Wahamiaji kutoka Iran wadaiwa kuwa wengi zaidi nchini Afrika Kusini kwa bara la Afrika

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,738
idadi ya wa iran iliyopo kitakwimu 5000 na ikadiliwa kuongeza south afrika. nacho jiuliza wameipendea nini south africa.

Unamkumbuka huyu mama anayetishiwa na waisraeli .kumbuka miliki nyingi za South Afrika asilimia kubwa ni Waisraeli.

Africa-IranSouthAFrica-20120314.jpg
 
idadi ya wa iran iliyopo kitakwimu 5000 na ikadiliwa kuongeza south afrika. nacho jiuliza wameipendea nini south africa.
una mkumbuka huyu mama anayetishiwa na waisraeli .kumbuka miliki nyingi za south afrika asilimia kubwa ni waisraeli.
Depopulation ya Africans strategy
 
Tunakoelekezwa siko...

Na rwanda wanaingia.. .. kibati kitashika moto ..miaka michache tu ijayo...
 
Waafrika pia waende iran, wanakuja tu kwetu, why sisi tusiende kwao? Kuna mengine yataletwa rwanda kama mahamiaji toka nchi zenye vurugu za kiislam. Wakija kwetu waachane na itikadi kali za kiislam hatuzitaki
 
Back
Top Bottom