DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hospitali zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko kwa imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, kuna mji mmoja mwenye mji huo akagundulika na mchawi, akakimbilia Polisi kushtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfuata hukohuko.

Kukosekana kwa busara baina ya Polisi na Raia, Fujo zikatokea na kituo cha Polisi kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaani Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu kadhaa na majeruhi kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanatafuta ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu tena walioamua kujipeleka Hospitali ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa, huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
 
Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.

Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
Pole sana mkuu!

JAPO najiuliza UNGEKUA upande wa polisi ungefanyaje!!?

Zaidi ya kutuliza ghasia!!?

Chamsingi polisi warudishe majeruhi na hao watu waliokamatwa wajulikane walipo na wanatuhumiwa KWA kosa GANI HASA!!!

Operation kamchape mara nyingi huleta mixed feelings KWA wengi!sio za kuendekeza operation hizi!!
 
Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi,
Hapa kuna story ndani ya story..., poleni kwa waliopoteza maisha ila karne ya 21 mnatafutana uchawi kwa kuleta mtu kugundua wachawi ? Polisi wawajibike lakini na hawa watafuta wachawi nao wawajibike kwa kusababisha tafrani
Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.
Kwahio wewe ungekuwa polisi ungemuacha watu wamsulubu ? Just imagine huyo ni wewe ni wapi ungeweza kukimbilia kama unaona Kangaroo Courts ni way to go....
 
Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.

Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
Kosa walofanya ni kwenda direct kuvamia kituo Cha polisi , that was serious error
 
Stori umeielezea ukiwa upande wa raia .
Unahisi askari angekuwa ni wewe ungefanyaje ili kutetea uhai ikiwa watu wamevunja kituo cha polisi.
Raia kaona polisi ndio mahali salama pa kwenda kuokoa maisha yake halafu polisi wamuangushe kweli😳😳

Kujichukulia sheria mkononi ni kosa kama makosa mengine.
Hasa unapoamua kupambana na polisi.

Shilingi ina pande tatu
 
Wakuu, hii Nchi ya Ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi Huwa wanageuka kua Miungu watu.

Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia Kadhaa kufa na wengine kujeruhiwa .

RC, RPC na DC, wakaamua kuzitembelea Hosp zilizopokea majeruhi kimyakimya na kuwaonya kutotoa Taarifa.

Chanzo cha Ugonvi...

Kuna waganga walipelekwa Kijiji huko Kwa Imani za kijadi kwamba wanatafuta wachawi, Kuna mji Mmoja mwenye mji huo akagundulika na Mchawi, Akakimbilia Polisi kishtaki.

Polisi wakamficha hapo na Raia wakamfata hukohuko.

Kukosekana Kwa Busara baina ya Polisi na Raia,. Fuji zikatokea na kituo Cha Polisi hiko kikavunjwa.

Polisi wakaanza kutumia Silaha za moto yaan Bunduki kushambulia Raia.

Raia wengi sana wamejuruhiwa, Vijana, Wanawake na watoto na wazee wameumizwa sana.

Polisi wamewakamata watu Kadhaa na majeruhi Kadhaa na kuwapeleka kusikojulikana, mpaka Sasa Ndugu wanafuta Ndugu zao .

Ni majeruhi wachache tu Tena waloamua kujipeleka Hosp ndio ambao wamejulikana mpaka Sasa ,huku wengine wakiwa hawajulikani.

Polisi wa Kigoma, wanaongoza kuwa na matukio ya "Majeruhi alinyakua Bunduki ya Polisi nakuanza kurushiana risasi ".

Ndugu zangu nawaomba sana Mnisaidie Kupaza sauti,. Ndugu yangu Yuko huko Kikazi, amesombewa humohumo , mpaka Sasa hatuma Taarifa ya uhai au lolote kumhusu yeye.
Bafo Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani wapo ofisini?

Basi mteuzi wao anaridhika na haya mazonge
 
Hivi why You love creating violence kwenye matumbo ya watu lakini?

Sasa Mheshimiwa yuko zake Mzizima anajiandaa na shopping ya holiday season atayajua saa ngapi ya huko Kazuramimba?!

Hao wananchi hiyo nguvu waliyotumia kuvamia kituo cha Polisi waitumie tena kuhakikisha wenzao wanajulikana walipo na wanarudi uraiani asap!

Haki ni mzawa pacha wa Wajibu ambao mama yao ni Amani japo baba zao ni Sheria na Katiba.
 
Back
Top Bottom