MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?

Screenshot 2023-08-10 at 16.12.18.png
 
Boss wetu tunampenda sana ila manung'uniko yamezidi, masimango ndio usiseme, kila siku ni kuandikiwa tweet za mipasho na masimango.

Safari ya matumaini sidhani kama tutafika na kama tutafika basi tutafika tumechoka mnooo!

E2AD0785-D508-4BE7-B8C1-DD14EB942BFC.jpeg

Hii ni muda mfupi uliopita leo kuelekea match ya ngao ya hisani mjini Tanga.
 
Back
Top Bottom