara. Waafrika wataumia sana na kuibiwa na mafisadi

    Miaka hiyo ilikiwa sio rahisi kusikia rais fisadi na anayekumbatia ufisadi huku raia masikini wakiteseka akikaa madarakani alipinduliwa na kuuwawa kwa maslahi ya taifa. Samuel Doe alifanya kweli kwa kumuondoa Torbet na genge lake. Thomas Sankara alifanya kweli na mapinduzi yakafanyika na...
  20. JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Tanzania bado sana aisee

    Msemaji wa serikali Msigwa kaita waandishi kutoa "ufafanuzi" wa serikali kuhusu mkataba wa bandari, alipomaliza akasema: Kwa hiyo ndugu zangu naombeni muwaambie Watanzania dhamira ya serikali ni njema...... Mmenielewa ndugu zangu?? Waandishi wakaitikia ndioooo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…