risiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nchi gan hiyo duniani uliambiwa kuwa ukinunua hata tu 'Bigi Jii' unapewa Risiti?

    wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Choo Ferry upande wa Kigamboni malipo bila risiti

    Risiti zikoje
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wahasibu mbaroni kwa kutoa risiti bandia za EFD za mapato ya Serikali

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD. Kulingana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu Juma Hokororo amesema watumishi hao...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zinazokusanya ushuru stendi kuu ya mabasi ya Tabora, hazirudishi chenchi kwa wateja wake. Mteja akienda na Tzs 500 anapewa risiti ya 200

    Harudishiwi kiwango cha fedha iliobaki. Naomba manispaa ya Tabora ilitizame hili maana Kuna Dalila za kuihujumu serikali.
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kuwa mzalendo kwa kudai risiti halali ya manunuzi

    Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu. Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli... Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za kutoa Risiti za Kielekroniki (EFD)

    Serikali imesema kuwa taratibu za kikodi zimebainisha kwamba, mfanyabiashara yeyote mwenye mauzo ghafi yenye kiasi cha shilingi milioni kumi na moja (TZS 11,000,000) na kuendelea kwa mwaka, anapaswa kutumia mashine za kutoa risiti za kielekroniki (EFD) kwa walipakodi wote wanaofanya biashara...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  8. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tupia risiti ya uzi wa mashabiki wa Yanga wakijisifu watamfunga Mamelodi ili tuzihifadhi kwa matumizi yajayo

    Lengo ni kutunza risiti hizi kwa matumizi yajayo maana vurugu zimezidi humu jf.
  9. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Utoaji risiti za kielektroniki imekuwa kama punguzo la bei, mteja asipopewa risiti anapunguziwa bei

    "Matumizi ya mashine za kielekroniki kwa ajili ya kodi na kutoa risiti bado imekuwa ni changamoto kwa wananchi, kwasasa utoaji wa risiti umekuwa kama punguzo la bei manake mtu asipopewa risiti anapunguziwa bei tofauti na akidai risiti jambo ambalo linasababisha bidhaa nyingi kuuzwa nje na bei...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

    Wakuu kwema? Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu. Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
  11. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Buyuni sokoni toeni risiti za mashine kwa daladala

    Kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa daladala za 1.BUYUNI SOKONI-SIMU 2000 2.BUYUNI SOKONI-M/COMLEX 3.BUYUNI SOKONI-KIVUKONI. Wanalazimisha daladala zifike mpaka ndani ya soko wakati barabara ni mbovu sana,lengo wapate ushuru. Tatizo ni kwamba wenye daladala wanataka risiti za...
  12. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Niliweka risiti ya ndugu yangu

    Hii ni hoja ya shabiki lialia kutoka msimbazi ila baada ya game mpaka leo sijui kapotelea wapi ndugu yangu Kaghambe popote ulipo toka uje kusema neno hapa
  13. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
  14. Esokoni

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

    VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
  15. Esokoni

    JamiiForums Tanzania Attention! Wasafirishaji wa vifurushi vidogo kutoa risiti za EFD

    Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao. Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000...
  16. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Kwanini risiti hazisumbui kwenye vituo hivi vya mafuta?

    Kwa uchunguzi wangu binafsi sijawahi kuweka mafuta Puma, Total, Engen nikaambiwa risiti hazitoki, mashine ya risiti mbovu. Natumia sana hivi vituo na mara zote napata risiti. Lakini mara chache ninapotumia vituo fulani huwa nakumbana na hii shida kwamba risiti hazitoki mashine mbovu. Shida ni...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA mtonyo huu hapa, BP PUMA Tangi Bovu hawatoi risiti siku ya tatu sasa

    Kwangu kituo karibu, rahisi na kwa sasa kinachoaminika ni BP PUMA Tangi Bovu. Nimeenda kuweka mafuta juzi, wakasema mashine ya risiti imegoma. Leo nimeenda tena hapo, bado hawana risiti! Majuzi nimeona magazetini TRA wakimshitaki masikini mama mmoja hapa DSM kwa kutodai risiti. Sasa kwa hapa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TRA inapataje kodi za Kariakoo wakati jamaa hawatoagi risiti

    Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone. Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Upigaji kwenye EFD na mashine za kutolea risiti inazotaka TRA

    Nani asiyezijua mashine za EFD au hizi zinazotumiwa na jamaa wa parking au kwenye malipo mbalimbali? Mashine hizi sasa ni takwa la kisheria kwa wafanya biashara vinginevyo hakuna kufanya biashara. Uliza bei za hizo mashine. Si ajabu kusikia 600,000/- kwa moja na malipo lukuki ya mwezi kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Benki ya Posta kwanini risiti za ATM hazioneshi salio? Nina wasiwasi hamtaki kuonesha mmetuibia tozo kiasi gani

    Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi. Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa. Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
Back
Top Bottom