#COVID19 Ex-Vice President wa Pfizer, Profesa Mike Yeadon: Chanjo za COVID- 19 si salama

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,970
2,000
Profesa Mike Yeadon(clip ya mwisho) amekuwa katika biashara za kutengeneza chanjo maisha yake yote, na wakati anastaafu alikuwa ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Pfizer, moja ya makampuni mashuhuri yanayotengeneza chanjo ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na chanjo za Uviko-19.

Kwa hiyo Mwanasayansi aliyebobea kama yeye anaposema: ".. Chanjo za Uviko-19 si salama," basi huyu awe ni mtu wa kusikilizwa kwa juhudi zote, kwa sababu kauli yake ni kweli,kauli yake haina chembechembe za ubinafsi, kauli yake inajitegemea kwa asilimia mia moja. Wakati hawa madaktari wengine, (ambao wengi wao wapo kwenye makwapa ya makapuni makubwa ya madawa, hawa siyo tu ni wa kupuuzwa,bali wawe ni wa kutazamwa kwa macho mawili, kwa sababu wanahatarisha uhuru na usalama wa nchi na wananchi wa Tanzania.

Profesa Mike Yeadan hayupo peke yake. Timu ya uchunguzi ya madaktari huko Uingereza hivi karibuni imeishauri serikali ya nchi hiyo kusitisha mradi wa chanjo za Uviko-19 mara moja kwa sababu si salama.

Bingwa mwingine kwenye utengenezaji wa hizi chanjo na ambaye pia kakiri kuwa chanjo za Uviko-19 si salama ni Dr. Geert Vanden Bossche.

Mtaalamu mwingine, Dr. Hall, akiongea mbele ya Senate Committee on State Affairs huko Marekani alisema hivi:
"Mwaka 1976 chanjo za "swine flu" watu takribani milioni 45 walichanjwa. Kati ya hao watu 53 (hamsini na tatu) walikufa kutokana hizo chanjo. Matokeo yalikuwa ni chanjo hiyo kupigwa marufuku mara moja kwa hoja ya kuwa zilikuwa hatarishi,yaani si salama.
Wakati katika muhula wa miezi minne tu, Desemba 2020 hadi Aprili 23, Chanjo za Uviko-19 zimesababisha vifo vya watu
3,362,yaani wastani wa watu 30 kila siku, na bado Ulimwengu umekaa kimya kabisa. Nini kinafichwa hapa?"

World Doctors Alliance, umoja unaokusanya maelfu ya madaktari kutoka kila kona ya dunia nao umetamka bila kigugumizi kuwa chanjo za uviko-19 si salama.

Chanjo hizi zinasambazwa kwa kutumia kitu kinachoitwa Emergency Authorization. (idhini ya dharura) Hii ni kukwepa uwajibikaji, kwani hii ndio njia pekee wanaweza kisheria kutumia ile "caveat" ya kukataa kuwajibika. Nchi ikishatoa "Approval" basi hili la kutowajibika haliwezi ku-'apply' tena. Ndiyo sababu hakuna nchi hata moja hadi sasa ambayo imetoa approval, mataifa yanakwepa kuwajibika.

Jambo lingine la kulizingatia ni kwamba Mabeberu wa nje na ndani, wanasambaza chanjo za Uviko-19 kwa kutumia silaha kuu tatu: Ulaghai, Vitisho na Rushwa.
Hivyo basi, watu wote wanaoshabikia chanjo hizi watakuwa wame-'fall victim to one of these three weapons.'

Kwenye hili sakata la chanjo za Uviko-19, swali lingine la msingi ambalo bado linalilia jibu ni hili: Dawa zilizothibitika kuponya huu ugonjwa zipo, kama Hydroxychloroquine, Ivermectin, Covidal, Nyungu, ile ya Madagascar nk nk nk. Kwa nini dawa hizi zote zimezimwa, badala yake zinasambazwa chanjo zisizoponya, zisizoweza kuzuia kuambukiza au kuambukizwa na ambazo ni sumu? Kwa nini?Clips zinazo comfirm ubaya wa chanjo za Uviko -19.Zipo nyingi sana,sana,sana,hizi ni chache tu.
 
