Kipindi kinachorushwa na Azam sports 1 cha Mshike Mshike ni kipindi cha ovyo sijapata kuona, habari zake ni za kuunga unga huwezi kuelewa, graphics mbovu, mtangazaji hana mvuto shida tu.
Kipindi kinachorushwa na Azam sports 1 cha Mshike Mshike ni kipindi cha hovyo sijapata kuona, habari zake ni za kuunga unga huwezi kuelewa, graphics mbovu, mtangazaji hana mvuto shida tu.
Kimsingi kile ni kipindi Cha taarifa za michezo na si uchambuzi ndio maana unaona hakifai
Ukiangalia kwa angle ya uchambuzi wa michezo lazima utaona hakifai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.