saa

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

    Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"...
  3. JamiiForums Tanzania Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

    Kabla sijafikiria vibaya, naomba nifahamu muda mlioingia na kutoka katika interview ya TRA UDSM, ahsanteni
  4. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka majaji, viongozi kuwa waadilifu ili Zuhura asiwahusu saa nane usiku

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka majaji wapya aliyowateua hivi karibuni na viongozi wengine wa kiserekali kisha kuwaapisha leo kufanya kazi kwa uadilifu, weledi na uaminifu. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha majaji wapya wa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Mkandarasi BCEG Kufanya Kazi Saa 24

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amemuagiza Mkandarasi wa Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa Beijing Construction Engineering Group (BCEG) kufanya kazi hiyo, kwa saa 24 na siku zote za wiki ili kazi hiyo ikamilike kabla ya Oktoba 15, 2023. Dkt. Ndumbaro ametoa...
  6. JamiiForums Tanzania Ajali za Barabarani ziliua wastani Mtu mmoja kila baada ya saa 5 mwaka 2022

    Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla. Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Ifanye Hili Kabla ya kuruhusu Mabasi Kusafiri Kwa Saa 24, Vinginevyo Mtaua Watu Wengi

    Serikali imesema hivi karibuni itaruhusu mabasi kusafiri kwa saa 24, ni jambo jema sana endapo jambo hili muhimu litafanyiwa kazi. Jambo lenyewe ni kufunga taa kwenye barabara kuu zote, fungeni taa zinazotumia solar panels ili kuongeza mwanga barabarani, kwa wanao endesha usiku watakubaliana...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara Saa za Kiume

    PACK 1 Business Watches Bei Ya China Bila Usafiri 14000 kwa saa moja Makadirio Usafiri kwa meli 500-1000 kila moja (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pisi 20 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila saa...
  9. JamiiForums Tanzania African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

    Leo majira ya saa 12:30 kwa saa za hapo Afrika mashariki na kati CAF watatoa draw ya makundi kwa timu zinazoshiriki michuano ya AFL. Ikumbukwe kuwa Simba ndio mwakilishi pekee wa michuano hii kwa hapa Tanzania. Simba imepangwa kukutana na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano...
  10. JamiiForums Tanzania Niger: Uongozi wa Kijeshi wampa Balozi wa Ufaransa saa 48 kuondoka Nchini humo

    Uongozi wa kijeshi wa Niger umemtaka Balozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo, hatua inayozidisha mzozo wa kimataifa katika Taifa hilo la Afrika Magharibi baada ya mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya Kidemokrasia. Serikali ya Kijeshi ya Niger pia iliidhinisha...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

    Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023 Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika Mikoa mingine ni Dodoma...
  12. JamiiForums Tanzania Haya TEC wameshakuja na Tamko leo Jema, je, na Sisi wana JamiiForums Tamko letu litatoka Saa ngapi?

    Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko. Sasa ole wenu Tamko lenu lije tofauti na nilivyoanza Mimi mtajua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko ( I'm Kidding guys ) Tafadhali naomba Wachaguliwe Members kadhaa na kwa Niaba yetu waje na Tamko la Jumla la wana JamiiForums wote juu...
  13. JamiiForums Tanzania Anayesafiri kwa usafiri binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza na anatarajiwa kufika Mwanza walau saa 12 jioni

    Naomba kumpata huyo mtu kama yupo. Nina kiparcel kutoka Dar ambacho natamani kukipokea mida hiyo hapo Mwanza.
  14. JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha golikipa Ayoub Lakred leo Agosti 13, 2023

    Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili. Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la kimataifa kwa ajili ya maandalizi ya michuano mikubwa Super Cup. Kutokana na Quality ya NBC Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Saa kumi na moja alfajiri ndiyo muda wa malijendari kuamka au kwenda kulala

  16. JamiiForums Tanzania Wakala Jasmine Razaq: Medical check up ya wenzetu walioendelea ni Masaa 8, ila hapa Tanzania ni Nusu Saa tu

    "Nilipoenda na Mchezaji wangu Fiston Mayele huko Pyramid FC aliko sasa alishangaa vitu vingi na sasa ni Upimwaji wa Afya ambao kwa Wenzetu walioendelea na hata huko Ulaya ni tofauti na hapa Tanzania" "Mayele alipofika aliambiwa kwanza akalete haja kubwa yake tayari kwa Vipimo. Kiukweli...
  17. JamiiForums Tanzania Meneja wa Bangala: Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana Saa 8 Mchana atakuwa ameshasajiliwa na Timu nyingine

    "Nashindwa kuwaelewa Viongozi wa Yanga SC kwani tayari wameshaonyesha kutomhitaji ila hawataki kumuacha wakisema watatoa taarifa yake Tarehe 31 July, 2023 ambayo ndiyo siku ya mwisho kusajili na kuacha Mchezaji. Hapa wanafanya uhuni kwakuwa wanajua kuwa Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana basi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  19. R

    JamiiForums Tanzania Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

    Mwamba anarudi leo kutoka ugaibuni. Tumpokee tumsindikize kwa Kingai.
  20. JamiiForums Tanzania Simba Sc hatujamalizaa. Saa 7 Mchana kinashuka chuma

    Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa wa kimataifa wa Brazil 🇧🇷 JEFFERSON LUIS kwa Mkataba wa miaka miwili. . Jefferson (29) maarufu kama Mikono ya Sumaku anatua Simba kushindania namba na Aishi Manula aliye majeruhi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…