Mtanzania kuwa mzalendo kwa kudai risiti halali ya manunuzi

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
10,165
16,201
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu.

Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli...

Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali TUNATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI YA WATU 61M lakini wanaoilipia ni 3M tu.

Naunga mkono hoja ya Waziri kuwa cashless economy iwe powered na loads of incentives ili ivutie na serikali ipate mapato huko ya wale wasipewa risiti.

Mimi binafsi mara kadhaa nakwenda kwa Mpemba Kununua vifaa vya ujenzi unalipa milioni moja anakuandikia risiti ya 100,000/= wanasema ya njiani incase umekamatwa na Polisi

Sasa hapo Maana yake huyo kailosesha serikali VAT ya 90% maana kakupa wewe risiti ya only 10% of what you paid....shs 900,000/= nzima serikali haitapata hiyo 20% VAT if not 18%

MAANA yake ni kuwa serikali katika hiyo 900,000 haikukukusanya shs 180,000/= za VAT

Sasa kama ingekuwepo sheria kuwa kila manunuzi yanayozidi shs 10,000/= ni marufuku mfanyabiashara kupokea kwa CASH...serikali ingepata hizo 200,000/= kwa malipo yangu yote ya 1M na sio kuambulia shs 20,000/= tu kwa ile 100,000 tu niliyopewa risiti.

Hii ingewezesha hata serikali kupunguza Value added Taxi (VAT) kutoka 20% hata kuwa 10% tu ili ishawishi watu kulipa zaidi maana kwa kufany hivyo katika 1M yangu kwa 10% itakusanya 100,000 na sitarubuniwa kuikwepa na wafanyabiashara walio mawakala wa kuikusanyia serikali hiyo (VAT).

Kwa sasa ni 20% narubunika kuikwepa ili kuokoa hela na serikalini inaambulia 20,000 tu lakini wakiipunguza kwa 50% na kila mtu akaolipa watakusanya hizo 80,000 zote wanazokosa sasa.

Maana watu wengi huwa hawajui kuwa VAT sio mfanyabiashara ndie analipa hiyo....hapana hiyo ni Value added Taxi yaani wewe mnununi ndio unalipa hilo ongezeko la thamani ununuapo bidhaa na wafanyabiashara wao ni mawakala tu wa kuikusanyia serikali hela hizo.

Hivyo mfanyabiashara hapotezi hela yoyote ile maana ilivyo ni kwa yeye kuweka bei yake ambayo hadi faida yake iko hapo....kwa mfano anauza ngazi kwa shs 20,000/= hapo yeye anajua ngazi kaileta dukani kwa shs 15,000 anaweka faida yake ya shs 5000 hivyo akiuza shs 20,000 yeye kapata hadi faida yake....sasa hapo sasa hiyo 20,000 VAT yake ya 20% ni shs 4000/= hivyo kwa mujibu wa sheria ya VAT itabidi sasa ngazi hiyo aiuze shs 24,000/= ili awe ameikusanyia serikali 20% yake ya VAT kwa bei ya hiyo ngazi.

HILI WATU WENGi hawajui kabisa na pengine hata humu wako watu ndio wanajua Leo how it works..

Sasa basi mfanyabiashara akikupa wewe risiti ya bei ndogo wakati umelipa hela nyingi....yeye ndio anakuwa ANAIOBIA SERIKALI VAT YAKE ambayo wewe masikini mlaji umeilipa kihalali.

Kakuuzia ngazi shs 24,000 kakuchaji na 4000/= VAT hapo hela anayotakiwa kuipeleka TRA wewe hakupi risiti..na wala hudai risiti maana yake yeye ataiba hiyo 4000 ya serikali ya VAT na huku ana ile 5000 faida katika faida yake pangwa maana yake ni kwamba anapata faida sasa ya shs 9000 na serikali imekosa kodi yake

Ndio maana wananchi mnatakiwa kukomesha wizi huu wa wafanya biashara kwa KUDAI RISITI za kieletroniki

Kama ulikuwa hujui hilo basi tambua
 
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu....
Kwanza acha uongo kuwa wanaolipa kodi ni milion 3 tu wakati kila bidhaa anayonunua mtanzania analipa kodi.
Zikiacha nunua ma v8 na kuishia mifukoni watu wakaona maendeleo ya kodi yao basi watakuwa na moyo wa kulipa. Kodi zimenunua ndege ambayo imetupwa huko malysia tu
 
Shida ni matumizi mabovu ya kodi, kila mwaka CAG analia mnaiba mno mpaka mmevuka urefu wa kamba zenu, unadhani hapo watu wataacha kuwaza kukwepa kodi?.

