salender

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

    MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU. Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi. Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
  2. FRANCIS DA DON

    Daraja la Tanzanite kuzinduliwa hivi karibuni

    Nasikia kwa sasa zinafanyika taratibu za kujenga mnara wa uzinduzi. Picha ni kama zinavyojieleza. ================================== 17/11/2021
  3. T

    Tukio la salender Breage nashauri Rais aunde kamati au vyombo vya kijasusi vije kusaidia.

    Pole jeshi la polisi pia pole taifa kwa msiba mzito ulio tukuta kama Taifa. Ila Kuna ukweli watanzania wanaitaji kujuwa na ukweli huwo utatuweka huru na kila maneno yanayo endelea kwa sasa. Sidhani kama itakuwa vyema jeshi la polis liachiwe jambo hili pekeyake pasipo kuunda kamati maalumu yenye...
  4. Stephano Mgendanyi

    Kuanza kuhusisha siasa kumtengenezea Muuaji kadi ya Chadema ama kuonyesha UCCM wake ni ushamba

    BINAMU HIMSELF: TUKIO LA MAUAJI SALENDER BRIDGE JANA Tukio la mauaji Salender Bridge jana Kumekuwa na hisia na hukumu nyingi kuhusiana na tukio la jana lililopoteza maisha ya watu watano. Ugaidi, kisasi, chuki vimetajwa kama sababu na baadhi ya wengi, Ilimradi kila mmoja amesema anavyodhani ni...
  5. figganigga

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news? Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic. ======== Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya...
Back
Top Bottom