Attachments

 • File size
  6.5 MB
  Views
  0
 • File size
  40.3 MB
  Views
  0
 • File size
  15.1 MB
  Views
  0
 • File size
  7.7 MB
  Views
  0
 • File size
  7.7 MB
  Views
  0
 • File size
  6 MB
  Views
  0

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
13,374
2,000
Profesa Mike Yeadon amekuwa katika biashara za kutengeneza chanjo maisha yake yote, na wakati anastaafu alikuwa ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Pfizer, moja ya makampuni mashuhuri yanayotengeneza chanjo ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na chanjo za Uviko-19.

Kwa hiyo Mwanasayansi aliyebobea kama yeye anaposema: ".. Chanjo za Uviko-19 si salama," basi huyu awe ni mtu wa kusikilizwa kwa juhudi zote, kwa sababu kauli yake ni kweli,kauli yake haina chembechembe za ubinafsi, kauli yake inajitegemea kwa asilimia mia moja. Wakati hawa madaktari wengine, (ambao wengi wao wapo kwenye makwapa ya makapuni makubwa ya madawa, hawa siyo tu ni wa kupuuzwa,bali wawe ni wa kutazamwa kwa macho mawili, kwa sababu wanahatarisha uhuru na usalama wa nchi na wananchi wa Tanzania.

Profesa Mike Yeadan hayupo peke yake. Timu ya uchunguzi ya madaktari huko Uingereza hivi karibuni imeishauri serikali ya nchi hiyo kusitisha mradi wa chanjo za Uviko-19 mara moja kwa sababu si salama.

Bingwa mwingine kwenye utengenezaji wa hizi chanjo na ambaye pia kakiri kuwa chanjo za Uviko-19 si salama ni Dr. Geert Vanden Bossche.

Mtaalamu mwingine, Dr. Hall, akiongea mbele ya Senate Committee on State Affairs huko Marekani alisema hivi:
"Mwaka 1976 chanjo za "swine flu" watu takribani milioni 45 walichanjwa. Kati ya hao watu 53 (hamsini na tatu) walikufa kutokana hizo chanjo. Matokeo yalikuwa ni chanjo hiyo kupigwa marufuku mara moja kwa hoja ya kuwa zilikuwa hatarishi,yaani si salama.
Wakati katika muhula wa miezi minne tu, Desemba 2020 hadi Aprili 23, Chanjo za Uviko-19 zimesababisha vifo vya watu
3,362,yaani wastani wa watu 30 kila siku, na bado Ulimwengu umekaa kimya kabisa. Nini kinafichwa hapa?"

World Doctors Alliance, umoja unaokusanya maelfu ya madaktari kutoka kila kona ya dunia nao umetamka bila kigugumizi kuwa chanjo za uviko-19 si salama.

Chanjo hizi zinasambazwa kwa kutumia kitu kinachoitwa Emergency Authorization. (idhini ya dharura) Hii ni kukwepa uwajibikaji, kwani hii ndio njia pekee wanaweza kisheria kutumia ile "caveat" ya kukataa kuwajibika. Nchi ikishatoa "Approval" basi hili la kutowajibika haliwezi ku-'apply' tena. Ndiyo sababu hakuna nchi hata moja hadi sasa ambayo imetoa approval, mataifa yanakwepa kuwajibika.

Jambo lingine la kulizingatia ni kwamba Mabeberu wa nje na ndani, wanasambaza chanjo za Uviko-19 kwa kutumia silaha kuu tatu: Ulaghai, Vitisho na Rushwa.
Hivyo basi, watu wote wanaoshabikia chanjo hizi watakuwa wame-'fall victim to one of these three weapons.'

