Rushwa nje nje kituo cha mabasi Ubungo Mawasiliano

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Sidhani kama hiyo kitu itaisha

Unapoingia mawasiliano watu wamejipanga wanasimamisha kila gari. Na kila gari konda anashuka anaweka 3000 anasokota kwenye risiti ya zamani akifika anakabidhi risiti anageuka.

Ukikaa kituo cha kwenda Mbezi unaweza kuhisi ni movie. Mbaya mmoja anasimamisha zaidi ya mabasi manne. Ghafla unakuta kazungukwa Mh. mmoja na makonda wanne wanakabidhi wanaondoka.

Kazi ipo
 
Hata wao wanachukizwa maccm yanavyoiba, kwa hiyo na wao wanachukua Chao mapema
 
KILE KINAKAAA PALE KIBANDANI NJOA YA KUINGIA MAASILIANO

YESUUU WAGUSE WAPE HOFU
MAANA HATA HOFU YA MUNGU TU NDIO INAWEZA ACHA HII KITU

WENGINR USILOGWE UPITE GOBA TO MBEZI UTAJUTA KUZALIWA..
kuna Trafic mmoja anakigari
cheusi uwa anachukua rushwa hatari na kuhrsabia kwenye kigari chake alichokiwekea tinted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATAA BAIBO INASEMA TUWE NA KIASI LAKINI UKWELI HALISI WAH WAMEKUWA MORE FREE NA SASA SIO KUSAIDIA TENA KODI ZA SERKL KUPITIA FAINI

KUNA LIMAMA.MMOJA MNENEE YAAN HUYO SIJUI ANA NYOTA KILA KONDA ANAMFWATA YEYE..UNAKAMATAJE.MTU ANAGEUKA NYUMA YA GARI ANARUDI KUFANYA KAZI UMEREKODI NAMBA ZA SIMY AMA MMEMSIMAMISHA APIGWE PICHA???!
 
Sidhani kama hiyo kitu itaisha

Unapoingia mawasiliano watu wamejipanga wanasimamisha kila gari. Na kila gari konda anashuka anaweka 3000 anasokota kwenye risiti ya zamani akifika anakabidhi risiti anageuka.

Ukikaa kituo cha kwenda Mbezi unaweza kuhisi ni movie. Mbaya mmoja anasimamisha zaidi ya mabasi manne. Ghafla unakuta kazungukwa Mh. mmoja na makonda wanne wanakabidhi wanaondoka.

Kazi ipo
Bosi wao aliwaruhusu kwa kusema hiyo ni hele ya kupigia viatu rangi
 
Ilala pia usiku karibu na ilala afya husimamisha daladala nne kwa mpigo wanapokea wanawaruhusu wanasimamisha zingine mambo hayo hufanyika kuanzia saa moja usiku . na mchana hufanya pia kwa daladala mojamoja sio kwa mpigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom