risiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

    Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma. Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000. Nawashauri NMB...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wadau walalamikia uduni wa risiti zinazotolewa kwa waliopima Corona JNIA , yadaiwa hakuna control number , malipo ni cash

    Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa . Mungu ibariki Tanzania .
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TBC waweke hadharani Risiti ya Malipo waliyolipwa kwa kuonesha moja kwa moja Mkutano Mkuu wa CCM huko Dodoma

    Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM. Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha, bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta duka linalouza vitabu vya risiti

    Wakuu Habari, Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?. Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
Back
Top Bottom