Rais wetu kipenzi analalamika huko kwenye halmashauri zetu kuna watu wameweka mirija ya kunyonya asali na maziwa ya Taifa, unadhani watu wataacha kuwaza kukwepa kodi?

Kila siku tiraei mnatengeneza mazingira ya rushwa tu, unadhani watu wataacha kuwaza kukwepa kodi?.

Tumieni kodi zetu kufanya mambo ya msingi, acheni dhulma,wizi na rushwa muone kama watu watawaza kukwepa kodi.
 
Uchumi mbovu, angalia mfumuko wa bei pia wakisema wa implement hio biashara zitakufa coz wabongo wenyewe hawaelewi eti umwambia bei imepanda kisa VAT, hata aelimishwe vipi bado atalalama tu.

Hii yote imesababishwa na uchumi kuwa chini pia serikali kutokuwa na mfumo mzuri wa ukusanyaji kodi. Yote haya ni kwa sababu ya uongozi mbovu, rushwa na ujinga serikalini. Ni heri wakwepe tu
 
Swali!!
Muzaji: Hii bizaa bila risiti ni laki 7 ila ukitaka na risiti ni milioni 1.
Chagua Kama mteja................
Wewe............................jaza.
Mm najaza kwangu BORA LAKI 7.

CAG kila mara anatoa ripoti ya uwizi uliopitiliza Lakini kizimkazi yy anachekelea tu.
Kwa nn nilipe kodi sasa wakati kuna watu wana iba kodi zangu na hakuna kinacho fanyika.

Kazi ni kipimo cha utu
 
tatizo ni kwamba wanaosimamia hayo yote ni walewale WEZI, alafu boss wao anawapa nguvu kwamba wale kulingana na urefu wa kamba alizowapimia...shit!!!. utegemee nchi itakuwa ya kizalendo kweli?..nchi masikini wewe uwe busy kuwaambia wateule wako kuwa wale wasivuke mipaka yao alafu utegemee ufanisi aufanye mtu wa chini...aisee tuwe serious, acha wafanyabiashara wafanye wanavyoweza...inawezekana nchi iko corrupse ktk rushwa na wizi
 
Watu wanaongeza mabasi na filling station Esta kama vichuguu, Afro na Olympic zinatawala vichochoro vyote...

Waziri kasema namba E anapishana nazo kedekede kuashiria uchumia umekuwa

Nasikia maharamia ya kisomali yamechachamaa huko, container lafika usd 9000 kutoka usd 6000, mwezi ujao tutaisoma namba wanasema!

Hakuna waziri asiyefanya kufuru kwa sasa...kodi, risiti ili iwe nini?
 
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu.

Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli...

Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali TUNATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI YA WATU 61M lakini wanaoilipia ni 3M tu.

Naunga mkono hoja ya Waziri kuwa cashless economy iwe powered na loads of incentives ili ivutie na serikali ipate mapato huko ya wale wasipewa risiti.

Mimi binafsi mara kadhaa nakwenda kwa Mpemba Kununua vifaa vya ujenzi unalipa milioni moja anakuandikia risiti ya 100,000/= wanasema ya njiani incase umekamatwa na Polisi

Sasa hapo Maana yake huyo kailosesha serikali VAT ya 90% maana kakupa wewe risiti ya only 10% of what you paid....shs 900,000/= nzima serikali haitapata hiyo 20% VAT if not 18%

MAANA yake ni kuwa serikali katika hiyo 900,000 haikukukusanya shs 180,000/= za VAT

Sasa kama ingekuwepo sheria kuwa kila manunuzi yanayozidi shs 10,000/= ni marufuku mfanyabiashara kupokea kwa CASH...serikali ingepata hizo 200,000/= kwa malipo yangu yote ya 1M na sio kuambulia shs 20,000/= tu kwa ile 100,000 tu niliyopewa risiti.

Hii ingewezesha hata serikali kupunguza Value added Taxi (VAT) kutoka 20% hata kuwa 10% tu ili ishawishi watu kulipa zaidi maana kwa kufany hivyo katika 1M yangu kwa 10% itakusanya 100,000 na sitarubuniwa kuikwepa na wafanyabiashara walio mawakala wa kuikusanyia serikali hiyo (VAT).

