sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

    Naamini hata wewe umeshasikia mtu akiwadiss vijana waishio au wafanyao biashara Makumbusho hasa wale wauza simu. Mitandaoni na mitaani mara nyingi utasikia stori kuhusu vijana wa Makumbusho. What is it with these guys from nakymbusho? Ni uhuni, ulofa, waovyo, utapeli, etc ⁸
  3. JamiiForums Tanzania Kipindi Cha Mshike Mshike cha Azam ni cha ovyo Sana

    Kipindi kinachorushwa na Azam sports 1 cha Mshike Mshike ni kipindi cha ovyo sijapata kuona, habari zake ni za kuunga unga huwezi kuelewa, graphics mbovu, mtangazaji hana mvuto shida tu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwendo Kasi Msimbazi ni mateso makubwa sana

    Wadau, Tuko kituo cha Msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi. Tumekaa kama masaa 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300. Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nini?
  5. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu kakamatwa kwa simu ya wizi, Nawasihi sana tuchukue tahadhari tunaponunua simu 'used'

    Tamaa ni moja ya sifa kuu inayowatafuna vijana wengi sana hasa wenye kupenda vitu vyenye gharama kuzidi uwezo wao. Sikuhizi kwenye makundi mengi ya vijana ili uonekane kijana wa kisasa inaaminika inabidi uwe na simu nzuri zenye brand kubwa kama iphone, Samsung, Google pixel, Nokia, n.k. Kijana...
  6. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mashabiki wa WCB inanikera sana

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao. We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine. Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki...
  7. JamiiForums Tanzania Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

    Wakuu hali inatisha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa inaendelea kuteketea kila kukicha. Hali ni mbaya wakuu!
  8. JamiiForums Tanzania Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

    Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
  9. JamiiForums Tanzania Tafuta mwingine wapo wengi

    Heshimu mahusiano ya wengine, anzisha wa kwako. Yanini kuhangaika na samaki aliyekwisha vuliwa wakati kuna samaki wengi baharini.
  10. JamiiForums Tanzania Nahisi mabasi kusafiri usiku yameshusha mapato kwenye mashirika ya ndege

    Usafiri wa mabus usiku nadhani ni pigo kubwa sana kwa mashirika ya ndege, kwa mwendo ninao uona sasa mashirika ya ndege kwa safari za ndani ya nchi itabidi waje na ofa sio za kawaida otherwise maumivu yao ni makubwa. Mabus ya Usiku yana jaa mapema kuliko kawaida, yani kama unasafiri usiku...
  11. JamiiForums Tanzania CWT Wilaya ya Bunda mnatia aibu sana; hata suala la madaraja ya walimu lilimhitaji Mbunge Chacha Maboto?

    Chini ni picha ya kiongozi wa mtandao wa CWT Bunda Grace Nyabugumba aka MC Mama Kubwa.
  12. JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni. Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
  13. JamiiForums Tanzania Unachokoza wanaume halafu unakimbia kujificha nyuma ya mkeo na watoto, Hamas Wanachekesha sana

    Kwema Wakuu! Mchezo anaotumia Hamas na magaidi ni mchezo wa kitoto ambao hutumiwa na Lastborn wengi au watoto wakike. Unachokoza wanaume alafu unatoka nduki kujificha nyuma ya matako ya mkeo unategemea wanaume wafanye nini? Ukipigwa wewe na mkeo na watoto unaanza kulialia. Wanawake ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Hii Mizani ya Magari makubwa(weight bridge) hapa Makambako imekaa eneo baya sana

    Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari, Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,, Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni...
  15. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

    Aliyekuwa Mbunge Wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema Amemtoa kauli hiyo kwa Katibu mkuu wa itikadi na Uenezi CCM taifa Mh Paulo Makonda huko Jamhuri ya watu wa X.. Baada ya kudai kwamba ataenda bungeni kuomba na kuuliza kuhusu aina ya uenezi wanayotka awe nayo.. Lema Ameendelea kusema kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Jambo la kwanza unalopaswa kujua unapomkubali Mungu: Mungu ni tajiri na shetani ni masikini

    Mungu alipumba binadamu wa kwanza alikuwa tajiri sana. Walipewa dunia nzima kama shamba. Na alimuwekea hazina ya dhahabu safi bustanini eden ya thamani ya matrillion mara trillion. Adam na eva walikuwa matrillionea. Umasikini uliingia kwa sababu ya dhambi. Hapakuwa na binadamu masikini kabla...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kwa ukosefu wa Umeme hasa Mkoani Mbeya tunaomba viongozi mjitafakari. Hii ni zaidi ya uhujumu uchumi

    Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme. Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme. Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jiji la Tanga watu wanalala sana

    Imagine sasa hivi ni saa 10 alfajiri, hakuna hata mishe mishe za bodaboda huko nje, yaani mji umetulia tuliii tofauti na mikoa mingine kama Dar, Arusha na Mwanza.
  19. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ndoto ya kujisomesha usiwe na haraka sana. Hiyo ada uliyojichanga izungushe kwenye biashara kwanza

    Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
  20. JamiiForums Tanzania FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

    Match Day Yanga SC vs Singida FG NBC Premier League Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522] Time: 1815hours Updates... Saa 12:04 Jioni Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa. Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa. Mawingu mepesi mepesi yametanda Vikosi Vinavyoanza Saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…