sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waarab wa Sudan wamechinja sana weusi, tena kwa maelfu ila mweusi wa hapa JF kutwa unawaza Palestine

    Waarab wa Sudan wamekua wakizunguka nyumba kwa nyumba na kuchinja watu wa kabila la Masalit, ambao asili yao ni weusi, tena waislamu yaani dini ya hao waarabu, wanakata vichwa na kuua kila kitu kinachotamba. Waarabu weusi wa Bongo akina brazaj kutwa wanalia lia kuhusu Waarabu wa Palestina...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini fresh graduate au wanamda mfupi ujiona wajanja sana kwenye life za maisha na utafutaji?

    nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha. maana hayashauriki
  3. JamiiForums Tanzania M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

    Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo. Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

    Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam.. Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa . Kweli game ngumu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

    Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala...
  6. JamiiForums Tanzania Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

    Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea moto mkali na itajuta nchi hiyo Kadri siku zilivyokuwa zikiendelea, kauli ya Putin ilikuwa ikizidi...
  7. JamiiForums Tanzania BBC wamechelewa sana kumchafua T.B Joshua, Afrika imekua sana kiroho

    Documentary iliyoachiliwa na Shirika la habari Duniani (BBC) ikionesha mashahidi wanaoonesha maovu dhidi ya Mtumishi wa Mungu mwendazake T.B Joshua ni ishara tosha kuwa nguvu ya Imani na ukuaji wa kiroho Afrika ni tishio Kwa kikundi fulani cha watu kutekeleza ajenda zao. Ukweli ni kwamba Afrika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

    Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana, Wachezaji wenyewe ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Rihanna na Shakila ni wanawake warembo sana

    Katika hawa watu wewe unakwenda na yupi Hawa ndio warembo ambao dah nawakubali sana
  10. JamiiForums Tanzania Single mother anaamini kuwa step-Dad hampendi mwanae bali anaigiza

    Habari zenu, Ewe Mwanaume uliejibebesha majukumu ya mwanaume mwenzako kwa kusingizia upendo tambua kuwa Single Mother aamini kuwa unampenda mwanae bali unaigiza. Siku mwanae akiwa anaumwa na ukashindwa kumpeleka hospital atasema unataka mwanae afe kwasababu humpendi. Siku ukimkemea mtoto na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naona kama miaka ya 2009- 2013 nyimbo nyingi nzuri sana za mziki zilitungwa kwenye kipindi hicho

    Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile 1)Dynamite ya taio Cruz 2)International love ya pitbull ft Chris brown 3)Coconut tree ya mohombi 4)Bumpy ride ya mohombi 5)Moves like jagger ya maroon 6)On the floor ya Jenifer Lopez 7)Dj got us fall in love again ya usher...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee wetu akaombwe radhi afute neno la "kichwa cha mwendawazimu" else mtateseka mtakula sana hela za wananchi vs Taifa Stars

    Msitafute mchawiiiii 1. Aliikuwa ni Rais kiongozi wa nchi Kumbukeni anaongoza kila mtu anapokasirika hata mbingu inahuzunika Tuliona kirahisi alipoumia na kusema ile timu ni kichwa cha mwendawazimu mkakaa kimya Yale maneno yanafanya kazi, yanaumba kwa stars yetu soln ya kutoka ni kwenda...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kubalehe changamoto sana

    Tuna zaliwa vizuri tunacheza na jinsia tofauti vizuri kabisa ila ikifika kipindi huwezi tena jumuika nao tena. Matamanio ya haraka nimeyatatua kwa style hii 👇👇👇 ili kutoweka mshangao kwa watu. Share na ya kwako ulitatua swala la mashine kudinda mahali usipo tegemea.
  14. JamiiForums Tanzania Customer support ya Azam TV ni ovyo sana

    Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected. Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga...
  15. JamiiForums Tanzania Asilimia mia moja tunapita, ila kuna sharti dogo sana

    100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo, Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana hii mechi yetu na Morocco, nimeumia sana na timu yetu ya taifa

    Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco. Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu. Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu Sana. Soma kwa makini ili uwe philosher kama wao

    Justice okoro, Mchungaji wa dhehebu la pentekoste, Zambia alisema; Mimi nawapenda Wakatoliki kwa kiwango cha kutokujali maneno ya watu wanasema nini juu yao, Unaweza kukosoa kanisa lao, viongozi wao au imani yao, kadiri unavyoweza watakusikiliza hadi umalize, kisha wataenda kanisani Jumapili...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazo la CHADEMA la kuwa na wabunge wawili kila jimbo si sahihi

    Hili ni moja la wazo la kipuuzi kupata kulisikia toka kwa kiongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo. "Aina za Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna aina kadhaa za Wabunge kwa mujibu wa Ibara ya 66(1)(a) na (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ambapo ni kama ifuatavyo; Wabunge wa...
  19. JamiiForums Tanzania Dunia inahitaji kuwa na mbabe mmoja tu ili iwe salama. Dunia ya wababe wengi ni hatari sana

    Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu. Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe...
  20. JamiiForums Tanzania Picha hii imenigadhabisha sana

    kwa kweli Hawa jamaa wanatakiwa Leo kuuwawa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…