Kwanini wanaume wengi tukifikisha miaka 50 na kuendelea tunatapeliwa kirahisi na wanawake

Joyboy

JF-Expert Member
Sep 16, 2023
1,361
3,404
Habari zenu wadau.

Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi.

Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30)

Nimesikia na kuona visa vingi kutoka kwa ndugu na marafiki.

Katika huo umri wanaume wengi tunaanza kuwa na tamaa za michepuko, michepuko inatutapeli sana hela, wakitudanganya wanatupenda huku wakitupa joto la ujana, bac tunapagawa tunagawa hela tuu na kuwanunulia vitu vya dhamani hadi michepuko mingine wanapangishiwa nyumba na kufunguliwa biashara, utapeli mtupu.

Katika huohuo umri wanaume wengi tunadanganywa sana na vitoto vidogo, kama kuna babu flani hapa mtaani kipindi cha nyuma kidogo, alikuwa ana uwezo wa kifedha, kuna kitoto cha miaka 22 eti kilimwambia "babu si uinoe tuu" bac yule mzee akamuoa, akaona kama kaokota embe chini ya mnazi, akasema "mapenzi si ndo haya sasa uzee wote huu nimependwa na damu changa".

Bac yule mzee bhana kuna nyumba walikuwa wanakaa watoto wa mke wa kwanza, akawafukuza wote akamweka mke wake mpya(mke wa tatu) akawa anakaa naye, kulitokea mgogoro mkubwa sana hadi mke wake wa kwanza akafariki kwa presha, yule mzee bado akakaza kichwa, haikupita muda yule mzee akafariki na yule mwanamke akaridhi ile nyumba, huu ni ujambazi wa hali ya juu.

Hata Role model wangu sikuamini na yeye atadanganywa na kuingia kweny mtego kirahisi, mzee Reginald Mengi, aliachana na mke wake wa ujana ambaye alianza nae maisha, akaja kuoa kasichana kadogo(Shetani mzima mzima), nayeye alivofariki yule mwanamke akaridhi mali zake.

Mama yangu alishawahi kuniambia, "mwanaume akiwa na miaka 40 kushuka chini anakuwa wamoto sana, humgusi, mwanamke hawez kumpelekesha, anakuwa makini sana na wanawake matapeli, ila akigusa tuu 50 bac anakuwa kama zoba, anadanganywa na kutapeliwa kirahisi sana na wanawake"

Hata kweny ndoa nyingi za ndugu na marafiki naonaga hii hali, wanaume below 40 wanakuwa maridadi sana ila wakifikisha 50 tuu na kuendelea umaridadi wote unaondoka, ule ujanja ujanja haupo tena, na kama ana tamaa na vitoto vidogo ndo atatapeliwa hadi hela ya uzeeni.

Ushawahi kujiuliza kwann wasichana wengi wanapenda wazee?

Tuwe makini tunapoelekea huko uzeeni, usikubali kutapeliwa.
 
Vijana wengi ndo wanapotea mazima kwa sbb za mapezi na wengine kufa masikini kabisa na kokosa muelekeo, kwa wazee sio kihivyo ni sehemu moja moja hasa wale walio bembeleza ndoa wakati waujana wao. Mke hakiwa wa hovyo bora umuache mapema kabla ya uzee upate mgine, kuliko kupata mgine wakati uzee umesha ingia.
 
Habari zenu wadau.

Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi.

Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30)

Nimesikia na kuona visa vingi kutoka kwa ndugu na marafiki.

Katika huo umri wanaume wengi tunaanza kuwa na tamaa za michepuko, michepuko inatutapeli sana hela, wakitudanganya wanatupenda huku wakitupa joto la ujana, bac tunapagawa tunagawa hela tuu na kuwanunulia vitu vya dhamani hadi michepuko mingine wanapangishiwa nyumba na kufunguliwa biashara, utapeli mtupu.

Katika huohuo umri wanaume wengi tunadanganywa sana na vitoto vidogo, kama kuna babu flani hapa mtaani kipindi cha nyuma kidogo, alikuwa ana uwezo wa kifedha, kuna kitoto cha miaka 22 eti kilimwambia "babu si uinoe tuu" bac yule mzee akamuoa, akaona kama kaokota embe chini ya mnazi, akasema "mapenzi si ndo haya sasa uzee wote huu nimependwa na damu changa".
Bac yule mzee bhana kuna nyumba walikuwa wanakaa watoto wa mke wa kwanza, akawafukuza wote akamweka mke wake mpya(mke wa tatu) akawa anakaa naye, kulitokea mgogoro mkubwa sana hadi mke wake wa kwanza akafariki kwa presha, yule mzee bado akakaza kichwa, haikupita muda yule mzee akafariki na yule mwanamke akaridhi ile nyumba, huu ni ujambazi wa hali ya juu.

