sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TRA yotoa ufafanuzi wa madai ya kutengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini usio halali

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha. Tunapenda kuufahamisha umma...
  2. JamiiForums Tanzania Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

    Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi tukifikisha miaka 50 na kuendelea tunatapeliwa kirahisi na wanawake

    Habari zenu wadau. Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi. Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30) Nimesikia na kuona...
  4. JamiiForums Tanzania Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

    Mapenzi ni baina ya watu wawili mpenda na mpendwa, lakini ukiona mmoja wao haelewi afanye nini ujue kuna tatizo mahali. Ndugu zangu nipo age ya 30+ (mwanaume) natamani kuoa at anytime ila katka pita zangu nilikuwa katika distance relationship na Mpenzi A (mama mtoto wangu) Kutokana na umbali...
  5. JamiiForums Tanzania Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

    Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe. Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana...
  6. JamiiForums Tanzania Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

    "Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu. Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara. Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

    Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake. Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa. Nilipotarget...
  8. JamiiForums Tanzania Clatous Chama (Triple C) amewatamani sana Watanzania, katuma ujumbe wa salamu dhidi ya Taifa Stars

    Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023. “Ndugu zangu Watanzania, hatimaye yametimia, tukutane Cote D'Ivoire!”...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kumng'oa Mkoloni Mweusi kuliko ilivyokuwa kwa Mkoloni Mweupe

    Asalaam aleykum, Ama baada ya salamu hizo, rejea kichwa cha habari, chahusika. Uhuru ni kitu muhimu ambacho kila mmoja anakitamani. Lakini kwa bahati mbaya sana katika historia ya binadamu, imekuwa ni hulka ya baadhi ya watu furaha yao kukamilishwa kwa kuwanyonya/kuwakandamiza wenzao. Hili...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

    Yaani majitu mnashabikia ugaidi wa HAMAS kisa ni watu wa dini yenu halafu majibu ya Israel yanakuja kwa nguvu hadi kutia ukakasi, kuna picha nimeziona ambazo siwezi kuzileta humu ila hii dunia inakosa ladha. Hivi kiukweli mnajitapa kufaidi nini baada ya kile HAMAS walifanya, maana haya majibu...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai: Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Itawasaidia Sana Akina Mama

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini...
  12. JamiiForums Tanzania Vodacom huduma ya MGODI wanazingua sana

    Line yangu ya Vodacom haina deni nimejiwekea akiba yangu ya milioni 1 huko mgodi nataka kutoa toka last week pesa haitoki nimewapigia huduma kwa wateja option ya kuongea na watoa huduma siipati. Mwenye uzoefu kwenye hii changamoto naomba msaada.
  13. JamiiForums Tanzania Ninaumizwa sana na hawa Wachungaji ambao sisi sote tunajua ni matapeli

    Upastor ni kazi ya Mungu, kazi yenye heshima katika Imani, lakini wote tunajua Mapastor wanafanya biashara ya kuokota sadaka. Nina uhakika asilimia mia wale wanaohutubia njiani wanatafuta sadaka. Hii kitu inaniumiza sana.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, watanzania wameudhika sana na Idadi/aina ya watu katika msafara wako India

    1. Abdul alikwenda kama nani? 2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini? 3. Mawaziri lukuki wa nini? 4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo Pesa zimepondeka kisawasawa HAPO HAPO TUNALIA 1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hii miaka ya 2020 ni moto sana kwa Dunia

    Wote mtakumbuka baada ya kupigwa na Knockout nzito sana kutoka kwa Bondia covid 19, ugonjwa ulikunguta Dunia nzima miaka ya 2020 hadi kuanza kupunguza makali 2021 baada ya kuanzia huko China mwishoni mwa mwaka 2019 kwa kuwatembezea kichapo Wachina. Baada ya Covid19 yaani ugonjwa wa Corona...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

    Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno. Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla. Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kituo cha polisi Chang'ombe temeke kimulikwe, huyu kijana mnayemfuga (Kadoda) analitia doa sana jeshi la polisi

    Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera. Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Relay ya Dr. Samia ni nzuri sana bigup, lakini...

    MAMA' unakimbiza mpaka basi, kwa sisi watazamaji tuoangalia mwendo wako tunaamini ushindi upo, mwalimu wako alikufunza vema, usisahau kuchungulia saa yako ili ujue pa kuongeza na pa kupunguza, lakini katika mbio hizo shikilia kijiti chako sawa sawa, usije ukafika karibu na mwisho kijiti...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali sana…..

    Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40. https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7 Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

    Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…