sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SIRA 31:25-31, Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.

    Salaam Wakuu,.... SIRA 31 Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu 25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe, maana pombe imewaangamiza wengi. 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila...
  2. JamiiForums Tanzania Hili la ENL nimefaidi sana, Ahsanteni vijana wa zamani hizo

    🕯Salaam Wakuu🕯 1. Nyuzi zinapishana sana 2. Historia imerudi nyuma 3. Mengi yameibuka. 4. Wengi wamezungumza 5. Lakini sioni wa kumwamini Napata picha ENL alikua mtu mkubwa sana katika siasa ya nchi hii kushinda hata baadhi ya Maraisi wetu. Mimi kwake nimejifunza kitu kimoja kikubwa - UKIMYA...
  3. JamiiForums Tanzania Huduma za serikali zilizopo mipakani ni rahisi wasio raia kufaidika mfano elimu

    Nikweli kabisa mipakani kuna muingiliano mkubwa na muingiliano kwenye mipaka kuna jamii na vijiji vinavyo kuwepo vikipata huduma za serikali kama shule ,matibabu na n.k. jambo ambalo linaweza kumpa mtu fursa kupenya haraka ni ili swala la elimu kuanzia shule ya msingi pale wanafunzi kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu. Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake...
  5. JamiiForums Tanzania Haya mabasi ya mwendo kasi gerezani kimara yana majaribu makali sana

  6. JamiiForums Tanzania Tulia na mkeo/mmeo hata kama mna matatizo

    Ukifanya tendo la ndoa na mke wako, ajabu ni kwamba hata ukitoka hapo unakuwa na Amani tena sana. Unaweza kuamua kufanya maombi kwa Amani kabisa Tendo hilohilo la ndoa fanya na mtu mwingine asiekuwa mke wako, utaona kimbembe, utakosa Amani, unakosa ujasiri, huwezi hata kuomba, unahukumia moyoni...
  7. JamiiForums Tanzania Angalizo muhimu sana kwa CCM, mwenye sikio atege

    Nachelea kuita ONYO kwa CCM. Angalizo hili linaweza likawa la mwisho yaani msipoangalia kuna dalili mbaya sana ambayo itawagharimu na kutikisa Afrika. Kuendelea kukumbatia Katiba inayopigiwa kelele na wananchi kuwa haifai kwa mfumo wa siasa za vyama vingi, ni sawa na kulalia kitanda cha...
  8. JamiiForums Tanzania Tuache majivuno, dunia ina maajabu yake

    Kuna nchi niliishi hapa Africa kwa muda wa miezi kadha. Kuna vitu nilinifunza Sana kwenye ile nchi. Kwa muda nilioishi pale, sijasikia watu wakitukana. Ile nchi Ina wasichana wazuri, cha ajabu hawajivuni kutokana na uzuri wao. Hawatembei uchi, wanavaa kwa kujisitiri. Niliona wasichana...
  9. JamiiForums Tanzania hivi kwa nini waafrika kuzimia ni ngumu sana kwenye vipigo

    ili swali najiuliza sana yani ukilinganisha na wenzetu ambao sio asili ya afrika.unaweza kumpiga mzungu ngumi tatu za kutosha muda sio punde kazimia. ila huku kwetu mwizi anatandikwa na wananchi kama mia lakini bado yupo tu.kipondo cha FFU,polisi au wajeda lakini bado hupo tu. au tuna nguvu za ajabu
  10. JamiiForums Tanzania Mtu mpaka unakuja kuitwa muheshimiwa maghayo au Nyani Ngabu(PhD) unapitia Mengi sana

  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba SC mbona akili zenu zimelala sana?

    Hii timu ina viongozi wasiokuwa na maono kabisa na upigaji uliokithiri, pale mo arena tayari pana pitch nzuri tu. Kilichobakia hapo ni maboresho madogo tu. Vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji pamoja na vyoo, majukwaa mtaweka baadhi tu kwa kuwa mnaanza kidogo kidogo. Mkipata 1b hata kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kweli mtu anaamni Marekani hakuna madini? Africa tujitathmini sana

    Jana nilipost ugunduzi wa madini ya RE-E rare earths nchini marekani Jimbo la Wyoming. Kuna baadhi ya watu walibisha kwamba marekani ni waongo. Hawana hayo madini. Nilijiuliza sana uwezo wa Hawa watu wa kufikiri. Ukubwa wa USA🇺🇸 ni karibia 10 million km2 za mraba. Ina maana ukubwa wa USA ni...
  13. JamiiForums Tanzania Wahamiaji kutoka Iran wadaiwa kuwa wengi zaidi nchini Afrika Kusini kwa bara la Afrika

    idadi ya wa iran iliyopo kitakwimu 5000 na ikadiliwa kuongeza south afrika. nacho jiuliza wameipendea nini south africa. Unamkumbuka huyu mama anayetishiwa na waisraeli .kumbuka miliki nyingi za South Afrika asilimia kubwa ni Waisraeli.
  14. JamiiForums Tanzania Mfalme Abdullah wa Jordan ana utani mkubwa sana

    King Abdullah mfalme wa Jordan alikuwa White House Amefanya mazungumzo wa raisi Biden kuhusu special operation ya kivita Kati ya Israel na HAMAS Amemuomba raisi Biden kwamba Israel isitishe operation ya kivita mjini Rafah. Anadai raia wengi watakufa Amemushauri Rais Biden kwamba mchakato wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wasio katika mahusiano imara ndio wanazungumzia sana siku ya wapendanao

    Angalia tu hata kwenye contact list yako. Wanaopost sana status kuhusu valentines ni wale wasiojulikana bwana zao. Walioolewa na wale wenye mahusiano hai, hawajishughulishi sana.
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku umekumbwa na nini hadi leo hii umsifie hivi marehemu Lowassa ambaye ulitokea kumchukia sana mwaka 2015?

    "Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu...
  17. JamiiForums Tanzania Kila ninapofanya jambo hili napata amani sana Moyoni

    Habari Watanzania? Moja kwa moja kwenye mada! Nimekuwa nachangia damu mara kwa mara kadiri ninapojisikia bila hata shinikizo au ushawishi wowote. Hii tabia niliianza nikiwa nasoma kidato cha nne mpaka leo. Ukweli ni kwamba kila ninapochangia Damu, moyo wangu unapata amani achilia mbali...
  18. JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

    Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali. Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama. Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi nauliza nini sababu ya kuficha ficha Expiry date kwenye bidhaa nyingi hapa Tanzania? Kwanini zinaandikwa wala hazieleweki nini sababu?

    Hivi kwa mfano Naomba nisaidiwe kusoma hiyo expire date hapo kwenye picha Na bidhaa za aina hii zipo nyingi yani expired date haieleweki kabisa utakuta imeandikwa ila huwezi kuielewa kabisa Ni nini tatizo mbona bidhaa za nchi zingine zinasomeka vizuri kabisa tarehe ya kuzalishwa na mwisho...
  20. JamiiForums Tanzania KWELI Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hukatwa PAYE kama wafanyakazi wengine

    Nimekuwa nikisikia kuwa wabunge wetu hawalipi kodi kwenye mshahara mnono wanaopata. Kuwa walimu wanalipwa Tsh 400,000 lakini kamshahara hako kanaliwa na PAYE. Wabunge wetu wakiwa kwenye vikao, sitting allowance na Perdiem wanakunja 470,000 kwa siku, Mshahara wa mwisho wa mwezi nao mnono...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…