Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,896 Jan 30, 2024 #1 Kuna wanawake wanasema ooh "mimi siwezi kumfulia, kumpikia, kumfanyia usafi mwanaume kabla hajanioa" Na hapo wanafanya tendo la ndoa bila kufunga ndoa!🤔 Vitu vingine vinachekesha🤣🤣
Kuna wanawake wanasema ooh "mimi siwezi kumfulia, kumpikia, kumfanyia usafi mwanaume kabla hajanioa" Na hapo wanafanya tendo la ndoa bila kufunga ndoa!🤔 Vitu vingine vinachekesha🤣🤣
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,541 Reaction score 6,018 Jan 30, 2024 #2 Akili Zao Ni kisoda,Wana udhaifu wa kumwaga.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,499 Reaction score 27,782 Jan 30, 2024 #3 uoga
N Nunio JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 746 Reaction score 1,867 Jan 30, 2024 #4 Wako sahihi! We unadhani kati ya sikio na cotton bud, kipi kinafaidi? Vyombo, nguo, hazina effect kwao! Usipokula, wanakuimba tu ngomani, mwanaume wa kino!
Wako sahihi! We unadhani kati ya sikio na cotton bud, kipi kinafaidi? Vyombo, nguo, hazina effect kwao! Usipokula, wanakuimba tu ngomani, mwanaume wa kino!
future tech JF-Expert Member Joined Aug 26, 2023 Posts 305 Reaction score 454 Jan 30, 2024 #5 Mjanja M1 said: Kuna wanawake wanasema ooh "mimi siwezi kumfulia, kumpikia, kumfanyia usafi mwanaume kabla hajanioa" Na hapo wanafanya tendo la ndoa bila kufunga ndoa![emoji848] Vitu vingine vinachekesha[emoji1787][emoji1787] Click to expand... Mbona hivo ni vitu tofauti mtoa mada, ni wapi walisema ukiwa unafanya tendo la ndoa kabla ya ndoa basi pia umfulie, umpikie & kumfanyia usafi. Kila mtu ana haki ya kuchagua & kufanya kitu akitakacho ikiwa havunji sheria
Mjanja M1 said: Kuna wanawake wanasema ooh "mimi siwezi kumfulia, kumpikia, kumfanyia usafi mwanaume kabla hajanioa" Na hapo wanafanya tendo la ndoa bila kufunga ndoa![emoji848] Vitu vingine vinachekesha[emoji1787][emoji1787] Click to expand... Mbona hivo ni vitu tofauti mtoa mada, ni wapi walisema ukiwa unafanya tendo la ndoa kabla ya ndoa basi pia umfulie, umpikie & kumfanyia usafi. Kila mtu ana haki ya kuchagua & kufanya kitu akitakacho ikiwa havunji sheria
PLAN B VERYFIED Senior Member Joined Aug 10, 2023 Posts 169 Reaction score 590 Jan 30, 2024 #6 Sio tendo ni ngono sio ngono ni ngono zembe sio ngono zembe tena ni uashirati sio uashirati tena ni ?????🤒
Sio tendo ni ngono sio ngono ni ngono zembe sio ngono zembe tena ni uashirati sio uashirati tena ni ?????🤒
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,296 Reaction score 14,683 Jan 30, 2024 #7 Sex is overrated.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,471 Jan 30, 2024 #8 Kudinyana! Kwichikwichi! Kuchakata mbususu! .... ongezea!..