Kwenye hili sakata la chanjo za Uviko-19, swali lingine la msingi ambalo bado linalilia jibu ni hili: Dawa zilizothibitika kuponya huu ugonjwa zipo, kama Hydroxychloroquine, Ivermectin, Covidal, Nyungu, ile ya Madagascar nk nk nk. Kwa nini dawa hizi zote zimezimwa, badala yake zinasambazwa chanjo zisizoponya, zisizoweza kuzuia kuambukiza au kuambukizwa na ambazo ni sumu? Kwa nini?

mkali@live.co.uk.
30/07/2021.

Clips zinazo comfirm ubaya wa chanjo za Uviko -19.

Vipi makanisa ya lile dhehebu lenu ya wokovu kamili yalishaacha kuunguzwa?

Wewe komaa na neno huko kwa mabeberu.

Sisi huku tuna mambo yetu j3 na j4.

Hapa ni kama watupigia kelele tu.
 
Galileo_Gaucho

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,267

Guda
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,970
2,000
Umeandika upumbavu tu umetummwa na gwajima

USSR
Kwa comment hii mtu mwenye akili timamu atakuona wewe ni mpuuzi tu.
Kinachotakiwa ni hoja zenye nguvu mbadala,sio matusi.

Naomba pia uelewe kwamba Gwajima hajashikia watu wengine akili,kama wewe ulivyoshikiwa na CIA kwa ujira wa vidola.By the way,Comander wenu wa the CIA Gang in Tanzania Mbowe anaemdeleaje?Na kaka yake yule "Transgender" alipona,au chanjo imesha take it's toll?

Tumsubiri Mbowe,na yeye nasikia haeleweki,sijui ndizo effects za chanjo?
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,970
2,000
Vipi makanisa ya lile dhehebu lenu ya wokovu kamili yalishaacha kuunguzwa?

Wewe komaa na neno huko kwa mabeberu.

Sisi huku tuna mambo yetu j3 na j4.

Hapa ni kama watupigia kelele tu.
Wewe ni ki-dumper na CIA operative utajalije maisha ya Watanzania,hata wakifa si neno kwako.Unajali vidola tu CIA wanavyokupa.
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,970
2,000
Mradi isiwe lazima tu
Hawatasema lazima,ila wakisema usifanye hivi au usienda hapa bila kuchanjwa si lazima tayari.Tayari wafanyakazi wa East Africa Seed Company wameshaambiwa bila evidence kwamba wechanjwa ofisi za kampuni ni out of bounds👇.
See this👇

IMG-20210728-WA0000.jpg
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
13,374
2,000
Wewe ni ki-dumper na CIA operative utajalije maisha ya Watanzania,hata wakifa si neno kwako.Unajali vidola tu CIA wanavyokupa.

Kidampa ni wewe unayekesha kwenye makanisa uchwara yasiyokuwa na tija (yenye kuharamisha hata blood transfusion) wala nafasi Africa.

CIA akatoe dola za nini sasa ili iweje? Kadanganyeni ndege wa angani.

Kwa taarifa yako sisi twapata chanjo bure kwa hisani ya Marekani.

Mmetuchelewasha sana hadi babu Loliondo katutoka kwa upumbavu wenu.

You are very filthy!
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
13,374
2,000
Pilipili usiyoila inakuwashia nini? Umeshaambiwa kuchoma ni hiari hivyo watakaopenda kuchoma watachoma na wewe baki na misimamo yako.

Halafu mbaya zaidi ni kuwa hili Mathanzua ni kasisi uchwara liko nje huko.

Chanjo, chanjo si akachanjwe kama anataka kama hataki mbona safi tu.

Full machozi ya mamba.
 
Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
854
1,000
Halafu mbaya zaidi ni kuwa hili Mathanzua ni kasisi uchwara liko nje huko.

Chanjo, chanjo si akachanjwe kama anataka kama hataki mbona safi tu.

Full machozi ya mamba.
Ndio hivyo kila mtu ana haki ya kuamua anachokitaka hivyo msimamo wako mtu mmoja hauwezi kufanya ndio msimamo wa wote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom