Chakwera si mtu sahihi kuja Tanzania

Chakwera si mtu sahihi kuja Tanzania

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
1,114
Reaction score
2,088
Tanzania hatuhitaji symbolic envoy au mgeni wa kutuliza hali. Tunahitaji mtu mwenye meno, mwenye rekodi ya kushughulikia migogoro mikubwa, na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu mbele ya serikali yoyote.

Chakwera ni kiongozi soft spoken, wa diplomasia ya kawaida, na hana uzito unaohitajika kukabiliana na crisis ya kiwango kilichotokea.

Kinachomleta hapa ni kuonyesha tu international presence, sio ku address hitaji halisi la haki, ukweli, na uwajibikaji kwa kilichotokea.

Kwa kifupi kabisa:
  • Hana nguvu ya kui pressure Serikali ya hii kufanya accountability
  • Hana rekodi ya kutatua mgogoro wowote mkubwa wa kimataifa
  • Hana influence yoyote ya kikanda au kimataifa
  • Hana leverage ya kisheria, kisiasa, wala ya kimfumo ya kusukuma maamuzi magumu
  • Hana credibility kwa Watanzania, ambao hatudanganyiki na symbolic visits
  • Hawezi kusuluhisha mgogoro kwa scale, maumivu, na ukubwa wa kilichotokea
Anaweza kuja kama courtesy visitor kusalimia, kutuliza, kuonyesha kuna juhudi zinafanyika kimataifa. lakini si mediator mwenye uwezo wa kushughulikia chanzo, ukweli, au matokeo ya tulipofikia.
 
JF

Tutamfurumusha na mawe
 
Back
Top Bottom