M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,550
Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.

Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo makomandoo.

Waliokufa vibaya ni Jeneral André Nyamvumba, huyu ni Mtaalamu WA vita toka Rwanda ambaye amebobea kwenye matumizi ya teknolojia ya IT katika uwanja WA vita.

Mwingine ni Kanali Gaston wa M23 naye Amekufa, Pia Kanali Erasto Bahat naye amekufa.

Walio jeruhiwa vibaya ni pamoja na Jenerali Mulokole na Godefroid Niyombare.

Watusi ni watu hatari sana. Hapa Kuna jambo la kujifunza ili kuwaelewa Hawa Watusi na mikakati Yao.

Ukiangalia katika waliojeruhiwa utaona Jina la mtu mmoja ambaye Alifanya mapinduzi huko Burundi ambayo yalifeli baada ya Tanzania kuingiliwa kati kuyazima.

Huyu Jeneral Godefroid Niyombare alijaribu kumpindua Raia wa Burundi Peter Nkurunziza na kufurushwa na Makomandoo WA Tanzania.

Sasa mtu huyuhuyu Leo anaonekana akiwa kwenye jeshi la Rwanda Bali limevamia Congo.

Utagundua kuwa Kagame ndiye alitaka kumpindua Raia WA Burundi na ndio navuruga amani ya Afrika Mashariki.

Hawa Watusi Agenda Yao ni kuikamata Congo na Burundi Kisha wakipata nguvu ya Uchumi wake kuivamia Tanzania.

Kuwaelewa Hawa watu unatakiwa kufiatilia sana. Pia Jenerali Nyakarundi hajulikani alipo.

Mashambulizi yamefanya na ndihivita za Congo kwa ushirikiano na Makundi ya Wazalendo.

Hongera sana DRC
 
Miaka ya nyuma marehemu mchungaji mtikila alielezea dhima ya watutsi ndani ya EA hasa Tanzania. Akaeleza mpaka namna ndani ya jeshi na ikulu jinsi watutsi wanavyojipenyeza.

Kuna kitu hakikuwa kizuri kwa taifa letu kwa ule uswahiba wa Magufuli na Kagame. Pamoja na mabaya yote ya JK, alijaribu na alimuweza kwa sehemu Kagame ila utawala wa awamu ya 5 ukarudisha ukaribu na Kagame.

Enzi za JK hasa alipowaondoa M23 kule DRC, kuna operation ilipita mikoa jirani na Rwanda ili kuwaondoa wasio Watanzania, watutsi wengi sana walifukuzwa, Serikali ya Rwanda ilikuja juu, ikasema haina ardhi ya kuwapokea raia hao, mwisho wakapelekwa Uganda.

Rwanda ni ya kutengwa sababu hata kagame akiondoka, endapo akaja mrithi wa kusimamia mipango yao ovu basi ngoma itabaki palepale tu.
 
Mkuu wa majeshi ya NATO ametahadharisha kutakuwa na vita kama Mrusi atavamia na sisi huku tumeambiwa tujiandae tununue Tochi na mawe yake kwa wingi

Huyu Slim kakosa wa kumdhibiti
Na sisi tuache tabia ya kujionesha na Manati ni aibu kubwa
Inabidi tujipange na bajeti kubwa ielekezwe Ulinzi hatujali wananchi hata kama itakuwa ya kununua ndege nyingi za kivita
Jamaa alitukosea sana kujaza mandege ya Abiria badala ya Kivita
Ila hatujachelewa mama anaweza kuwaomba Wajomba zake hata Sita tu kama zawadi maana lazima wanazo hata za zamani kidogo zimekaa Hangar huko kwao

Sio utani ila kajamaa kana nyodo sana na kanakingiwa kifua

Hata Israel anakingiwa kifua ila wamechoka maana ni vita kubwa hii sio Hamas tu kama wayahudi wa bongo walivyokuwa wanafikiria

Tujipange jirani ana lake
Maslahi yote ni madini na magogo ya Congo
Mchina adhibitiwe pia ni mwizi mkubwa na lengo lake ni wizi
 
