KERO Mamlaka zinazokusanya ushuru stendi kuu ya mabasi ya Tabora, hazirudishi chenchi kwa wateja wake. Mteja akienda na Tzs 500 anapewa risiti ya 200

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Harudishiwi kiwango cha fedha iliobaki.

Naomba manispaa ya Tabora ilitizame hili maana Kuna Dalila za kuihujumu serikali.

images (13).jpeg
images (12).jpeg
 
Back
Top Bottom