ndugu zake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  2. Mad Max

    JamiiForums Leo BYD wamezindua Yangwang Altior uko Abu Dhabi. Ni Ultra-luxury Electric Sedan, wakina Rolls Royce na ndugu zake wakajipange!

    Siku ya leo ilikua special kwa BYD uko Abu Dhabi, kupitia sub-brand yake ya Yangwang, wamezindua Yangwang Altior. Hii ni Ultra-luxury sedan ya Umeme,ni ndefu mita 5.5 na wheel base ya mita 3.3, kidogo ndefu zaidi ya RR Ghost. Hii gari Ina range ya Kilometa 1,000 na iko na motor Nne, kila...
  3. K

    JamiiForums Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kuuliza si Ujinga, hivi huyu Yericko anayedandia ubini wa Nyerere wazazi wake na ndugu zake wanajisikiaje?

    Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje? Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tunafuta ndugu zake

  6. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tunatafuta ndugu zake

  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Huyu bodaboda mkazi wa chakani unguja zanzibar kafariki ndugu zake hawajulikani

    Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa. Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni muhimu pale tunapo pata viridhiki kidogo tujitahidi kuanzisha familia, vuta demu ghetto WA kuishi nae...
  8. figganigga

    JamiiForums John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Salaam, Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran. Kama alitoa ndege...
  9. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tunatafuta ndugu zake, mgonjwa alifikishwa MOI, Machi 01, 2026

  10. M

    JamiiForums Mtanzania mwenzetu anatufuta ndugu zake. Anayemfahamu asaidie.

    Alipata ajali akapoteza kumbukumbu
  11. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tunatafuta ndugu zake

  12. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tunatafuta ndugu zake, amepoteza kumbukumbu

    TAASISI YA TIBA YA MIFUPA NA UBONGO MUHIMBILI (MOI) Mgonjwa (pichani) alipokelewa Desemba 17, 2025 akiwa amepata majeraha kichwani, hivyo amepoteza kumbukumbu. Hivi sasa afya yake imetengemaa hivyo tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wanaomfahamu wafike Ofisi ya Ustawi wa Jamii MOI chumba namba...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Trump anachotamani yeye ni kumiliki mali za dunia hii sasa atagombana na ndugu zake Wadenmark

    Greenland, kisiwa kikubwa cha Aktiki kilicho sehemu ya Ufalme wa Denmark ambacho pia Trump anakimezea mate , kiko takribani kilomita 3,200 kaskazini-mashariki mwa Marekani. Kina utajiri mkubwa wa madini adimu yanayotumika katika teknolojia za kisasa, zikiwemo simu janja, magari ya umeme na vifaa...
  14. M

    JamiiForums Mwalimu mwenzangu amerudi kula sikuu analalamika ndugu zake kumkomalia kwa nini haoi.Amesema mwaka huu haendi.

    Yupo hapa kijiweni kwangu. Tangia asubuhi ni Farasi Mweupe, ambiance, Kitoko na Kigogo. Anasema ndugu zake walimuweka kiti moto kiasi cha kuishiwa raha ya sikukuu. Kwa nini hauoi na una miaka 47. Jamaa kachukia sana. Leo kafikia kwangu toka Safari na kibegi chake cha mgongoni. Kaanza...
  15. Q

    JamiiForums PostGE2025 Dr. Chakwera aliwahi kukosolewa kwa kujaza ndugu zake kwenye Baraza la Mawaziri. Je, anafaa kwa mazungumzo ya Maridhiano?

    Huyu ndiye anakuja kutusuluhisha. Birds of the same feather flock together. Mwaka 2020 lipoteuliwa kuwa rais kwenye baraza lake la Mawaziri aliwajaza ndugu zake huku akimteua Mtu na Mke wake kuwa mawaziri ambao walikuwa ni ndugu zake. Aliyekuwa mgombea mwenza wake Sidik Mia, alichaguliwa kuwa...
  16. T

    JamiiForums Je analipiza kisasi kwa ndugu zake wa Zanzibar waliouwa katika utawala wa Mkapa.?

    Lakini maoni yao tumeyakataa .!! Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa endapo akipata nafasi ya kuongoza Tanzania atalipiza kwa wabara kile kiliwatokea ndugu zake Zanzibar...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

    Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado...
  18. Messier 31

    JamiiForums Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

    Bro, chukua hii. Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo...
  19. Desierto

    JamiiForums Nimetazama hii picha ya mwanaume aliye iacha familia na Ndugu zake TZ kweli jamaa wamejitolea aisee

    Nawaombea wote warudi salama💪
  20. N

    JamiiForums Bibi amepotea Mindu, Morogoro. anatafutwa na ndugu zake

    Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake. Alikuwa amevaa gauni la bluu...
Back
Top Bottom