sahihi

  1. JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya nguvu kwa Askari wa Jeshi la Polisi ni sahihi?

    Katika mazingira ya kawaida askari polisi haruhusiwi kutumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa yeyote isipokuwa tu kama mtu huyo anakataa kukamatwa au anajaribu kutoroka Ijapokuwa askari polisi anaweza kutumia nguvu, lakini hayuko juu ya sheria, na iwapo atatumia nguvu isivyohitajika atachukuliwa hatua...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wale walioshiriki kutesa na kuumiza watu 2015-2020 bado wanaamini walifanya sahihi?

    Viongozi na watendaji walioshiriki kuumiza na kunyanyasa watu kwa sababu ya madaraka na kumlinda kiongozi bado wanaamini Mungu akuwaona? Je bado wanakula mema ya nchi Kama walivyotegemea au nyakati zakusaga meno zimewadia? Ni sahihi kuishi kwakumtegemea mwanadamu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi viongozi wote wakuu wa nchi kuwa mahali pamoja kwa wakati mmoja, ni hatari kwa Taifa

    Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja. Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CAG mstaafu Uttoh alikuwa sahihi kwamba kinacholipwa na baadhi ya mashirika siyo dividend bali ni kitu kingine

    Rais Samia amesema menejimenti na bodi za baadhi ya mashirika wamekuwa wakitafuta fedha huku na kule waweze kulipa gawio serikalini ili kulinda ajira zao. CPA Uttoh alisema dividend hulipwa kutoka kwenye faida na siyo vinginevyo. Ramadhan Kareem!
  7. JamiiForums Tanzania Naona kuna mtu hapa katumbukiza ‘coin’ za laki tatu kwenye kimashine cha mchina na kaliwa zote, haya ni matumizi sahihi ya ubongo?

    Halafu mkiitwa mataahira mtakasirika ================================= Update: ================================== Update:
  8. JamiiForums Tanzania Jitahidi kuchagua mwanamke sahihi wa kuzaa naye

    Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala. 1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo. 2. Usizae na mwanamke msomi...
  9. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

    Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini. '' Mtu akianzisha labda...
  10. JamiiForums Tanzania Mada moto: Ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umependaye?

    Inapofika wakati mpenzi wako anataka kuolewa au anataka kuoa na wewe ukijiangalia hauko tiyali kutokana sababu mbalimbali labda bado unasoma,hujajipanga vizuli, au kuna mambo unataka uyaweke sawa ndio uowee Je, ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umpendaye na ukasitisha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuingia maliwatoni na kapero (kofia au barakashe)?

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wakuu, Nisipoteze muda kuna hili swala limetokea pahali kidogo limenishangaza bada ya mzee mmoja kuchachama kwa ukali juu ya tabia ambayo binafsi sijaona kama ni tatizo japo si mumini wa hiyo tabia hapana. Mzee alikuwa mbogo na kudai kijana hayaheshimu maliwato...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Bunge si chombo sahihi kujadili na kuazimia kuhusu ripoti ya CAG,lipo biased

    Ukitafakari kwa kina utaona hakuna umuhimu wa ripoti ya CAG kupelekwa Bungeni. Spika wa Bunge amekuwa mtu wa Kwanza kudharau kazi ya CAG ambayo wapo wataalamu wanalipwa kuifanya. Aliikataa bila sababu za msingi ripoti ya Prof. Assad CAG mstaafu na leo ameonyesha wazi kutokubaliana na ripoti ya...
  14. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    Habari zenu jamiiforums Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
  15. JamiiForums Tanzania Maoni: Je, ni wakati sahihi wa kuanzishwa ofisi ya mamlaka ya mkaguzi mkuu wa hesabu ya serikali (Controller and Audit General Authority)?

    Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA). Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaotafuta mke au mume wa ndoa mitandaoni wanapataga kweli watu sahihi?

    Mara nyingi mitandaoni nimekuwa nikishuhudia mitandaoni sativa ski post mata ohoo natafute MTU wa kuoa, au nahitaji Mwanaume serious wa ndoa mwenye sifa hizi Mara zile . Napenda kuuliza, hivi hawa watu wanapataga watu sahihi kweli katika mahusiano ya ndoa?
  17. JamiiForums Tanzania Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    Na. M. M. Mwanakijiji Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi -...
  18. JamiiForums Tanzania Sikuwa mjinga, niliamini niko sahihi, leo Ndugai amejibu

    SIKUWA MJINGA, NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO NDUGAI AMEJIBU. Na Yericko Nyerere Job Ndugai mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala Tanzania, ananirejesha nyuma miaka miwili iliyopita 22 December 2019 nilipoandika Makala nikipinga hotuba ya Rais Magufuli...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi

    Kila Mtu anao ufunguo wake.Unaweza kuutumia ufunguo wako kwa kujifungia au kujifungulia fursa. Moja kati ya changamoto kubwa ni uwezo wa kuwa sehemu sahihi,kwa wakati sahihi kwa ajili ya fursa sahihi.Hii condition lazima itimie ili mtu aweze kupiga hatua ya kimaendelea katika maisha au jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…