saa

  1. GE2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni ===== => Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
  2. D

    Sisi wakazi wa manispaa ya Iringa tumeambiwa jumatatu hakuna kwenda makazini wala mashuleni bali tukutane Samora kuanzia saa mbili asubuhi

    Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora. Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika. Nice and long weekend! Acha tuserereke!
  3. C

    GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli akiwa Nsimbo, Kidahwe akielekea Kazuramimba, Kigoma kwa ajili ya mkutano wa kampeni

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
  4. Kwanini Simba na Yanga hazichezi saa nane mchana?

    Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze? Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
  5. S

    Rais Magufuli anakataliwa mpaka na wazee hapa Bagamoyo

    Kwa wiki nzima nilikiwa Bagamoyo. Na nimesikiliza mijadala mingi sana ktk viunga vya mji huu wa kihistoria kuhusiana na kampeni zinazoendelea. Nami ktk nyakati na maeneo tofauti nilikuwa najaribu kuchomekea kutaka kujua watu wana matamanio ya kumchagua nani ktk uchaguzi wa 28/10/2020, na...
  6. GE2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

    Magufuli alijiamini sana kuwa mwaka 2020 atapata mserereko, tulimuonya kuwa tunapanga jeshi huko porini na siku likiingia field patatawanyika. Tukawaambia wafuasi wa CCM kuwa mwenendo wanaoenda nao kwa awamu hii ndiyo mwenendo mbaya zaidi kuwahi kuwepo Tanzania tangia enzi ya ukoloni ila...
  7. Maji Ilemela Mwanza ni saa 24, miradi mikubwa ya maji yajengwa na kukamilika

    Serikali imejenga miradi mikubwa ya maji safi na salama katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza na kufanikiwa kumaliza tatizo la ukosefu wa maji wilayani humo. Miradi hiyo imejengwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Ilemela, Angelina Mabula ambaye kwa...
  8. Saa zingine vaa vizuri ingia town ulizia bei za magari ili uushtue "umasikini" sio kukaakaa kizembe?

    Nenda ulizia viwanja, matrekta, nyumba na n.k unaona kabisa hii kuipata sio leo lakini jitahidi muda fanya hivyo acha kukaa kizembe unafikiri hela zinakujaje. Inatakiwa uuchangamshe umaskini wako na watu mijini humo unapoishi wawe kidogo na wasi wasi na wewe waone huyu mtu sio mchezo mchezo...
  9. M

    Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao. Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
  10. B

    GE2020 Esther Bulaya achukua Fomu ya Bunge, afanyiwa sala na Viongozi wa Dini

    17 Agosti 2020 Bunda Mjini Tanzania ESTER BULAYA ALIVYOCHUKUA FOMU YA UBUNGE, MASHEHE, MAPADRI WAMPIGIA MAOMBI, SALA NA DUA KWA SAA NA NUSU Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya akikabidhiwa fomu ya Kuwania ubunge wa jimbo hilo na Msimamizi wa Uchaguzi Janeth Mayanja ili...
  11. Simba wana jambo lao saa 11 jioni hii, kaeni mkao wa kula

    Sijajua kuna nini hasa, ila tusubiri tu mpaka saa kumi na moja jioni. Wale wa Mtaa wa Pili kama unajijua una Presha za hapa na pale basi agiza kabisa vidonge ukae na maji tayari tayari. Pia angalieni salio la bando lisije kua linaisha kabla ya muda huo mkakosa vitu. Yangu Ni hayo tu. UPDATES,
  12. Bongo vipi huko hapa Sydney ni saa tisa na dakika 11 najua hapo ndio mnakurupuka

    Sydney hii mchana huu. Pole ndugu zangu huko magu land nasikia jana mmepitiwa na katetemeko
  13. Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

    Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa. wote mnakaribishwa === Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania...
  14. Kumekucha simba leo 8/8 saa 8

    Saa 8;00 mchana club ya simba inaanza utambulisho wa wachezaji wao wapya watakao tumika msimu ujao Unadhani watanza na nani? Je ni jack shonga au makusu?
  15. GE2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  16. GE2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
  17. T

    Trump kuipiga marufuku application ya Tik Tok ndani ya saa 24 nchini Marekani

    Mwezi uliopita Trump alitangaza kua ataipiga marufuku TikTok na mitandao mingine ya kichina nchini Marekani kwa tuhuma kua inatumika na serikali ya China kuiba data. Leo Trump ametangaza kua anaipiga marufuku ndani ya masaa 24 kwa kutumia sheria ama Executive order. Juzi bunge la Marekani...
  18. Foleni kubwa Morogoro road

    Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi. Sijui shida ipo wapi
  19. Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…