Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wdau hamjamboni nyote?

Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi

"As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"

"Mungu amenionyesha katika maono matakatifu ... tulisikia sauti ya Mungu kama maji mengi ambayo yalitupa siku na saa ya kuja kwake Yesu"

Karibuni tujadili kwa hekima kubwa na kwa kutoa ushahidi wa kimaandiko

Aksanteni sana wapendwa

*Nukuu kutoka kitabu cha Early Writings, ukurasa wa 155, 34, 285).
665_r (2).jpg
 
(Early Writings, pp. 15, 34, 285).

Karibuni tujadili kwa hekima kubwa na kwa kutoa ushahidi wa kimaandiko

Aksanteni sana wapendwa
Yesu mwenyewe alisema hajui siku wala saa , ni Mungu peke yake anajua.

Tumia Maandiko matakatifu, wote waliojifanya wametabiri sijui Yesu anakuja kesho sijui tarehe ngapi, wamepigwa K.O.

Waadventista walisema 1844 anakuja, Hakuonekana.
 
Yesu atakuja kama mwizi.
 
Aje Dar atazoa waumini wote wa kule kwenye chumvi mafuta na maji
 
Umeandika maandiko kwa kukatakata ,umeungaunga Sana

I think una ajenda yako

Hakuna sehemu hapo kasema alionyeshwa Ni siku gan Wala mwaka gani
 
Wdau hamjamboni nyote?

Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi

"As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"

"Mungu amenionyesha katika maono matakatifu ... tulisikia sauti ya Mungu kama maji mengi ambayo yalitupa siku na saa ya kuja kwake Yesu"

Karibuni tujadili kwa hekima kubwa na kwa kutoa ushahidi wa kimaandiko

Aksanteni sana wapendwa

*Nukuu kutoka kitabu cha Early Writings, ukurasa wa 155, 34, 285).
View attachment 2763965
asije kwanza bana tuinjoy na sisi maisha ya humu duniani
 
Yesu mwenyewe alisema hajui siku wala saa , ni Mungu peke yake anajua.

Tumia Maandiko matakatifu, wote waliojifanya wametabiri sijui Yesu anakuja kesho sijui tarehe ngapi, wamepigwa K.O.

Waadventista walisema 1844 anakuja, Hakuonekana.
Labda kuna wengine, lakini kama ni Kanisa la Waadventista lilikuwa bado halijaanzishwa wakati huo wa 1844, hivyo kabla ya kuongea uwe na taarifa sahihi vinginevyo itakuwa ni kama unaropoka tu

Kwa taarifa tu 1863 ndio SDA ilianzishwa rasmi
 
Kwa kuwani wakati ujao. Acha tumuamini

"As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"

"Mungu amenionyesha katika maono matakatifu ... tulisikia sauti ya Mungu kama maji mengi ambayo yalitupa siku na saa ya kuja kwake Yesu"
 
Kwa sisi Wanyalukolo wa huku Kidabaga Iringa, taarifa kama hiyo tungeiita ni udesi!
 
Labda kuna wengine, lakini kama ni Kanisa la Waadventista lilikuwa bado halijaanzishwa wakati huo wa 1844, hivyo kabla ya kuongea uwe na taarifa sahihi vinginevyo itakuwa ni kama unaropoka tu

Kwa taarifa tu 1863 ndio SDA ilianzishwa rasmi
Ndo ileile sema tu kundi liligawanyika baada ya Ellen kutoa sababu za Yesu kutowasili 1844 na pia akaongea kuhusu sabato.
 
Back
Top Bottom