Hata Role model wangu sikuamini na yeye atadanganywa na kuingia kweny mtego kirahisi, mzee Reginald Mengi, aliachana na mke wake wa ujana ambaye alianza nae maisha, akaja kuoa kasichana kadogo(Shetani mzima mzima), nayeye alivofariki yule mwanamke akaridhi mali zake.

Mama yangu alishawahi kuniambia, "mwanaume akiwa na miaka 40 kushuka chini anakuwa wamoto sana, humgusi, mwanamke hawez kumpelekesha, anakuwa makini sana na wanawake matapeli, ila akigusa tuu 50 bac anakuwa kama zoba, anadanganywa na kutapeliwa kirahisi sana na wanawake"

Hata kweny ndoa nyingi za ndugu na marafiki naonaga hii hali, wanaume below 40 wanakuwa maridadi sana ila wakifikisha 50 tuu na kuendelea umaridadi wote unaondoka, ule ujanja ujanja haupo tena, na kama ana tamaa na vitoto vidogo ndo atatapeliwa hadi hela ya uzeeni.

Ushawahi kujiuliza kwann wasichana wengi wanapenda wazee?

Tuwe makini tunapoelekea huko uzeeni, usikubali kutapeliwa.
ili uwe salama, ni KUYAKABIDHI maisha kwa BWANA YESU.

Yesu ni Mwokozi
 
Ukianza kukabidhi ndoa yako Yesu jua wewe ni failure kabisa, yesu hajawahi kulala na mwanamke hajui ule utamu wa ndoa, Yesu ni wa kukadhi shida za mateso maradhi nk ila sio ndoa.
 
Wanawake wengi hupunguza na hata kuacha kabisa kuwajali wanaume wao wakifika umri wa 50, Huwa wanajisikia sana na mapenzi yao huyahamishia kwa watoto, katika umri huo wanawake wengi huwa hawawasikilizi maume zao, hufanya kila wanalojisikia bila kujali chochote, kiburi na maneno machafu na wengine hujitenga nao ata kushiriki. Vitendo hivyo vyote humfanya mwanaume akose utulivu na kuanza kutafuta faraja nje na ndoa yake hapo ndo hukutana na vishoka.
 
Nahisi labda katika umri huo ndipo mwanaume anatambua na anakuwa na uwezo zaidi wa kuprovide kwa mwanamke wake. Halii lii tena akisikia mwanamke wake anamuomba amtimizie mahitaji (sometimes na matakwa just to show off zaidi). Anatambua ni jukumu

Na anatambua mwanamke wake ni yule anayemtii yeye na kumfurahisha.

Umeona sasa.

Acha kila mmoja apate anachokitaka na kukithamini zaidi wakati huo.
 
Mnakuwa mmeshakuwa wahongaji wazoefu.

Wacheni uzinzi na uasherati, kaeni mtulizane mlee wajukuu.
 
Habari zenu wadau.

Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi.

Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30)

Nimesikia na kuona visa vingi kutoka kwa ndugu na marafiki.

Katika huo umri wanaume wengi tunaanza kuwa na tamaa za michepuko, michepuko inatutapeli sana hela, wakitudanganya wanatupenda huku wakitupa joto la ujana, bac tunapagawa tunagawa hela tuu na kuwanunulia vitu vya dhamani hadi michepuko mingine wanapangishiwa nyumba na kufunguliwa biashara, utapeli mtupu.

Katika huohuo umri wanaume wengi tunadanganywa sana na vitoto vidogo, kama kuna babu flani hapa mtaani kipindi cha nyuma kidogo, alikuwa ana uwezo wa kifedha, kuna kitoto cha miaka 22 eti kilimwambia "babu si uinoe tuu" bac yule mzee akamuoa, akaona kama kaokota embe chini ya mnazi, akasema "mapenzi si ndo haya sasa uzee wote huu nimependwa na damu changa".
Bac yule mzee bhana kuna nyumba walikuwa wanakaa watoto wa mke wa kwanza, akawafukuza wote akamweka mke wake mpya(mke wa tatu) akawa anakaa naye, kulitokea mgogoro mkubwa sana hadi mke wake wa kwanza akafariki kwa presha, yule mzee bado akakaza kichwa, haikupita muda yule mzee akafariki na yule mwanamke akaridhi ile nyumba, huu ni ujambazi wa hali ya juu.

Hata Role model wangu sikuamini na yeye atadanganywa na kuingia kweny mtego kirahisi, mzee Reginald Mengi, aliachana na mke wake wa ujana ambaye alianza nae maisha, akaja kuoa kasichana kadogo(Shetani mzima mzima), nayeye alivofariki yule mwanamke akaridhi mali zake.

