rugemalila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Rostam alikimbia nchi, Seth, Rugemalila et al walikaa Gerezani; matajiri hawa wamejifunza nini kuhusu mfumo mbovu wa siasa Tanzania?

    Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda? Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la...
  2. S

    Sitashangaa kuona Mzee Rugemalila akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi katika mojawapo ya taasisi zetu

    Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini. Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana. Hivi ndivyo wenzetu...
  3. D

    Ushauri wangu kwa Rugemalila na ndugu zake Wafanye yafuatayo

    Mzee pole sana lakini chukua tahadhari hususani magonjwa ya corona uraiani yanatisha Mshukuru Mungu kwa kukuondoa mahabusu kimya kimya usifanye sherehe Tenga mda wako ujitenge na wageni wenye huruma za kinafiki ikiwezekana. Fanya kama lowassa, Jiepushe na vurugu za siasa wala usicoment chochote...
  4. figganigga

    Rugemalila adai aliwaandikia barua TRA kueleza jinsi benki ya Standard Chartered ilivyokuwa ikikwepa kodi

    MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya Standard Charter Hong kong walivyokuwa wakikwepa kodi na ushuru wa forodha. Rugemalira aliyaeleza hayo...
Back
Top Bottom