Namshukuru Mungu zoezi langu la kutoa pesa kwenye simu limeenda salama

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Hatimae leo nimefanikiwa kutoa pesa iliyokuwa kwenye simu yangu kwa Uchungu mkubwa.

Kabla ya makato ya serikali nilikuwa na mazoea ya kuweka pesa yangu ya akiba kidogo kwenye simu na nyingine cash kwenye kibubu,
siku moja kabla ya ongezeko nilitumiwa meseji kuhusu makato nilijua yatakuwa madogo sana kwa sababu ni ya, serikali hivyo niliamua kuacha pesa kwa simu bila hofu.

Nilikuja kushituka usiku nilipokuja kuona mkeka wa makato unavyosoma na ndio zoezi limeanza nilishindwa kuwaza nifanye nini zaidi ya kuamua kuiacha

Ni pesa Ndogo lakini kwangu ni kubwa ilikuwa tu 150k (laki na nusu)

Imekaa humo mpaka leo nilipoamua tu ngoja nikatoe niitiage kwenye kibubu ichanganyikane na wenzake

Siwafichi haya makato yanauma sana, ni kama kisu basi yanakata mpaka kwenye mfupa

150k hapo nimekatwa 6k (elfu sita), fikiria ni laki na nusu tu lakini makato elfu 6

Sahani 3 za kiepe yai, au sahani 4 nne za kiepe kavu

Elfu 6 hiyo, papuchi mbili pale kwenye vyumba vya hapo Buguruni, au mbili za chap chap hapo Chako ni Chako Dodoma,

Wakati wa makato nimeweweseka kwa kweli mpaka mikono ikawa inatetemeka

Na kukumbuka juzi nimeshindwa kuitafuna papuchi ya jirani yangu kisa tu aliniomba elfu 5 na kutaka kunitunuku nikasema sina, ila leo nimekatwa 6k na serikari bila kunifanyia kazi yeyote, sawa kikubwa namshukuru Mungu zoezi langu la kutoa pesa limeenda salama na hivi sasa naendelea vizuri.

Mimi kuja kuweka tena pesa kwenye simu mimi!


Cc Zero IQ
 
Unaongea kama vile papuchi za wauza nyuchi ni kitu kizuri na cha thamani kuliko mapato ya serikali... Jina lako nani tena.... Ohh nimekusamehe kumbe huna akili 🤣🤣
 
Unaongea kama vile papuchi za wauza nyuchi ni kitu kizuri na cha thamani kuliko mapato ya serikali... Jina lako nani tena.... Ohh nimekusamehe kumbe huna akili
Bora papuchi mkuu kuliko hayo makato yanayoenda kulipa ada ya mtoto wa mwigulu pale Feza school,

Yangekuwa yanajenga madaraja, shule, mikopo kwa vijana, kusaidia familia za wasiojiweza,Na N.K ningesema sawa.
 
Bora papuchi mkuu kuliko hayo makato yanayoenda kulipa ada ya mtoto wa mwigulu pale Feza school,

Yangekuwa yanajenga madaraja, shule, mikopo kwa vijana, kusaidia familia za wasiojiweza,Na N.K ningesema sawa.
Ukatwe usikatwe wao wataenda Feza tu wakulaumiwa niwewe wewe ambao uliwaweka hapo kama wabunge wawakilishi wako.
 
Ukatwe usikatwe wao wataenda Feza tu wakulaumiwa niwewe wewe ambao uliwaweka hapo kama wabunge wawakilishi wako.
Ndio maana najitahidi ata kupunguzwa kukatwa
 
8GU65NKLEFI Imethibitishwa tarehe 30/7/21 saa 10:58 AM Pokea kiasi cha Tsh159,000.00 kutoka kwa 757557 - NOBERT JUMA KIFEFE Jumla ya Ada Tsh6,180.00 (M-Pesa Ada Tsh3,650.00 + TOZO ya Serikali Tsh2,530.00). Salio ni Tsh0.00.

Ni hatari na nusu.....Yani nimetoa hela hadi maumivu....
Umetoa 144,000.00 Tsh. Kwa wakala: JULIAS MASAWE.Makato Tsh 6,130.00( Ada Tsh 3,600.00 + Kodi Tsh 2,530.00).Salio Jipya Tsh 504.00. Muamala No: CO210730.1304.E58770


Wacha kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom