Tafadhali mliowaelewa TCRA na sababu zao walizotoa kuhusu bei za 'Vifurushi' katika Ukurasa wa 3 Gazeti la The Citizen la leo mtueleweshe na wengine

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kila kukicha tu 'Maajabu' mengi yanagundulika nchini Tanzania na huenda nchi yetu ikawa imebarikiwa Kimaajabu hadi Raia wake ni wa ajabu.

Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa.

TCRA hongereni pia kwa Kuyaogopa (Kuufyata) mbele ya Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hasa hasa hawa Wababe wenu Vodacom.
 
Kila kukicha tu 'Maajabu' mengi yanagundulika nchini Tanzania na huenda nchi yetu ikawa imebarikiwa Kimaajabu hadi Raia wake ni wa ajabu.

Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa.

TCRA hongereni pia kwa Kuyaogopa ( Kuufyata ) mbele ya Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hasa hasa hawa Wababe wenu Vodacom.
Hii ni dalili mbaya kwa rais wetu, maneno yake kwenye majukwaa hayaheshimiki na yeye hachukui hatua. Angeanza kumfuta kazi waziri mengine yangeenda vizuri
 
akishindwa kulimaliza hili, amekwisha!.. atakua anaimba taarabu tu, na watakua wakimpuuzia
 
Hii ni dalili mbaya kwa rais wetu, maneno yake kwenye majukwaa hayaheshimiki na yeye hachukui hatua. Angeanza kumfuta kazi waziri mengine yangeenda vizuri

Nami naliona hili Rais anapuuzwa sana.
 
Kila kukicha tu 'Maajabu' mengi yanagundulika nchini Tanzania na huenda nchi yetu ikawa imebarikiwa Kimaajabu hadi Raia wake ni wa ajabu.

Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa.

TCRA hongereni pia kwa Kuyaogopa ( Kuufyata ) mbele ya Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hasa hasa hawa Wababe wenu Vodacom.

Kuna Usamaki Mwingi Kwenye Hili
 
Nami naliona hili Rais anapuuzwa sana.
"…… ...hata nyani kule shambani, wakienda kufukuzwa na Mwanamke, hawakimbii. Lakini akienda mtoto wa kiume hata wa miaka kumi tu, hao nyani watatoka mbio! Kwa hiyo hakuna kulinganisha Mwanaume na Mwanamke…. " Mchungaji Dodi, alipokuwa anatoa mafundisho yake Radioni.
Inatakiwa Mama, akomae, ili usithibitishwe kuwa ni kweli muono huo!
 
Hii ni dalili mbaya kwa rais wetu, maneno yake kwenye majukwaa hayaheshimiki na yeye hachukui hatua. Angeanza kumfuta kazi waziri mengine yangeenda vizuri
Hata mimi mtu ambaye alileta haya ni waziri angeanza naye huyo. Ila ukweli ni kwamba toka uwepo wa TCRA ndipo vifurushi vilipanda maana kabla ya hapo vifurushi vilikuwa bei chee.
Sasa na huyi waziri aliamka akaja na matamko ambayo sjui hakuwa ameyachambua
 
Back
Top Bottom