Godbless Lema: Mgombea wetu wa udiwani atishiwa kuuawa baada ya kukataa kupokea rushwa ya shilingi milioni tano ili ajitoe

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,205
144,865
Niko kituo kikuu cha Polisi Arusha baada ya mgombea udiwani wetu, Edward Laizer kutishiwa kuuwawa baada ya kukataa rushwa ya sh. milioni tano ili ajitoe. Taarifa zaidi kesho.

Lema.PNG
 
Nao wamezid kulalamika bwana kitu kinajulikana wanashindwa vip kujilinda au watafute sehemu ambayo ni salama kila mkoa wakae pamoja mpaka muda wakurudisha form? Wanazurura tuu mpaka wanabananishwa hukoo
 
Back
Top Bottom