saa

  1. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani naweza tambua band za saa janja (smart watch)?

    Habari wananzengo" KWa wale wataalam wa jukwaa la teknolojia, naomba mnieleweshe namna gan naweza nikatambua kwamba hii saa janja ni band fulan? Maana utakuta mtu anasema hii band 4, hii band 5 Sasa anawezaje kutambua hizo band? Nawasilisha
  2. Edo kissy

    JamiiForums Tanzania Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

    Habarini Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi. Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo akawa kapiga mzigo kama nusu saa hivi kitu ikalala kabisa. Akatulia usiku tena akamshtua akapiga...
  3. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Kizayuni wakili kupata pigo kubwa ndani ya masaa 24

    Vyanzo vya Kizayuni, baada ya kipindi kirefu cha kudhibiti na kuficha habari kuhusiana na vifo na majeruhi wake vitani, hatimaye vimekiri kuuawa askari jeshi wake 75 katika saa 24 zilizopita. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, kanali 12 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni ikimnukuu mchambuzi wa...
  4. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mmekata Umeme kwa Saa 24 sasa maeneo ya Mbezi, Kimara, Kijitonyama, Tatizo nini?

    Kwasasa sababu zimekuwa hazieleweki, wanakata umeme bila Taarifa, kwa muda mrefu kiasi hivi, bila kuipa jamii taarifa, Biashara nyingi zinategemea umeme kwanini Mnaumiza wafanya biashara kama hivi, hawajajiandaa kabisa kukosa umeme. Nilipiga simu nikaambiwa maji hyingi, hayaingii wapi? Mbona...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanakata umeme kila siku Masaki kuanzia saa 12 jioni

    Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ule Uzi wa Saa 1 Ijumaa wa GENTAMYCINE aliyesema matokeo ya Yanga na Mwarabu ni ama 2-0 au 3-0 umepotelea wapi?

    Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0? Team GENTAMYCINE tunauhitaji huo Uzi ili tuweze Kuuchangia na kumpa Maua yake GENTAMYCINE ambaye pamoja na kwamba...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Pitso Masomane kocha mteule SIMBA FC kuanzia leo saa moja kamili

    Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  9. B

    JamiiForums Tanzania Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

    Habarini, Kama kawaida yangu, kuna siku nilipita mahali flani chimbo kupata huduma yetu pendwa, mdada classic, short time tsh elf 7, kufika chumbani nkamwambia alale kwa tumbo ili nikojoe haraka, akaomba nimwongezee buku, sikuwa vizuri mfukoni nkamwambia ntampa siku ingine. Baada ya siku...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wadau wengi wa Mpira wanasema leo hawatopoteza muda wao kutazama mechi ya Wakuja?

    Binafsi kama GENTAMYCINE sitoiangalia kwakuwa tayari Matokeo yake ninayo, ambapo Wakuja watafungwa Goli 3 au 4 au 5 na hata 6 kama wakilegea kwa Spray ya vyumbani na kwa Muamala uliofanyika kwa baadhi ya wachezaji iliyopitia kwa Mchezaji aliyeondolewa Timu hiyo na kwenda kwa Wakuja FC kutokana...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa unajua sawa, ila kwa wasiojua ni kwamba 'Mbungi' ya Jumanne Cairo ni Saa 11 Jioni Saa za Kwetu Tanzania

    Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

    Umoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24. UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote waliopo Gaza. Israel imekuwa ikijiandaa kwa mashambulizi ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Amka angalau saa 11 asubuhi

    Habari za humu. Unaambiwa nyota njema huonekana asubuhi na malaika wa heri hutembelea watu asubuhi na kuwapa riziki za siku nzima, hakuna tajiri anayelala mpaka saa 2 au 3, watu wote waliofanyikiwa huwa wanahamka asubuhi na kufanya haya:- 1- Kumuomba MUNGU akupatie ulinzi na riziki juu ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufika Mwanza saa 7 mchana kesho na ndege zimejaa, kuna option nyingine yoyote?

    Wakuu nimekuja kwenu Kwa msaada, kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo muda huo. Kama Kuna msaada wa option nyingine hata private car niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote. Asanteni.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini tumeamua kurejea Dar saa 7 za usiku kutokea tulikofungwa na Ihefu FC jana, wakati awali tulipanga kurejea 'Kimadaha' saa 4 asubuhi leo?

    Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani? Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
  18. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mnatoa Saa ngapi Silaha zenu Chamazi ili nasi Simba SC tuweke zetu ili Power Dynamos FC akione cha Mtema Kuni

    au kama vipi tuelekezeni tu hii Miguu ya Fisi na Kinyesi cha Nguruwe Pori tukavitupe wapi, kwani nasi tunataka Kufukia ya Paka na Mkojo wa Chatu Jike aliyetoka Kuzaa Jana tu Msituni Bagamoyo ili angalau Weekend hii Taifa lifurahi kwa Vijana wao wa Kariakoo na tusije Kuchekana.
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
Back
Top Bottom