sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

    Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi. Sasa tuizungumzie "mahari" 1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mnatumia njia ndefu sana za kumtafutia Sababu za Kumuondoa CEO wa 'Umeme Tanzania?

    Tunajua kuwa Yeye na aliyeko Foreign sasa lao lilikuwa ni moja na mpaka hi Kata Washa na Washa Kata no kutokana na Upumbavu na Ufisadi wao huko Umeme Tanzania. Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamumtaki Maharage Mabovu na Kumuondoa hapo Umeme Tanzania mnamuonea Aibu hivyo sasa mnatumia Mbinu ya...
  3. JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata

    Baada ya kudaiwa kuna changamoto ya huduma ya maji Mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, ikiwa ni wiki ya pili kuna uhaba wa maji huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikiwa haitoi taarifa ya kinachoendelea, ufafanuzi umetolewa. Awali ilidaiwa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa ilikufa kutokana na sababu hii

    Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha. - Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa mazima. - Pale tu walipo ruhusu usawa wa kijinsia ndipo ndoa ilijifia. - Pale tu waliopo ruhusu...
  5. JamiiForums Tanzania Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa kwanini dunia nzima kuna upungufu mkubwa wa matangazo ya ajira

    Kwa sababu siku hizi kuna fursa nyingi za watu kupata pesa bila kuajiriwa kuliko kipindi chochote tangu dunia iwepo. Makampuni mengi hayana sababu kufanya kila kitu yenyewe wakati kuna watu wengi tu wako majumbani wanaweza kuwafanyia hizo kazi bila kujibebesha mizigo ya Bima za afya, kodi, kero...
  7. JamiiForums Tanzania Sijui sababu ya hii hali

    Nimejawa na hofu sana gafla tu moyo unauma kwa hofu sana sijui kwanini hofu imetanda san Inaweza ikawa nini?
  8. JamiiForums Tanzania Siku hizi kila Fani na Cheo vinadharauliwa kwa sababu hii

    SIKU HIZI KILA FANI NA CHEO KINADHARAULIWA KWA SABABU HII Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli Siku hizi hata uwe Mfalme, sijui Waziri, sijui Hakimu, sijui Rais, sijui Kuhani, sijui Mwalimu, sijui Mwanasheria, sijui Mwanajeshi, sijui polisi, au hata uwe Nabii. Kote Huko Kwa kizazi hiki...
  9. JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

    Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya. Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu...
  10. JamiiForums Tanzania Arusha: Wakili Madeleka apata dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

    Kwema Wakuu! Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo. Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa sababu zifuatazo; 1. Supply ya papuchi Kwa sasa ni kubwa, automatically demand itakuwa ndogo na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwajiri anapokataa kukuthibitisha kazini bila sababu ya msingi nini kifanyike?

    .
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mkataba wa bandari Mbeya: Wakili aeleza sababu za kuchelewa kukata rufaa. Mahakama haijawapa mwenendo wa kesi na nyaraka zingine...

    ============================================== Kwa ufupi (quotes) "Immediate baada ya hukumu tarehe 10/8/2023, mara moja tulianza mchakato wa kukata rufaa kwa kuiandikia mahakama barua ya kuomba nyaraka muhimu za kesi kwa ajili ya rufaa ikiwemo proceedings (mwenendo) wa kesi na viambata vyake"...
  14. JamiiForums Tanzania Je, hii ni moja ya sababu kwa nini vijana wengi wa Tanzania hawatoboi?

    Kutokuwa tayari kula na watu. Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk. Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo faida na mimi nipata kiasi flani, hata pesa ya marketing ntashiriki. Hii ingemsaidia kukua kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini wahuni, watu tunaowaona wadhambi wengi wataingia mbinguni kuliko watakatifu wa kidigitali

    Hawa jamaa waliopinda, wahuni, wezi, vibaka na watu wa aina hii licha ya ukorofi wao huwa wakibanwa kwenye kona ni wapole sana na wepesi kutubu. Nakumbuka ajali moja ya Bajaji abilia wote walikuwa wamelewa chakali lakini wakiwa majeruhi walikuwa wanatubu na kumuomba Mungu fasta kabla hawajadedi...
  16. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka Mikasa ya Calculus, Algebra na Trigonometry nimewaza kama nilisomea ujinga bila sababu za msingi

    Hello JF, Baada ya uchovu wa mishe fupi za Leo, nikiwa nimepitiwa na usingizi ndani ya matako ya mjapani nikawaza msoto wa kufundishwa ujinga Calculus Algebra na Trigonometry, plus econometrics kwenye uchumi, nikawa nafananisha kazi niliotoka kuifanya na pesa nilizopata na aina ya msoto wa hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Kadi za CCM zimeanza kurudishwa. Je, ni kwa sababu ya mambo yanayoendelea awamu hii ya sita?

    Je, wapinzani wajiandae kisaikoloji? Je, CCM imeanza kugawanyika kuanzia viongozi wake hadi wanachama wake?
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Kura na Makosa ya Tume ya Uchaguzi Nchini Gaboni ndio Sababu ya Mapinduzi. Je, Africa Mashariki tunalo la kujifunza?

    Imeelezwa kuwa Wizi wa kura ambapo Tume ya Uchaguzi Nchini humo ilimtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi ktk kinyanganyiro uchaguzi Wiki iliyopita. Uchaguzi Nchini Gaboni uligubwikwa na fujo ma vurugu nyingi na vitendo vya uvunjifu wa amani dhidi ya Raia. Aidha taarifa zinadai kuwa siku moja...
  19. JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia. Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu hasa zinazofanya wanajeshi wawapindue watawala

    Mara nyingi wanajeshi husema kuwa wanapindua nchi sababu ya uongozi mbaya, kwa ajili ya wananchi blah blah. Ukweli hizo si sababu kabisa zinazofanya wafanye hivyo. Mara nyingi wanajeshi hupindua nchi baada ya kuona mtawala hana maslahi tena kwao au hawezi kuendelea kulinda maslahi yao. Mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…