samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka kuiteka nyara nchi

    Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050. Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli atawale milele. Maneno gani haya?" Masheikh juzi wameshinda kesi mahkamani,wamekamatwa tena,sasa hii...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema tuwe na jamii yenye ujasiri wa kuhoji

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan katika maazimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara. Ambapo...
  3. JamiiForums Tanzania Ilipaswa Rais Samia leo aahirishe shamrashamra za Independence day

    Sijui kwa kweli ila ni Aibu. Achilia mbali majonzi tulio nayo Hanang... Hali ya Miundo mbinu sehemu mbalimbali nchi.. Kukatika kwa umeme kusiko koma. Hali ni mbaya mno. Tunaendaje sherekea. !? Picha la kutisha..kama CYBORG....😱😱
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

    Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati, Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana! Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira...
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Taifa limepata faraja inayostahili toka kwa Rais Samia

  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM naomba unipendekeze kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

    Astrid.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chawa wa mama: Namshukuru mama Samia kwa tope la Hanang

    Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......" Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka. Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejea kuomboleza msiba wa Hanang au amekuja kutuhamishia Burundi?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja sitaki kuwachosha. Mnakumbuka vizuri madhila yaliyotupata watanzania mwaka jana wakati serikali ilipoongezeka tozo za miamala maradufu hivyo kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu maradufu. Kana kwamba hiyo haitoshi waziri wa fedha msomi, Mwigulu Nchemba...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  12. JamiiForums Tanzania Samia akitoka Dubai kutua moja kwa moja Tanesco Nyakato Mwanza

    Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza. Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa. Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

    Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai, leo Disemba 2, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai leo tarehe 02 Disemba, 2023. https://www.youtube.com/live/QhCQ0BcQr6Y?si=YVfDvsdluuMGYwOv Rais wa Jamhuri ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi. Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

    Salam kwenu nyote, Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze kujoamini katika kazi zake na maamuzi bila kuingiliwa. Hongera kwa vyombo vya usalama kwa kufanya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, unahujumiwa huku Morogoro katika miradi. Agiza uchunguzi wa haraka

    Kwa kipindi kirefu sasa rais wetu, mama Samia Suluhu Hassan amekuwa akihangaika kubuni mbinu mbalimbali kwa lengo la kutatua kero za wananchi. Sisi wananchi wa kata ya Lukobe, Morogoro tunathamini na kuunga mkono juhudi hizo. Ila kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watendaji wake hawathamini juhudi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi wa sekta ya afya waliopata ufadhili kupitia mpango wa “Samia health super specialisation scholarship program 2023/24”

    1. Hongera waliopata 2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA. Short of that napongeza hatua hii.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Halmashauri ya CCM Taifa, Ikulu DSM Leo Novemba 29, 2023

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  20. JamiiForums Tanzania Jimbo la Ushetu: Wananchi wa Ukune, Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan

    📍 Jimbo la Ushetu: Wananchi wa Ukune, Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan 🏥🚑🤰🏽🧑🏽‍🍼 ▪️Wananchi wa Ukune,Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan ▪️Mbunge wa Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani azidi kukonga nyoyo wananchi wa Ushetu Wananchi wa Kata ya Ukune katika Halmashauri ya Ushetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…