risiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

    Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97. Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa za kuanzia kiasi gani zinastahili kutolewa risiti hapa Tanzania?

    Naomba kujuzwa suala hili? Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza...
  3. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Je, kuna App yoyote ya kutambua risiti za TRA?

    Ndugu wana jamvi naomba msaada,nitawezaje kujua kama risiti niliyopewa nifeki au sio feki,je kuna app yeyote ya kutambua risiti za tra?
  4. Jackal

    JamiiForums Tanzania Nimenyimwa risiti ya EFD Kinyerezi hapa Makroy

    Hivi kama nimetoa tin number sitakiwi kupewa risiti? Bag langu la laptop wamezuia kisa nimedai EFD risiti.
  5. vnn

    JamiiForums Tanzania TRA toeni Bonus kwa kila mwenye Risiti 100 za EFD, Mtaongeza mapato maradufu kuliko kutumia nguvu!

    TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua...
  6. Mayova

    JamiiForums Tanzania Uwakala wa NMB bila kutumia mashine ya kutolea risiti

    Habari za leo wakuu: Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na ile risiti moja ambayo ameijaza na wakala atagonga mhuri . Kwa wazoefu hii haileti changamoto kwa...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunahitaji hesabu ya fedha zinazokusanywa mitaani kwenye mifuko ya rambo, hazitolewi risiti, tunaweza kupigwa na wajanja!

    Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi. Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
  8. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania TRA yaanza kufanya ukaguzi wa risiti nchi nzima

    Naona lile zoezi la TRA la kamata wote kumbe kweli du, kumbe wapo kweli kazini naona matukio jana walikuwa Jangwani na Kariakoo yaani ukiwa hujatoa risiti au hujaomba risiti unao. #TEGETA Maafisa wa TRA Mkoa wa kodi wa Tegeta leo 03/02/2022 wameendelea na zoezi la ukaguzi wa risiti za #EFD kwa...
  9. Kaiche

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

    Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zipi hazihitaji kutoa na kudai risiti?

    Je kuuza kipande kimoja Cha sabuni nitoe risiti na mnunuI adai risiti?
  11. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Habari zenu wakuu. Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa. Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four...
  13. Eliya Konzo

    JamiiForums Tanzania Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE. ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA: NAKALA YA TIN CERTIFICATE NAKALA YA KITAMBULISHO BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mawakala hawatoi risiti kwa mtumaji wa fetha?

    Kwa nini mawakala wa kutuma hela hawatoi risiti kwa mtumaji una ambiwa tu tayari imeenda. Au huyu mtumaji yeye siyo mteja na hana maana kabisa ila mteja ni yule anayepokea hela kwa sababu huyo yeye anapata stakabathi ambayo nayo ina mapungufu kwani inaoyesha tarifa za wakala tu wakati wakala...
  15. S

    JamiiForums Tanzania TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo ▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu ▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini...
  16. St. Paka Mweusi

    JamiiForums Tanzania TARURA watu wenu wa ushuru wa parking wameacha kutoa risiti

    Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari. Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka. Jamaa akaja na...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba awaonya Wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi

    Waziri wa Fedha amewaonya wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi kwa kuwapa bei mbili za bidhaa, bei yenye risiti na bei isiyo na risiti. Amesema kuna wafanyabiashara wakidaiwa risiti wanajivuta, mara wanafuta mashine vumbi, hadi anayedai risiti akate tamaa. Waziri wa Fedha...
  18. RealEstate Agent

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu risiti HII ya EFD

    Habari Kutokana na risiti hii ya EFD Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT? Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT Ina maana hapo TOTAL TAX = 0 msaada kujua bidhaa hizi hazina vat?
  19. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Shahidi asema Mwenye duka alilazimishwa aseme hatoi risiti

    Arusha. Shahidi wa tatu wa Jamhuri, Ramadhan Ayubu Rashid (26) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, jinsi mwenye duka alivyolazimishwa aseme hatoi risiti na watu waliokuwa eneo hilo, huku akimtambua aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Shahidi huyo ambaye ni...
  20. guojr

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri wangu kwa Serikali kupitia TRA

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
Back
Top Bottom