The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Kutoka kwa mimba changa ni nini?
Miscarriage au kutoka kwa mimba changa ni kupoteza ujauzito kabla haujafikia wiki ya 20. Jina la kitaalamu kwa upotevu huu wa ujamzito mchanga ni “Spontaneous abortion” ikimaanisha “upotevu mimba wa ghafla”.
Zaidi ya asilimia 80 ya upotevu mimba changa hutokea...
Nimepitia ilani za Chadema kwa mihula mitatu waliyobahatika kugombea nafasi ya urais ukiacha huu uliopita wa Tundu Lisu.
Mwaka 2005 mgombea alikuwa Freeman Mbowe
Mwaka 2010 mgombea alikuwa Dr Wilbroad Slaa
Mwaka 2015 mgombea alikuwa Edward Ngoyai Lowassa
Mambo yote yaliyomo katika ilani hizo...
Sababu...
1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba.
2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya rais. Getruda Mongera spika wa afrika, Mh Migiro katibu UN, lkn waliofanya vzri katika nafasi kubwa...
Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa.
Kwa haraka haraka naona halaiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea.
Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama Mtanzania aliyezikwa na...
Kuaga mwili wa marehemu ni kumchoresha marehemu. Mwili wa marehemu una stahili kusitiriwa na sio kuwekwa hadharani kila mtu auone.
Si kila mtu anayeenda kuaga mwili wa marehemu msibani anafanya hivyo kwa sababu alikuwa anampenda sana marehemu. Wapo watu...
Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika.
Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua.
Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio...
Tukisema tunaambiwa tunayo-andika ni conspiracy theories.Kama watu wanaweza bila aibu na woga kwenda mahakamami kutetea eti "haki yao ya kutoa watoto wachanga kafara," kuna jambo ambalo hawawezi kufanya kweli?Mimi naamini hakuna.Kiranga Yoda na wengine mnao-tetea kazi za Shetani, njoni msome...
Mwanasheria wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Abeid Kafunda ametaja baadhi ya mambo yanayochangia wazazi wanaume kutaka kujua uhalali wa mtoto au watoto kwa kutumia kipimo cha vinasaba (DNA).
Kafunda alilieleza HabariLEO ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuwa mambo hayo kuwa ni...
Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema.
Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa yuko wapi na yeye ndio mwenyekiti wa kikao cha Baraza kuu kitakachosikiliza rufaa za wabunge hao...
Kwanza, Chanjo itakapoingia nchini lazima ikatiwe utepe au izinduliwe. Kazi ya uzinduzi siku zote ufanywa na mwanasiasa si mtu mwingine, na utepe wa chanjo nikuchanjwa.
Pili, Wanasiasa wapo wengi na wengine wengi wamekosa nafasi hivyo endapo chanjo itakuwa na madhara nchi haitaathirika tofauti...
Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.
Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.
Chanzo: ITV...
Binafsi naamini kila mmoja ana sababu yake iliyomfanya kujiita hilo jina anatumia hapa JF. Sio mbaya ukitufungulia password za jina lako. Kuna wengine IDs zao zimebeba historia au tukio fulani nyuma yake. Kuna wengine IDs zao pengine ni majina ya watu au vitu walivyowahi au wanavyoendelea...
Ukiangalia watu wetu wengi hapa nyumbani barakoa wanayo moja kuna wakati anaivaa na wakati mwingine anaivua na kuiweka ama mfukoni au kwenye pochi.
Wale wanaotumia za " kujishonea wenyewe" ndio shida zaidi kwa sababu haifuliwi hadi week end.
Kwa utamaduni huu usitegemee watu hawa kuhoji...
Mates
Inawezekana hua unajiuliza kwanini labda wachawi/waganga hua wanaweza kumpa utajiri mtu lakini wao wanabaki kwenye umaskini wa hali ya juu huku wateja wao wakineemeka na mali zao. Hawa watu hua ni smart sana kichwani na kiroho ,wanajua jinsi gani ulimwengu wa roho na huu tuishio...
Katika mada yetu ya leo tutalijadili tatizo la kukusa hedhi ambalo kitaalamu huitwa amenorrhea. Mwanamke anakuwa na tatizo hilo pale ambapo anakosa hedhi kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo, au msichana ambaye hajaanza kupata hedhi akiwa na umri wa miaka 15.
Sababu ya kawaida ya kukosa hedhi...
Nimegawa Brands katika makundi mawili. Kundi A na kundi B. Nimezingatia ukongwe au Umaarufu duniani katika makundi haya na Bei zake.
A.
Samsung
Panasonic
Sony
Hitachi
JVC
LG
SANYO
( TCL na HISENSE ? )
B.
TCL
HISENSE
BOSS
STAR X
Mr. UK
HOMETECH
ABORDER
SINGSUNG
ITEL
ZUHNE
Jambo jingine. Je...
Habari ndugu zangu, kwa jina naitwa Mkogoti ni mzaliwa wa mkoa wa Mara nina shida na Ajira, yani natafuta kazi ama kibarua maana sina Elimu yoyote ya kuniajiri ofisini.
Maisha ni magumu sana kwa upande wangu MUNGU ndo anajua ninavyopitia sina maneno mengi ya kusema ila niseme tu.
Natafuta...
Wana JF
Makuzi ya binadamu wa mtanzania yanapitia magumu mengi, hivyo pia akili huchelewa kukomaa kupata uelewa wa kujifunza kitu Kwa umakini. Natoa sababu Kwa nini umri miaka 10 ndio unafaa mtoto kuanza la kwanza.
1. Umri ukiwa miaka kumi mtoto anakuwa amekomaa, huondoa woga na anaweza kuhoji...
Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja.
Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork.
Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.