Mama yangu alishawahi kuniambia, "mwanaume akiwa na miaka 40 kushuka chini anakuwa wamoto sana, humgusi, mwanamke hawez kumpelekesha, anakuwa makini sana na wanawake matapeli, ila akigusa tuu 50 bac anakuwa kama zoba, anadanganywa na kutapeliwa kirahisi sana na wanawake"

Hata kweny ndoa nyingi za ndugu na marafiki naonaga hii hali, wanaume below 40 wanakuwa maridadi sana ila wakifikisha 50 tuu na kuendelea umaridadi wote unaondoka, ule ujanja ujanja haupo tena, na kama ana tamaa na vitoto vidogo ndo atatapeliwa hadi hela ya uzeeni.

Ushawahi kujiuliza kwann wasichana wengi wanapenda wazee?

Tuwe makini tunapoelekea huko uzeeni, usikubali kutapeliwa.
Ukishakuwa mzee kwanza ni umri ambao kama ulikuwa mchakarikaji basi unakuwa na level fulani ya mafanikio kwenye maisha.

At 50 unakuwa na vitega uchumi na una pesa kuzidi vijana wengi mashalobalo. Na kwa kuwa penzi linauzwa hivyo vitoto vinakuwa vimepata wateja.
 
Wazee wananyonywa mboro wanachanganyikiwa.

Kuna kamalaya kalininyonya mboro na kinyelo 2015 kuamkia uchaguzi mkuu, nilikabidhi posho yote ya kusimamia uchaguzi. Siku 3 zilipukutika bila kujua.
 
Habari zenu wadau.

Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi.

Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30)

Nimesikia na kuona visa vingi kutoka kwa ndugu na marafiki.

Katika huo umri wanaume wengi tunaanza kuwa na tamaa za michepuko, michepuko inatutapeli sana hela, wakitudanganya wanatupenda huku wakitupa joto la ujana, bac tunapagawa tunagawa hela tuu na kuwanunulia vitu vya dhamani hadi michepuko mingine wanapangishiwa nyumba na kufunguliwa biashara, utapeli mtupu.

Katika huohuo umri wanaume wengi tunadanganywa sana na vitoto vidogo, kama kuna babu flani hapa mtaani kipindi cha nyuma kidogo, alikuwa ana uwezo wa kifedha, kuna kitoto cha miaka 22 eti kilimwambia "babu si uinoe tuu" bac yule mzee akamuoa, akaona kama kaokota embe chini ya mnazi, akasema "mapenzi si ndo haya sasa uzee wote huu nimependwa na damu changa".
Bac yule mzee bhana kuna nyumba walikuwa wanakaa watoto wa mke wa kwanza, akawafukuza wote akamweka mke wake mpya(mke wa tatu) akawa anakaa naye, kulitokea mgogoro mkubwa sana hadi mke wake wa kwanza akafariki kwa presha, yule mzee bado akakaza kichwa, haikupita muda yule mzee akafariki na yule mwanamke akaridhi ile nyumba, huu ni ujambazi wa hali ya juu.

Hata Role model wangu sikuamini na yeye atadanganywa na kuingia kweny mtego kirahisi, mzee Reginald Mengi, aliachana na mke wake wa ujana ambaye alianza nae maisha, akaja kuoa kasichana kadogo(Shetani mzima mzima), nayeye alivofariki yule mwanamke akaridhi mali zake.

Mama yangu alishawahi kuniambia, "mwanaume akiwa na miaka 40 kushuka chini anakuwa wamoto sana, humgusi, mwanamke hawez kumpelekesha, anakuwa makini sana na wanawake matapeli, ila akigusa tuu 50 bac anakuwa kama zoba, anadanganywa na kutapeliwa kirahisi sana na wanawake"

Hata kweny ndoa nyingi za ndugu na marafiki naonaga hii hali, wanaume below 40 wanakuwa maridadi sana ila wakifikisha 50 tuu na kuendelea umaridadi wote unaondoka, ule ujanja ujanja haupo tena, na kama ana tamaa na vitoto vidogo ndo atatapeliwa hadi hela ya uzeeni.

Ushawahi kujiuliza kwann wasichana wengi wanapenda wazee?

Tuwe makini tunapoelekea huko uzeeni, usikubali kutapeliwa.
Kwa sababu mnakuwa na hofu na hatima yenu,fainali Uzeeni.
 
Tamaa mbaya tu.
 
Katika huohuo umri wanaume wengi tunadanganywa sana na vitoto vidogo, kama kuna babu flani hapa mtaani kipindi cha nyuma kidogo, alikuwa ana uwezo wa kifedha, kuna kitoto cha miaka 22 eti kilimwambia "babu si uinoe tuu" bac yule mzee akamuoa, akaona kama kaokota embe chini ya mnazi,
Huyo babu aliyefariki aliyeoa binti wa miaka 22 huenda ndo wewe mleta mada.
 
Back
Top Bottom