Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.
Nafikiri ni muda sahihi sasa wa Serikali kulazimisha usafiri wa umma kubeba level seat Ili si tu kukabiliana na COVID bali hata magonjwa mengine ikiwamo TB,Magonjwa yote ya kuambukiza kuanzia UTI,CHOLERA n k.
Watu wanahemeana sana mpaka wanapakana majasho na kuhemeana usoni kabisa.
Serikali...
Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19.
Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania.
Aidha...
Ukitokea Mwenge kuelekea Morocco
Traffic lights
1. Mwenge
2. Njia panda ya ITV
3. Bamaga
4. Sayansi
5. Millenium tower
6. Makumbusho
7. Njia panda ya Mwananyamala
8. Njia panda ya Kairuki hospital
9. Njia panda ya Chato ( Vodacom)
10. Morocco
Vituo vya Daladala
1. ITV
2. Bamaga
3. Sayansi
4...
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
Ni shauri wangu
Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili.
Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
SAFIRI SALAMA NA BINTI YAKO, USIMUACHE; HUKO MBELE HAKUFAI.
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Andiko hili lamfaa mtu yeyote yule, hasa wazazi wenye watoto wakike. Bila shaka litakuwa msaada kwa sehemu kubwa ikiwa litazingatiwa.
Nilipokuwa mwaka wa pili pale UDSM nikiwa naishi Sinza Kwaremi, nilipata...
Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo kupelekea ma OCD kusitisha kufanyika kwa mikutano hiyo.
Toka tarehe 17/03/2021 hali ya Usalama...
Leo GENTAMYCINE nawapigia ' Salute ' JF Members wote kwani mnafanya Kazi kubwa sana ya ' Kuibua ' mambo mazito na makubwa ya Kuisaidia nchi ya Tanzania huenda kuliko mnavyojua.
Nakumbuka huko nyuma miaka Miwili imepita niliwahi kusema hapa hapa kuwa kama kuna Mshauri Mkuu namba Moja wa Rais au...
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema watu wa wanaokadiriwa milioni 600 huugua kutokana na kula chakula kisichosalama na kati yao takribani watu 420,000 hupoteza maisha kila mwaka
Takwimu zinaonyesh kuwa wahanga wengi wa chakula kisichosalama ni watoto walio chini ya umri wa miaka mitano...
Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema.
Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema.
Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni...
Siku za kujifungua zinapokaribia ni muhimu maandalizi ya kumfikisha mjamzito Kituo Cha Afya yafanyike kwasababu kujifungulia Kituo cha Afya ni salama zaidi ya kujifungulia nyumbani.
Hakikisha Mama ana vifaa hivi: Sabuni, Boksi dogo la glovu, Khanga/Vitenge, Nepi, kifunga kitovu, kiwembe/mkasi...
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga yuko salama kufuatia ajali ya Chopa iliyotokea katika Kaunti ya Siaya Jumapili jioni. Chopa hiyo ilikuwa imemsafirisha kutoka Kisumu hadi Gem katika Kaunti ya Siaya ilipoanguka.
Taarifa kutoka kwa Msemaji wake Dennis Onyango ilisema Chopa ilianguka...
katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama
Tumevuka nyakati ngumu sana...
Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home.
Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia
Pale kona ya Makaburini Luventry nilikuta kijana mmoja na Girlfriend au Mke wake wamekatwa mapanga...
#MUHAMBWE
KIGOMA
Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewasili Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya kampeni kwa wagombea Chama Cha Mapinduzi katika majimbo yote mawili ya Muhambwe na Buhigwe
Wabunge hao ni Mheshimiwa Asia Alamga pamoja na Ng'wasi Kamani...
Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace karia amesema kuna taarifa itatolewa, hio ndio itaeleza Kila kitu juu ya mechi ya Simba dhidi ya Yanga kusogezwa mbele hadi kuahirishwa, lakini kwa sasa hata yeye hajui nini kilitokea.
Karia amesema kuhusu hela za viingilio za mashahiki, zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.