sahihi

  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  2. Obugwa Izoba

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

    Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani. Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama...
  3. Little brain

    JamiiForums Tanzania Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

    Uchambuzi wa kina 1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?" Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani. Kiuhalisia: Dini hutofautiana kwa sababu ya tamaduni, historia, siasa, jiografia, lugha, na mapokeo ya watu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

    Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena Ukienda Tabora imekuwa Toronto na...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Motivational Speakers wako sahihi: Bidhaa yao ni hayo maneno yao

    Kuna vuguvugu la kuwaponda wazungumzaji wahamasisha maisha " motivational speaker '' KWA Wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajayafanya". Nimegundua wako sahihi. Wao hayo maneno wameyatafuta na ni Bidhaa kama zilivyobidhaa nyingine sokoni. Hawana haja ya kufanya, wewe unayesikia ndio...
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kwa umri wa miaka 65 ya Kassim Majaliwa ni sahihi kwake kuendelea kuwa Mbunge Kweli?

    Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge . Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Simba kwa kufanya maamuzi sahihi na hakika Simba ina Watu makini , Simba bingwa NBC premier league 2024/25

    Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani. Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali itafute njia sahihi ya Magari ya Mizigo yaliyopo eneo la DUCE

    Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo. Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je haya ni majibu sahihi kumjibu Mbunge aliyeuliza swali Bungeni ?

    Ufafanuzi. https://www.facebook.com/share/r/189pYZfp5v/
  11. Knock life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je umri wa miaka 32 ni umri sahihi wa kuoa na kuanzisha Maisha ya kifamilia?

    Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa. Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa? Ahsante.
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Huu ndio wakati sahihi Karia kuachia uongozi TFF

    Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio wakati muafaka kwake kuachia ngazi ili kutoa nafasi kwa viongozi wapya kuendeleza mchezo huo...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Wakristo kuishabikia Israeli inapowapa vipondo majirani zake?

    Swali langu ni hilo kwenu nyinyi mnaoshangilia na kuruka ruka mnaposikia Israeli imewapa vipondo majirani zake. Naomba mnipe majibu yenye msingi wa Maandiko. Mimi Biblia yangu inanikataza kufurahia vita na mauaji na badala yake inanihimiza kuombea amani na kuwa mpatanishi. "Heri wapatanishi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Nilichotaka kuandika kimeelezwa kwa urefu kwenye video hapo chini. Karibuni tujadili. Kuna app ya kutafsiri video kwa lugha nyingine nikiipata nitaiweka humu kuwasaidia wale ambao Kiingereza si rafiki. Video: https://youtu.be/JAydJoa2fLg?si=WpVmO1qU-TAjXEXp
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

    Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa . Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
  16. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Gerson Msigwa kafunga comenti instagram ni sahihi naomba kuuliza

    Moja ya post Tumejipanga kusimamia miundombinu ya michezo. Post hiyo upande wa comment imefungwa na Msigwa je hii ipo vipi?
  17. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Je, huyu askari yuko sahihi ama anataka nimpe rushwa tu?

    Habar wakuu Kuna siku mida ya saa tatu usiku nilipita sehemu nikavamiwa na vijana wakanikaba,kunitishia silaha na wakafanikiwa kuniibia simu pamoja na pesa kidogo,nikaenda kuripoti kituo Cha polisi nikafungue kesi na kupatiwa RB. Nikamtafuta mtuhumiwa wangu kimyakimya maana anajulikana na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shafii amtetea Gwajima, asema kama watu wanapotea na kutekwa ni haki kusema tunapoelekea si salama

    Sheikh Shafii alipokuwa akifanya mahojiano na Battle TV ameeleza kuwa alichokisema Askofu Gwajima ni sahihi labda kama amekosea eneo la kusema na kutoa baadhi ya mifano lakini kama watu wanatekwa kweli na kupotea ni haki kusema kuwa tunapolekea si salama. "Ukizungumzia kuhusu Gwajima watu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Gwajima yuko sahihi na ninasimama nae

    Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya. Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali anatoa dhidi ya nani. Gwajima kuongea suala la utekaji hayo ni maoni yake na hajavunja sheria yoyote ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

    Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa...
Back
Top Bottom