ubalozi wa ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SAYVILLE

    Hili bango karibu na Ubalozi wa Ufaransa limenifikirisha

    Juzi nilipita maeneo ya karibu na Ubalozi wa Ufaransa nikaona bango moja limeandikwa "Kifo cha Imam Husain kinatukumbusha umuhimu wa Uhuru". Huwa nina kawaida nikiona mabango ya dini napendaga kufuatilia zaidi maandiko yale hasa kama kuna ujumbe ambao umenigusa wakati huo. Ila kuna kitu zaidi...
  2. Jasusi Uchwara

    Ni sababu zipi zilimfanya Hamza kuwa Gaidi?

    Jamii ya Sasa ina uelewa mkubwa Sana tofauti na jamii iliyowahi kuongozwa na kina Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete. Huwa nasema kuwa Viongozi wetu wasipoijua jamii wanayoiongoza watapatwa na taabu na kudharaulika kila Siku. Kwa Tanzania Sasa hivi haishangazi kukuta Graduate anaendesha Bodaboda...
  3. beth

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  4. T

    Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

    Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na wanaharakati wa upinzani wanavyomuunga mkono gaidi Hamza aliyeua Watanzania wenzetu 4 na kuwajeruhi...
  5. Uzalendo wa Kitanzania

    Mama Mzazi na dadake Hamza waachiwa na Jeshi la Polisi

    Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limewaachia huru Mama Mzazi wa Hamza pamoja na Dadake Hata hivyo bado jeshi hilo linawashikilia watu wengine watano wa familia kwa mahojiano zaidi kufuatia mauaji ya askari watatu yaliyofanywa na Hamza hivi karibuni ===== Dar es Salaam. Wakati mama na dada wa...
  6. wa stendi

    Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

    Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli. Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta...
  7. Fundi Madirisha

    Kwanini wanalaumiwa Polisi na siyo Hamza?

    Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida...
  8. D

    Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

    Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU! Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU! Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto) Kila mtu ana HAKI Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
  9. Zanzibar-ASP

    Kwanini Hamza aliwalenga Polisi tu?

    Hilo ndio swali kuu kwa sasa. Kwanini Hamza alikuwa akiwapiga risasi polisi tu na sio raia wengine? Mashuhuda wanasema Hamza alikuwa akisema anawataka Polisi awamalize na hakuwa na dhamira mbaya na raia wengine waliokuwepo mazingira yake. Kama kuna raia yoyote alipigwa na risasi huenda ilikuwa...
  10. comte

    Hamza, askari, ubalozi wa Ufaransa..........

    Hamza kawashambulia na kuwauwa askari na kuchukua silaha zao mbili. Askari hao kwa Hamza walikuwa SOFT TARGET. Hamza kwa weledi mkubwa anatumia silaha vizuri kama askari mwenye mafunzo anayejua atendalo. Hamza anaenda ama anaelekea ubalozi wa Ufaransa!?. Inashangaza lakini ngoja kidogo- Kampuni...
  11. Jasusi Uchwara

    Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Kimsingi kuna kitu hakifahamiki vizuri kwa wananchi, vyombo vya usalama nacho ni neno UGAIDI na kama wanakifahamu vizuri basi wanapotosha purposely. Neno ugaidi lina maana ya Tishio, au kitendo kinacholenga kutisha watu kwa malengo ya kisiasa, kijamii, na kiusalama, hii ndio maana halisi...
  12. The Genius

    PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

    Anaandika Christopher Cyrilo. ___ PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw. Hamza kwa kushtukiza. Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia...
  13. figganigga

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news? Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic. ======== Mtu mmoja ambaye alionekana kufyatua risasi karibu na Ubalozi wa Ufaransa Jijini Dar es Salaam amedhibitiwa na Vyombo vya...
  14. K

    Kama kwenye familia zetu tuna wakina Hamza tusinyamaze

    Kwenye familia nyingi kuna watu hasa vijana wanaopitia majaribu mengi ya kimaisha wakati wakijaribu kujua na kujiuliza kwanini wapo hapa Duniani. Kwenye kipindi hiki hawa ndugu wengi wakiwa vijana ni wakati mgumu sana kwenye maisha yao. Haya matukio yamekuwa yakitokea kila siku lakini wengi...
  15. chizcom

    Hamza ni kama kijana Mohamed Bouazizi wa Tunisia

    Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri. Mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga...
  16. Dogo GSM

    Jamaa alilenga kufanya mashambulizi ubalozini na si vinginevyo

    Wadau kwa maswali mnahoji uliza, kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba, jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake. Pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake. Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa...
  17. mtarimbo

    Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

    Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
  18. From Sir With Love

    Kwanini tukio liwe karibu na Ubalozi wa Ufaransa?

    Inasemekana jamaa alishuswa na bodaboda na akaenda kwenye kibanda cha askari pale kwenye makutano kama vile ana shida. Akachomoa bastola na kuwauwa askari wawili, askari mmoja akapigwa risasi kwenye bega. Akachukua silaha za wale askari akawa anatesa nazo. Lakini kwanini iwe maeneo yale...
  19. Suley2019

    Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

    Katika hali isiyotarajiwa mtu mmoja amezua taharuki katika eneo la Daraja la Selandar jirani na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 25, 2021. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea Saba kasoro mchana huu, mtu huyo ambaye hakujulikana alikotokea, alianza...
Back
Top Bottom