kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,332
- 12,647
Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi ya mabeberu.
Kama Ufaransa itaipiga Niger kwasababu ya wanaiger kumkataa kiongozi wao asiyewanuisha ni ushahidi tosha kuwa kiongozi wao alikuwa akiwanufaisha wafaransa zaidi kuliko wao, kiongozi wao ni pandikizi la wafaransa kwaajili ya wafaransa. Maana yake ni kwamba uchaguzi wao uliingiliwa na Ufaransa kwaajili ya Ufaransa,
Hii ni kengele ya kutuamsha waafrika kujua kuwa kumbe umaskini wetu sio wa bahati mbaya, kumbe baadhi ya viongozi wetu ni mapandikizi, kumbe demokrasia ya uchaguzi ni uchochoro mzuri na mpana wa mabeberu kutupandikizia watu wao kwaajili yao, kumbe tunataka hatutaki lazima tunyonywe, kumbe, kumbe, kumbe Afrika haiko huru kabisa na kumbe baadhi ya viongozi ni vibaraka wa Wazungu ndio maana umoja wa Afrika kamili haupatikani.
Juzi tumesikia kuwa Benki ya dunia imesitisha mikopo kwa Uganda kwasababu ya kupinga ushoga. Hii Ina maana kwamba kumbe nchi zote ambazo hazikusitishiwa misaada na World Bank zimeukubali ushoga. Benk ya dunia na ushoga vina uhusiano gani? Waafrika amkeni kumekucha.
Kumbeee, sio chaguzi zote za kidemokrasia ni za kidemokrasia!! Kumbe kuna wakati ni afadhali ya kumshuru Jecha Salum Jecha nyakati za uchaguziiii!
Wafrika tufungue mboni zetu ili kujua kuwa Kuna mapinduzi baridi na mapinduzi moto yenye athali zinazofanana kwetu.