rpc

XML-RPC is a remote procedure call (RPC) protocol which uses XML to encode its calls and HTTP as a transport mechanism.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    RPC Mara: Kama kuna Mgambo wanaodai wanafanya kazi ya Polisi hao ni Wahalifu tu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia shughuli za Kipolisi wamekuwa hawatendi haki kwa baadhi ya Wananchi pia akadai wanashirikiana na Whalifu...
  2. Roving Journalist

    RPC Ruvuma asema Mtuhumiwa aliyejeruhiwa kwa risasi ya mguu wakati kitoroka amefariki Dunia

    Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Marco Chilya amesema Francis Ngonyani Severianus ambaye ni mtuhumiwa uhalifu wa uvunjaji wa maduka maeneo ya Ruhuwiko Stendi amefariki Dunia baada ya kupoteza damu nyingi kutokana na jeraha lililotokana na risasi aliyopigwa na Askari Polisi wakati anatoroka akiwa...
  3. K

    Kwa Kamanda IGP na RPC Dodoma

    Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale Maaskari walikuwa wakifanya vile kwa matakwa Yao binafsi. Ilikuwa majira ya saa Saba mchana Askari...
  4. Erythrocyte

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu. Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, Mbunge, Mganga Mkuu, Afsa Ardhi, RPC)

    Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu. Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC). Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki. Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini. Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi...
  6. Boss la DP World

    RPC Morogoro amepewa madaraka makubwa kuliko uwezo wake wa kufikiri

    Morogoro kwasasa si mkoa salama, vitendo vya uporaji kwa kutumia bodaboda vimeongezeka, vikundi vya uhalifu vinasumbua sana katika baadhi ya mitaa na kufanya raia waishi kwa hofu. Cha ajabu jeshi la polisi limeweka jitihada kubwa kupambana na bajaji, yaani ikifika saa 1 jioni, polisi wenye...
  7. I

    RPC wa Mbeya apongezwe kwa kusimamia vema maandamano ya Chadema na ziara ya Biteko

    Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa...
  8. Mtemi mpambalioto

    PreGE2025 Wakuu wa vituo Polisi, OCD, RPC ndio wanaoongoza kunyima haki za watu pindi linapokuja suala la uchunguzi

    Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu kupotea, kudhulumiwa, ma kuonewa ila.ikifika polisi wanaangalia mwenye hela na uwezo kiofisi! Mtu...
  9. Roving Journalist

    RPC Simiyu asema wanafanya uchunguzi aliyefariki akiwa chini ya ulinzi, ndugu wapeleka mwili Bugando

    Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio la kifo cha Limbu Kazilo, Mkazi wa Mtaa wa Kilulu, Wilaya ya Bariadi ambaye inadaiwa amepoteza maisha akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi hilo ambapo ndugu wa marehemu wanadai kifo hicho kimesababishwa na kipigo alichokipata kutoka kwa Askari...
  10. Roving Journalist

    RPC Kuzaga: Malezi Bora na Elimu ya Makuzi vinasaidia kuwajenga Watoto kujitambua na kujitathimini

    Wazazi, Walezi na Jamii wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utoaji wa malezi bora na elimu ya makuzi kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kujitambua, kujithamini na kujiepusha na uhalifu ikiwemo ukatili wa kijinsia. Rai hiyo imetolewa Desemba 27, 2023 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  11. Roving Journalist

    RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga asema “Pikipiki zilizokabidhiwa Polisi zitumike kwa malengo yaliyowekwa”

    Wakaguzi wa Kata nane wa Mkoa wa Mbeya wamekabidhiwa Pikipiki aina ya Boxer kwa ajili ya kurahisisha na kufanikisha utekelezaji wa majukumu yao katika Kata zao. Akizungumza wakati wa kukabidhi Pikipiki hizo katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Disemba 03, 2023 katika Uwanja wa FFU Mbeya...
  12. Kurunzi

    Kamanda Muroto kutoka RPC mpaka Security Project Manager, Tembo Nickel

    Life linamambo mengi. Huyu Afande Muroto alikuwa RPC wa Dodoma at Magu time now karudi kuwa Project Security Manager- Tembo Nickel.💪🏼
  13. U

    Historia ya Zelothe inaonesha alikuwa RPC akiwa na Miaka 66. Je, ndivyo ilivyo?

    Kila mtu Kila mtaani anajua Umri wa kustaafu Kwa mtumishi wa Umma ni miaka 60, Tena Kwa majeshi Huwa ni kidogo zaidi. Napenda kujifunza , kifo Cha mwenyekiti wa CCM Arusha ambaye alishatumikia jeshi la polisi ngazi za uandamizi kimenofanya nijiulize mambo mawili matatu, wakati wa usomwaji wa...
  14. T

    Kitengo gani kinashughulika na askari polisi tapeli?

    Ni tumaini langu wote hamjambo. Nina shida na namba ya RPC Mwanza. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia, natanguliza shukrani. Au kama kuna mtu anaelewa, ni kitengo gani cha kushughulikia askari polisi tapeli.
  15. Roving Journalist

    RPC wa Ruvuma aelezea mafanikio ya Oparesheni, misako na doria mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha Mwezi Septemba 01.2023 hadi Oktoba 25,2023 limeendesha Opereseheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa Ruvuma na kukamata watuhumiwa watatu (03) wakiwa nyara za Serikali, Meno ya tembo vipande 10, Nyama...
  16. A

    DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

    Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu. Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
  17. mtwa mkulu

    Ireland bado kuna ubaguzi wa rangi

    Racial abuse in gymnastics: Irish body apologises after racism controversy involving young gymnast AFP "We would like to unreservedly apologise to the gymnast and her family for the upset that has been caused by the incident,” said a statement by Gymnastic Ireland (GI) posted on its website...
  18. Ndeyanka_Mwenyewe

    KERO Responded RPC Arusha, tatua hii kero ya kuomba hela inayoshamiri kwa Trafiki

    RPC Arusha tunaomba ingilia hili suala la traffic Police Arusha wamekuwa ni kero kusimamisha magari na kuomba hela. Inakuwa kama hela ni haki yao uwe na kosa ama huna kosa. Arusha ni mji mdogo unaweza simamishwa mara tatu katika safari moja kila kona traffic wapo na wote wataomba hela. Hii ni...
  19. Mi bishoo tu

    RPC Mara Salum Ramadhan Morcase ni mchapa kazi haswa

    Nina miaka sasa zaidi ya 10 katika mkoa wa Mara. Katika kipindi chote hicho nimeshuhudia makamanda wengi wa polisi wa huu mkoa wanavyowajibika ila kwa huyu mkoa umepata kamanda haswa! Anasikiliza matatizo ya Wananchi na kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo. Halewi madaraka, ni mtu...
  20. Idugunde

    Tanga: Afisa wa TRA ajirusha ghorofani na kufariki

    Mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Arusha, Richard Walalaze (35) amekutwa amefariki baada ya kujirusha kutoka ghorofani jijini Tanga. Akithibitisha tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Henry Mwaibambe amesema kuwa mfanyakazi huyo amejirusha kutoka ghorofa ya pili ya Hoteli ya...
Back
Top Bottom