Habari za muda huu wapambanaji
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30's, napenda kushea na vijana wenzangu maisha yangu hasa katika eneo la mahusiano yasio rasmi, yaani kuruka ruka Bila kujali afya, nina visa vingi sana, nitajaribu kufupisha na namna gan nilivo chukua maamuzi magumu ya kupima...
Jamani hamjambo?
Mimi Mimiamadiwenani, nilianza maisha yangu yangu ya punyeto rasmi nikiwa kidato cha sita. Hii ilikuwa ni kwa ushawishi wa rafiki zangu wa karibu, ukizingatia shule niliyosoma ni ya wavulana tupu. Unaweza uka imagine hapo.
Nilianza mdogo mdogo kwa ila nilianza kuwa addicted as...
Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji Rebellion."
Walioandika historia hii waliwaona Abushiri bin Salim, Abdulrauf Songea Mbano na Bi. Khadija Mkomanile, Mtwa Abdallah Mkwawa kwa kutoa mfano...
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka.
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje wakubwa?
Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life)
Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye fursa tele. Lakini nilipogonga kituo cha mabasi, niligundua safari yangu itakuwa ngumu kuliko...
Wanawake haijalishi awe kicheche au awe wife materials Hawa wote jicho lao moyo na nafsi wanaomba kwa Mungu na Shetani ili wampate mwanume mwenye vigezo hivi
Mpole ambaye haongei Sana
Msafi wa Mwili roho na Matendo
Mwenye haiba ya uanaume (masculinite )
Mwenye Akili za kujiongoza yeye na...
Katika mpango wangu wa kuwahamasisha watanzania kutembelea vivutio mbalimbali ndani ya nchi yetu, kutembelea mikoa na maeneo ya kihistoria niliamua pia kujaribu kufikia sehemu hizo kama mfano kwa watu wachache wanaofikiwa na ujumbe huu.
Habari!! Mwishoni mwa mwezi wa nane tarehe 28 nilianza...
Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar...
Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu kama Saratoga, adventure, yehova yille kati ya hayo hakuna gari lolote lile lenye unafuu magari ni 3 by...
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Ayu 14:1
Ndio utangulizi ninaoona unafaa kwa uzi huu, ninaoanza kuuandika mida hii saa 7:25 usiku nikiwa eneo ambalo kwa maelezo ya vibao vya barabarani vonasoma Mdaula (Msolwa), Morogoro.
Safari yangu imeanza...
Imetimia idadi ya mikoa 19 Tanzania bara na mkoa mmoja Tanzania visiwani na wilaya zaidi ya 25 nilizotembelea hadi sasa. Wasalaam ndugu zangu.
Mwezi wa saba mwaka huu 2023 nilibahatika kutembelea mkoa wa Iringa. Ilikuwa ni safari kutembelea mikoa mitano tofauti ndani ya kanda mbili tofauti...
UPDATE 3
Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list, kisha unaweza kuongeza, do list, ukapunguza, au kumodify. Baada ya hapo unaweza kuweka ulizofanya na...
Wasalaam JF,
Ulikuwa ni mwezi uliojaa raha na mapenzi motomoto. Kipekee kwangu nilianza na penzi la mdogo akafuate msambaa, Kisha mpare baadae mchaga, baadae mmeru, baadae mbugwe, finally mmaghati.
Sitaki kuwasemea wenzangu maana raha, utamu na ladha ni vya mlaji. Ila kwa hakika ukikutana na...
Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
Habari waungwana?
Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa.
Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
Siku mbili tatu zilizopita, nilijaribu kutembelea vijiji kadhaa katika mikoa mitatu; nilichokutana nacho huko ni kama ifuatavyo:-
Vijana wamepungua vijijini
Kuna vijana wachache sana, waliobaki vijijini; nilikuwa natembea umbali mrefu sana bila kukutana na mtu/kijana.
Katika mita sq 2000 naweza...
.
Katika harakati zangu za kujikomboa na umasikini, niliamua kufanya ziara ya kusaka fursa Mpya nchini Congo. Nilikua tayari nimeshapata masimulizi mengi ya upatikanaji wa madini ya dhahabu na Rubi.
Ni mnamo mwaka Juzi mwanzoni nikiwa mji wa Uvira amabapo jilikutana najamaa Akiwa na jiwe alilo...
Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana.
Nimekuwa nanyi kwa kipindi kifupi hiki kama the storyteller wenu, niliyewafurahisha, kuwafunza na...
Na; Ahmed Omar
UTANGULIZI
Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
Wadau natumaini mko njema kabisa.
Heri ya Jumapili kwenu nyote.
Technology ni kitu chema sana acha tu tukipe heshima yake.
Leo kwakua nime dodge kwenda kanisani bas nilijikuta ratiba zangu ni za kutafutiza sana kwakua siku zote Jumapili kuanzia saa mbil asubuh mpaka saa Nane mchana huu muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.