sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali muliangalie la kuajiri watu wasioelewa wajibu wao

    Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west). Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Sababu na madhara ya injini kuchemsha

    SABABU ZA INJINI KUCHEMSHA na MADHARA YAKE Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari. 1. Maji ya kawaida haswa yenye chumvi yasiyo na Coolant. Hii inaweza tengeneza kutu ambayo hua kama tope na mwisho kuziba njia za maji katika rejeta yako. 2. Kutofanya kazi kwa feni. Inawezasababishwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Samaki wapungua kwa sababu ya kushamiri uvuvi haramu, wawekezaji walalamika

    Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu. wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kununua views, comments, likes na subscribers. Zijue sababu na vikwazo

    Nimekuwa nikishangaa sana kiasi kufikia mpaka kuona aibu kwamba naishi na jamii ambayo ipo nyuma sana kwenye maswala ya teknolojia. Haya mambo ya kununua youtube views katika ulmwengu huu yapo tangu zaidi ya miaka 10 lakini inatia aibu kwamba hata baadhi ya wasomi wameuwa wabishi, Watu kununu...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania hatuna haki ya kujua sababu za wao kuteuliwa?

    Naona watu wanateuliwa kila kukicha...lakini hatuambiwi sababu au vigezo vya wao kuteuliwa. Hivi watz hatuna haki ya kujua? Why criteria za wakuu wa polisi zimewekwa wazi kwamba ni wale watakao dhibiti ujambazi...na hawa wengine ziwekwe wazi bhana..
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Juma Aweso nini sababu hasa?

    Jana nilikwenda ofisi ya MORUWASA - Morogoro kufuatilia maombi yangu ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu, niliandikiwa invoice kuwa natakiwa kulipa zaidi ya Tsh 300,000 kwa umbali usiozidi mita 8 toka lilipo bomba (wao wanaita tawi) la mamlaka hiyo ambapo wengi wamechukulia hapo. Nikawauliza...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu za Mahusiano/Ndoa kuvunjika

    Sababu za Mahusiano/Ndoa kuvunjika: Kumekuako na maswali mengi sana kuhusu Mahusiano/Ndoa kuvunjika. Swala hili wakati mwingine ni tatizo kubwa katika jamii kwani tumekua tukishuhudia ndoa nyingi zikifugwa lakini baada ya siku chache ndoa hizo zinzvunjika kwa sababu tofauti. Zifuatazo ni sababu...
  8. JamiiForums Tanzania Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu. Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chagua sababu yako Kuu Kati ya hizi zifuatazo ya kwanini TFF imeisogeza Kariakoo Derby hadi tarehe 3 July, 2021?

    a) Kuipa Yanga SC muda mrefu wa Kujiandaa kwakuwa Kocha wao bado ni Mgeni na wasije Wakafungwa Kikatili na Simba SC. b) Kuihujumu Simba SC hasa Kimapato kutokana na kwamba Kimahesabu hadi tarehe mpya iliyopangwa Simba SC atakuwa ameshatangazwa Bingwa hivyo hata idadi ya Mashabiki itapungua...
  10. JamiiForums Tanzania Kelele za fanya hiki acha kile, hapo umekosea hapo umepatia zimekuwa nyingi mitandaoni, au kwa sababu ni Mama?

    Siku hizi kila ukiingia mtandaoni utakutana na uzi wa kupinga, kupongeza, kuelekeza au kufananisha na Mtangulizi wake. Hivi haya yote ni kwa kuwa hatujawa na historia ya kuongozwa na Mama au tu ni tabia asilia ya Viumbe kulialia mbele ya Mama zao maana hata kwenye familia Watoto wanahisi uhuru...
  11. JamiiForums Tanzania "Emotion Intelligence" ya Watanzania wengi ipo chini sana na sababu kuu zipo wazi kabisa

    1. Siasa ni ugonjwa na ukikomaa unakuwa kilema kisicho tibika wala kugusika. Mfano mzuri uvimbi uote nyuma ya kisogo halafu uunganike na "nerve system" hata uende wapi "operation yake ni ngumu sana maana kuna matatu hapo wakikufanyia upasuaji unaweza kupona, kupata kichaa au kufa kabisa. 2...
  12. JamiiForums Tanzania Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

    Kwa msaada wa biblia na vitabu mbalimbali. Huwa nawashangaa sana watu wanaiona Israel kama taifa teule kwa Mungu kumbe wanajidanganya tu. Historia inasema hapo mashariki ya kati wakaazi asilia ni Wafilisti(Wapalestina) na makabila madogo kama Wahivi,Wagirigashi n.k. toka Taifa la Israel likiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    REUTERS: Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem Jerusalem imekuwa ikigonga vichwa vya habari kufuatia ghasia ambazo zimekuwa zikiripotiwa mjini humo kati ya Wapalestina na vikosi vya usalama vya Israeli ambazo zimewaacha mamia wakijeruhiwa mbali na...
  14. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania kuanzia leo jiandaeni kupewa moja kati ya sababu hizi zifuatazo kwanini 'Derby' haikupigwa Jumamosi

    1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama (Ugaidi ) 2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki 3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani (kwa Mkapa) ulikuwa si mzuri hivyo ungehatarisha Amani ya Uwanja kama ungezimika. Na Watanzania wote tutawaelewa tu.
  16. JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga msimu wa 2020/2021: Sijaona sababu ya mechi kusogezwa mbele

    Wakuu Habari za saizi. Aibu ya jana mechi kuahirishwa aisee inaonesha viongozi wetu hawana weredi kwenye kuongoza mpira ndio maana miaka yote soka letu lipo pale pale tu. kwenye taarifa yao hapo sijaona sababu zaidi ya kusema tu imepokea kutoka kwa wizara,nini kilikuwa kina fichwa hapo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

    Ukweli ndio huo. Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa. Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA. Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa. Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga imetumia "akili ndogo" ya TFF kutafuta sababu?

    Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi? Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili. 1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au 2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
  19. JamiiForums Tanzania Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

    Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kung'ang'ania Muungano kwa ndugu zetu wa Tanganyika (Tanzania bara)

    Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…