sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rashford kwishaa. Wazungu ni watu wabaya sana

    Mzuka wanajamvi. Hawa wazungu hasa wana habari wanawamaliza sana jamii ya kiafrika hasa kwenye michezo. Wasipokuundia mizengwe ya ubakaji basi watasubiri tu utende kosa flani na kukuathiri kisaikolojia hadi ushindwe kufanikiwa kwenye michezo. Sasa hivi Marcus Rashford (mpemba) mshambuliaji...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Observation hii ya Youssoph Dabo, Azam FC wana safari ndefu sana.

    Nilikuwa ninaangalia Mahojiano ya Kocha wa Azam bwana Youssoph Dabo kupitia Azam FC TV, kuna mengi kwenye interview ile kuhusu Mpira wetu; mfano kuna swali aliulizwa juu ya wachezaji wa Tanzania akisema; Tanzania kuna wachezaji wazuri sana, ila tatizo kuu ni moja 'hawana ukorofi wa kimpira'. Kwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

    UZI UMEFUNGWA >> Kuna ushahidi usio na shaka kwamba ni kweli vitabu vinahusu mmonyoko wa maadili
  5. R

    JamiiForums Tanzania TFRA kuna janja janja sana

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye hoja. TFRA wanaendesha mafunzo kwa wananchi hapa mkoani Iringa kweye ukumbi wa Neema crafts kwa siku 2 yaani tarehe 30 January 2024 na tarehe 31 kwa mujibu wa tangazo lao walieleza mafunzo hayo ni buree. Cha ajabu kufika ukumbini wanaanza kuwachangisha...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Chumvi inalabwa sana vyumbani, kuna haja ya kuzileta kondom za ulimi kuzuia maradhi

    Kujilinda sio kwenye kupiga kavu tu, kwa huu mchezo unavyozidi kujipatia umaarufu tafiti zimeonyesha kuna wanaopata magonjwa ya vinywa na makoo, ni muhimu kuanza kuchukua tahadhari
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chuo bora sana Cha ufundi cha private

    Wadau, Nina watoto wamejaribu kufanya mitihani ili waingie veta lakini ni shida ni na nafasi chache sana kuliko wanaoomba. Hivyo nafikilia kuwasupport waende private VETA. Je, ni chuo kipi Bora cha ufundi mnachokifahamu ukimpeleka mtoto miaka miwili anatoka na ujuzi wa kujiajiri. Asante kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wanafurahisha sana!

    Kuna wanawake wanasema ooh "mimi siwezi kumfulia, kumpikia, kumfanyia usafi mwanaume kabla hajanioa" Na hapo wanafanya tendo la ndoa bila kufunga ndoa!🤔 Vitu vingine vinachekesha🤣🤣
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makonda anaeneza ukabila? Ni nini kinamfanya aongee kisukuma huko usukumani?

    Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi. Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
  10. JamiiForums Tanzania Mtibwa Sugar wadai Miwa imeharibika sana haifai kwa uzalishaji

    Uongozi wa kiwanda cha Mtibwa Sugar umesema kuwa miwa mingi imeharibika na haifai tena kwa uzalishaji wa sukari hali inayopelekea bidhaa hiyo kuadimika. Mvua juu ya wastani zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha sehemu kubwa ya mashamba ya miwa kujaa maji na kufanya kazi ya uvunaji wa miwa...
  11. JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania standard za kuitwa genius au akili kubwa ziko chini sana

    Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo...
  13. JamiiForums Tanzania Nani alitarajia kina Halima Mdee wangesaliti vyama vyao?

    Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa. Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu kwenye medani za siasa za Tanzania? Alikuwa ni mmoja wa wanachama ambao CHADEMA ilikuwa ikimjivunia kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Watanzania wanafichwa taarifa za vifo vya majanga hasa ikihusisha taasisi zingine muhimu?

    Kama mvua kubwa yoyote iliyopiga Mkoani kwako (uliko) haukuleta madhara yoyote mshukuru sana Mwenyezi Mungu. Ila kwa sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro Mvua ya Jumamosi kuamkia Jumapili imeleta madhara makubwa mno kiasi kwamba wanavijiji Wenzetu kama 40 hivi na wana Taasisi Muhimu 11 bado...
  15. JamiiForums Tanzania Chimbo la Design mbalimbali za Masofa mazuri sana ya kuvutia

    Katika uzi huu tutaweza kuona design mbalimbali za masofa ya kuvutia. Endapo utaipenda design hiyo kwa matumizi ya nyumbani utaweza kujichukulia mwenyewe na kuitafuta dukani au ukampatia fundi wako akakutengenezea.
  16. JamiiForums Tanzania Nasikitika sana wengi wenu hamjamuelewa Kiumakini Msemaji wa Simba SC juu ya Uwanja watakaoutumia

    "Kwa sasa Simba SC tutautumia Uwanja wa Azam Complex kwa Mchezo wetu dhidi ya Tembo katika Mechi ya ASFC Keshokutwa na Taarifa ya Simba SC itatumia Uwanja upi kwa Mechi zake za Ligi Kuu ya NBC na CAFCL itatolewa baadae" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wa ukubwa wa maumbile ya mwanamke na kuzaa kwake au kufanya sana sex

    Based on true story/ based on experience. Kama ilivyo kwa wanaume wenye vibamia na ma tango, the same kwa wanawake, ni suala la ki maumbile zaidi na kukiko kimazingira period.
  18. JamiiForums Tanzania Makonda umewezaje kulia kwa mama aliyepotelewa na mume ila kwa wazazi wa Ben Saanane ukiwa RC wa DAR hukulia?

    Najua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa. Hivyo nategemea kupata mirejesho mingi kutoka kwao na hata wale JamiiForums Members wengine wanaompenda na kumkubali.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tunahangaika sana na matokeo ya Sekondari lakini msingi mzuri unaanzia shule za msingi

    Niende tu kwenye mada salamu zenu. Elimu ya msingi ndio mambo yote, ndio kila kitu hapo hayo mengine ni muendelezo tu wa kumuandaa mtoto kuwa professional ndio maana imeitwa elimu ya msingi. Sasa kama mtoto hatapata msingi mzuri wa elimu basi huko mbele itakuwa shida kwake. Nimeona...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani upo upo tu, CCM imejisahau sana

    Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala. Ushahidi na Maneno ya Dkt Kigwangala kwamba kuna watu wananunua majumba ya gharama kubwa Osterbay na Dubai. Upinzani wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…