Narudia tena.....RWANDA AFANYE UJINGA WAKE KWA CONGO NA BURUNDI ILA SIO TANZANIA. asijaribu kuigusa mipaka ya nchi hii....atajuta mbwa huyu.
Ndugu huu ni mkakati hebu acha hizo fikra za asijaribu Tz iko hivi kuna plan ya kina M7 na huyo paka kuitawala Rwanda , Congo , Burundi , Uganda na Tanzania nchi hizi ziwe chini ya Himaya ya kitutsi yaani #Hima empire# na amini usiamini kagame kupitia makundi yake ya kigaidi yanayoitaka Congo wakiikama DRC tu ndani ya mwaka wataichukua Burundi na mwaka 1 baadae wataichukua Tanzania jua linawaka na kwakuongeza wameanza na Congo ili kupata raslimali zitakazo tumika kuongeza nguvu kumpiga yeyote atakayepinga hima Empire
 
Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.
Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo makomandoo. Waliokufa vibaya ni
Jeneral André Nyamvumba, huyu ni Mtaalamu WA vita toka Rwanda ambaye amebobea kwenye matumizi ya teknolojia ya IT katika uwanja WA vita. Mwingine ni Kanali Gaston wa M23 naye Amekufa, Pia Kanali Erasto Bahat naye amekufa.
Walio jeruhiwa vibaya ni pamoja na Jenerali Mulokole na Godefroid Niyombare.
Watusi ni watu hatari sana. Hapa Kuna jambo la kujifunza ili kuwaelewa Hawa Watusi na mikakati Yao. Ukiangalia katika waliojeruhiwa utaona Jina la mtu mmoja ambaye Alifanya mapinduzi huko Burundi ambayo yalifeli baada ya Tanzania kuingiliwa kati kuyazima.
Huyu Jeneral Godefroid Niyombare alijaribu kumpindua Raia WA Burundi Peter Nkurunziza na kufurushwa na Makomandoo WA Tanzania. Sasa mtu huyuhuyu Leo anaonekana akiwa kwenye jeshi la Rwanda Bali limevamia Congo.

Utagundua kuwa Kagame ndiye alitaka kumpindua Raia WA Burundi na ndio navuruga amani ya Afrika Mashariki.

Hawa Watusi Agenda Yao ni kuikamata Congo na Burundi Kisha wakipata nguvu ya Uchumi wake kuivamia Tanzania.
Kuwaelewa Hawa watu unatakiwa kufiatilia sana. Pia Jenerali Nyakarundi hajulikani alipo. Mashambulizi yamefanya na ndihivita za Congo kwa ushirikiano na Makundi ya Wazalendo.
Hongera sana DRC
Ndugu huu ni mkakati hebu acha hizo fikra za asijaribu Tz iko hivi kuna plan ya kina M7 na huyo paka kuitawala Rwanda , Congo , Burundi , Uganda na Tanzania nchi hizi ziwe chini ya Himaya ya kitutsi yaani #Hima empire# na amini usiamini kagame kupitia makundi yake ya kigaidi yanayoitaka Congo wakiikama DRC tu ndani ya mwaka wataichukua Burundi na mwaka 1 baadae wataichukua Tanzania jua linawaka na kwakuongeza wameanza na Congo ili kupata raslimali zitakazo tumika kuongeza nguvu kumpiga yeyote atakayepinga hima Empire
hizi ni sawa na ndoto za tanzania kuivamia marekan....manaikuza sana rwanda inasikitishaa
 
Ndugu huu ni mkakati hebu acha hizo fikra za asijaribu Tz iko hivi kuna plan ya kina M7 na huyo paka kuitawala Rwanda , Congo , Burundi , Uganda na Tanzania nchi hizi ziwe chini ya Himaya ya kitutsi yaani #Hima empire# na amini usiamini kagame kupitia makundi yake ya kigaidi yanayoitaka Congo wakiikama DRC tu ndani ya mwaka wataichukua Burundi na mwaka 1 baadae wataichukua Tanzania jua linawaka na kwakuongeza wameanza na Congo ili kupata raslimali zitakazo tumika kuongeza nguvu kumpiga yeyote atakayepinga hima Empire
Duh, story za vijiweni!
 
Attachments

  • Screenshot_20240120-131154_1.jpg
    Screenshot_20240120-131154_1.jpg
    40 KB · Views: 12
Back
Top Bottom