Kipanya anatuonya, safari ya pili inaanza na bundi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1588516629812.png

Mshana Jr tunaomba utaalamu wako hapa.
 
Huo ni mtazamo wa mtu mmoja

Usiwe na akili maji

Hata Wewe unaweza kuweka mawazo kwenye picha

Tatizo stress zimekujaa hata uwezo wa kufikiria unapungua
 
1. Jamaa yuko kituoni peke yake, na kwa muonekano ni mtu mwenye mawazo sana.

2. Kituo cha basi alichopo ni porini na haieleweki kama kafika ama ndio anaanza safari.

3. Amevaa barakoa ambayo imemfunika mpaka macho kitu ambacho kinamfanya asione mbele kuna bundi.
Unforgetable
Na bundi hula panya
 
Huo ni mtazamo wa mtu mmoja

Usiwe na akili maji

Hata Wewe unaweza kuweka mawazo kwenye picha

Tatizo stress zimekujaa hata uwezo wa kufikiria unapungua
Mkuu mpaka mapapai yana kolona sasa tutaacha kuwa na stress?
 
1. Jamaa yuko kituoni peke yake, na kwa muonekano ni mtu mwenye mawazo sana.

2. Kituo cha basi alichopo ni porini na haieleweki kama kafika ama ndio anaanza safari.

3. Amevaa barakoa ambayo imemfunika mpaka macho kitu ambacho kinamfanya asione mbele kuna bundi.
Unforgetable
Agiza kolonya la balidi sana nitalipa

Jr
 
1. Jamaa yuko kituoni peke yake, na kwa muonekano ni mtu mwenye mawazo sana.

2. Kituo cha basi alichopo ni porini na haieleweki kama kafika ama ndio anaanza safari.

3. Amevaa barakoa ambayo imemfunika mpaka macho kitu ambacho kinamfanya asione mbele kuna bundi.
Unforgetable
Msafiri ameshushwa kwenye ufukwe wa ziwa
 
Ni safari ya pili inaanza, au ni ameshuka kituoni akitoka safari ya kwanza.?
 
Back
Top Bottom