Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2022
1,689
3,264
Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger.

Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege kutoka Ulaya kwenda Nigeria hupita Niger. Sasa itabidi zizunguke. Mali nao wakifunga itazibidi zizunguke mbali kabisa na kuongeza gharama kwa wasafiri. Vita hata ukiwa mkubwa lazima ikuathiri.

IMG_20230807_094126.jpg
 
View attachment 2710780
How did USA manage to "kill" Afghanistan?
 
No Putin anafurahia Mapinduzi ya Africa wakati Wagner walipotaka kumpindua alibaki kulia Lia hadi Luka Shenko akaingilia kati ili asipunduliwe.
Urusi kujikita Africa ni kumaliza kabisa hata ile aman robo tuliyobakiwa nayo.
Rafiki hivi kwa akili Yako unaamini hao Vagner wangeweza kumpindua Putin?
Na je una habari zotezote juu ya uasi wa Chechen kutaka kujitenga miaka ya 90?
Na je unawajua wachechen vizuri?

Na je
Unajua putia alimalizaje shoo hiyo?
 
No Putin anafurahia Mapinduzi ya Africa wakati Wagner walipotaka kumpindua alibaki kulia Lia hadi Luka Shenko akaingilia kati ili asipunduliwe.
Urusi kujikita Africa ni kumaliza kabisa hata ile aman robo tuliyobakiwa nayo.
Ambayo imeharibiwa na Marekani na vikundi vyake vya kigaidi!!? Ila mnampongeza .... Bora wazazi wako wangetumia kondomu tu...kuliko kuleta kiumbe hovyo kama wewe humu duniani...
 
Sawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
 
No Putin anafurahia Mapinduzi ya Africa wakati Wagner walipotaka kumpindua alibaki kulia Lia hadi Luka Shenko akaingilia kati ili asipunduliwe.
Urusi kujikita Africa ni kumaliza kabisa hata ile aman robo tuliyobakiwa nayo.
Duh, kifupi wagna ni sehemu ya jeshi kivuli la urusi na prigozhin kateuliwa tu, huu no mwamvuli wa kuweza kuingia popote muda wowote bila kuvunja sheria za kimataifa ndio maana Wagner hawanunui silaha kutoka rushia ila wana demand supply
 
Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali, hakunaga mshindi kwenye vita.
Uroho wa Nigeria ni kupata Dili la ujenzi wa Bomba la gas kwenda Ulaya ambalo ni lazima lipite Niger baada ya Mrusi kuwakatia gas wazungu.
 
Sawa. Ngoja nitumie uwepo wangu wa bahati mbaya kukupa elimu.
Ugaidi wa Africa chanzo ni middle east countries kwa kushirikiana na ngozi nyeusi.
Uhovyo unahisi mimi ninao ndiyo umefunga akili zako hata uoni namba ukutani.
Tukutane Calvary.
Ugaidi ni sera na mipango ya wakuu wa dunia kupitisha ajenda zao sawa na ilivyo ushoga, corona,nk.
 
Back
Top Bottom