sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    WANAWAKE WANAJUA NI MUDA GANI SAHIHI WA KUMSHINDA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanamke yeyote anayejifanya mjuaji kikawaida huwa na akili ndogo. Ni wengi huishia kwenye kushindwa vita nyingi kwa sababu ya upeo mdogo. Kwa sisi Watibeli, tunajua moja ya mbinu za Watu Smart hasa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kutumia ugaidi wakati unapopigania "uhuru?"

    Upo vitani. Unapigania "uhuru" au "Haki" yako. Adui unayepambana naye ni mwenye nguvu sana. Ukisema upambane naye hummudu. Ni sahihi kutumia ugaidi kupambana naye. Hapa ugaidi namaanisha kupiga watu na vitu vyake visivyo vya kijeshi? All is fair in war?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
  4. JamiiForums Tanzania Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

    Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada...
  5. JamiiForums Tanzania Tuache siasa katika elimu. Tahasusi mpya ni sahihi na zinapaswa kuongezwa zaidi

    Habari za wakati huu; Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
  6. JamiiForums Tanzania Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

    Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao...
  7. JamiiForums Tanzania Ule usemi wathibitishie adui zako kuwa hawako sahihi ni usemi wa kujitesa na utumwa tu

    Katika ubatili niliojifunza katika Dunia hii ni pamoja na kujitahidi kufanya mambo ili kuwaoneshea wengine kuwa wanavyosema au wanavyonitazama ni tofauti na nilivyo. Huu nao ni utumwa mkubwa sana kwa sababu inamfanya mtu kuishi kwa sababu ya wengine badala ya kuishi kwa ajili yake mwenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyepigwa Kigoma kisa Kamchape ulikuwa wakati sahihi kuonesha nguvu za Mungu sio kupiga simu Polisi

    Kwema Wakuu! Tukio la kupigwa kwa mchungaji na wanakijiji kisa Watoa uchawi maarufu kama Kamchape limezidi kudhihirisha dini na uchawi kwa sehemu kubwa ni utapeli. Hakukuwa na sababu ya Mchungaji kuwazuia hao waganga kuja kutoa Uchawi. Zaidi hakukuwa na sababu hata moja ya kupiga simu polisi...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

    NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je Kindamba ni mtu sahihi UDART? Ana exposure yoyote kuhusu sekta ya usafirishaji?

    Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni. Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Tanganyika inaweza kuendelea bila Zanzibar, and Vice versa

    Tanganyika inaweza kuendelea bila Zanzibar! Au Zanzibar inaweza kuendelea bila Tanganyika!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini kitakuwa sahihi zaidi mm kusomea?

    Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college) Naombeni ushauri katika hilo
  13. JamiiForums Tanzania NIMR na Wizara ya Afya mmeshindwa kabisa kufanya tafiti na kupata tiba sahihi ya tatizo la macho kuvimba na kuwa mekundu?

    Kuna haja gani ya kuwa na Wizara ambayo heileti solution? Kama hadi sasa hakuna muongozo wa Wizara kuhusiana na tatizo hili, matokeo yake watu wanajipaka tuu madude yasiyoeleweka na kupelekea wengine kupata upofu. Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu! Hii ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  15. JamiiForums Tanzania Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kuhusu Kongo DR

    Msikilizeni Mwalimu enzi za uhai wake kwenye Issue ya Wanyamulenge ambayo mpaka leo Viongozi wa Kiafrika wamekosa solution zaidi ya kuuwa Watutsi huko Kongo https://youtu.be/lN4xauSXN7o?si=LpHu_r6GTALFayCw
  17. JamiiForums Tanzania Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

    Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je Rais wa Kenya W. Ruto yupo sahihi kwa hili?

    "Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike...
  20. JamiiForums Tanzania Tafadhali jamani aisee! Kwa mujibu wa ukoo wa marehemu mimi ndiye mrithi sahihi wa mke wa marehemu

    Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…