sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni dhairi waarabu wanatudharau sana, sana zaidi ya nya

    Peace, Hebu imagine Ngorongoro tumewapa, bandari tumewapa tena kwa adabu na unyenyekevu lakini wao wanajivunia, wanaringa na kutamba na mafuta yao ni bei juu kila kukicha hawajawahi kutugawia hata kijiko. Na bei yao hua iko juu na hawapunguzi kuna kipindi tulishindanwa nao tukamua kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

    UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina. Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro. Raccuzzo...
  3. JamiiForums Tanzania Siku hizi mwanaume akikwambia anakupenda unaona kama utapeli, tutaolewa kweli?

    Hivi sijui ni mimi tu au kwa wanawake wote? Kwa karne ya sasa tutaolewa kweli au tutaishia kuwa Mababy mama tu? Siku hizi mambo yamekuwa mengi sana kiasi kwamba mtu akikwambia anakupenda unaona kama scam fulani hivi na hii ni kutokana na matukio tunayopigwa wanawake jamani? Au ni huu mji wa Dar...
  4. JamiiForums Tanzania Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

    Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
  5. JamiiForums Tanzania Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

    Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma. Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Namkubali sana Mbunge wa Nkasi, Aida Khenani

    Niseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni. Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko. Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la...
  7. JamiiForums Tanzania Upesi sana Yanga SC hasa idara yake ya mawasiliano chini ya Msemaji Kamwe ituombe Radhi wadau kwa kutudanganya kusikovumilika

    Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa Yanga SC Beki Gift Fred ameitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) Taarifa...
  8. JamiiForums Tanzania Nawaza sana Uzee wangu utakuwa wa namna gani

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya! Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩 Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika? Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni...
  9. JamiiForums Tanzania Gari yangu inakimbia sana!

    Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee. Gari yenyewe ujue ni gari gani basi? Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini mtandao wa TTCL unatumiwa sana na matapeli kutuma jumbe zao?

    Nataka kujua kuna ushirika gani kwa hao matapeli na mtandao wa TTCL
  11. JamiiForums Tanzania Ulijisikiaje pale ulipoambiwa kuwa mpendwa wako hawezi kupona tena.Ugonjwa umeshambulia sana mwili?

    Nakumbuka Baba yangu mzazi alikuwa anasumbuliwa na saratani ya ngozi.Tulifanya jitihada za kila namna kuokoa maisha ya baba yetu mpendwa,tulizunguka hospitali mbalimbali ila mwisho wa siku tukaelekezwa tuelekee hospitali ya Ocean Road Dar-es-salaam. Ndugu walipambana kuchangishana hela ili mzee...
  12. JamiiForums Tanzania Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger? Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi nchi zinavyo endelea ndivyo ndoa na kuzaa sana zinapoteza nafasi ndani ya jamii

    Kutokana na utafiti uliofanywa na vyombo vya kimataifa kama New York times kuhusu utamaduni wa kufunga ndoa. Unaonesha utamaduni wa kuoa au kuolewa unapoteza nguvu ndani ya jamii zile zinazo endelea na zilizo endelea kwa kasi. Utafiti uonesha vijana wa mataifa yaliyo endelea na yanayo endelea...
  14. JamiiForums Tanzania Israel ina kiherehere sana mpaka inatia aibu

    Mnamo taehe 29 Agosti ndege ya abiria ya Sychelles ikiwa na abiria 128 ilipata matatizo ya kiufundi ikiwa angani eneo la Saudi Arabi. Ndani ya ndege hiyo kulikuwa na abiria watalii wa kiyahudi wakiwemo maofisa wa serikali waliokuwa likizo. Ndege ilipofika uwanjani abiria wote wakapatiwa huduma...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hili ni swali la pendekezo uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, usogezwe na kufanyika 2025, ufanyike siku moja na uchaguzi mkuu wa 2025, na usimamiwe na Tume huru ya uchaguzi, by that time pia ile...
  16. JamiiForums Tanzania Usipuuzie ulaji wa matunda. Ina faida kubwa sana kiafya

    Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika. Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki...
  17. JamiiForums Tanzania Kama sio Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Watanzania tulikuwa tunapigwa na kitu kizito sana na DP World

    Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW. Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

    Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation! Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa. HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

    January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi. Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete. Mwenye ushahidi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona video hii nimemdharau sana Ali Bongo Ondimba

    Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…