Kwa sasa ni 20% narubunika kuikwepa ili kuokoa hela na serikalini inaambulia 20,000 tu lakini wakiipunguza kwa 50% na kila mtu akaolipa watakusanya hizo 80,000 zote wanazokosa sasa.

Maana watu wengi huwa hawajui kuwa VAT sio mfanyabiashara ndie analipa hiyo....hapana hiyo ni Value added Taxi yaani wewe mnununi ndio unalipa hilo ongezeko la thamani ununuapo bidhaa na wafanyabiashara wao ni mawakala tu wa kuikusanyia serikali hela hizo.

Hivyo mfanyabiashara hapotezi hela yoyote ile maana ilivyo ni kwa yeye kuweka bei yake ambayo hadi faida yake iko hapo....kwa mfano anauza ngazi kwa shs 20,000/= hapo yeye anajua ngazi kaileta dukani kwa shs 15,000 anaweka faida yake ya shs 5000 hivyo akiuza shs 20,000 yeye kapata hadi faida yake....sasa hapo sasa hiyo 20,000 VAT yake ya 20% ni shs 4000/= hivyo kwa mujibu wa sheria ya VAT itabidi sasa ngazi hiyo aiuze shs 24,000/= ili awe ameikusanyia serikali 20% yake ya VAT kwa bei ya hiyo ngazi.

HILI WATU WENGi hawajui kabisa na pengine hata humu wako watu ndio wanajua Leo how it works..

Sasa basi mfanyabiashara akikupa wewe risiti ya bei ndogo wakati umelipa hela nyingi....yeye ndio anakuwa ANAIOBIA SERIKALI VAT YAKE ambayo wewe masikini mlaji umeilipa kihalali.

Kakuuzia ngazi shs 24,000 kakuchaji na 4000/= VAT hapo hela anayotakiwa kuipeleka TRA wewe hakupi risiti..na wala hudai risiti maana yake yeye ataiba hiyo 4000 ya serikali ya VAT na huku ana ile 5000 faida katika faida yake pangwa maana yake ni kwamba anapata faida sasa ya shs 9000 na serikali imekosa kodi yake

Ndio maana wananchi mnatakiwa kukomesha wizi huu wa wafanya biashara kwa KUDAI RISITI za kieletroniki

Kama ulikuwa hujui hilo basi tambua
Tamaa ya maisha mazuri ndo inawafanya watu waibe mapato ya serikali ila pia jinsi serikali inavyotumia pesa za walipa kodi nayo inawafanya baadhi ya raia kuona ni haki kuiba wakati si sahihi.

Uko sahihi sana ila nadhani hapa bila automation bro, hakuna tiba, wasomi wakae chini wafanye uchunguzi yakinifu then watengeneze system ambayo italimit kwa kiwango kikubwa wizi. La sivyo ni kama kukimbiza upepo usioonekana.
 
Watu wanaongeza mabasi na filling station Esta kama vichuguu, Afro na Olympic zinatawala vichochoro vyote...

Waziri kasema namba E anapishana nazo kedekede kuashiria uchumia umekuwa

Nasikia maharamia ya kisomali yamechachamaa huko, container lafika usd 9000 kutoka usd 6000, mwezi ujao tutaisoma namba wanasema!

Hakuna waziri asiyefanya kufuru kwa sasa...kodi, risiti ili iwe nini?
Yamechachamaa kivipi ?
 
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu.

Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli...

Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali TUNATAKIWA KUTEKELEZA MIRADI YA WATU 61M lakini wanaoilipia ni 3M tu.

Naunga mkono hoja ya Waziri kuwa cashless economy iwe powered na loads of incentives ili ivutie na serikali ipate mapato huko ya wale wasipewa risiti.

Mimi binafsi mara kadhaa nakwenda kwa Mpemba Kununua vifaa vya ujenzi unalipa milioni moja anakuandikia risiti ya 100,000/= wanasema ya njiani incase umekamatwa na Polisi

Sasa hapo Maana yake huyo kailosesha serikali VAT ya 90% maana kakupa wewe risiti ya only 10% of what you paid....shs 900,000/= nzima serikali haitapata hiyo 20% VAT if not 18%

MAANA yake ni kuwa serikali katika hiyo 900,000 haikukukusanya shs 180,000/= za VAT

Sasa kama ingekuwepo sheria kuwa kila manunuzi yanayozidi shs 10,000/= ni marufuku mfanyabiashara kupokea kwa CASH...serikali ingepata hizo 200,000/= kwa malipo yangu yote ya 1M na sio kuambulia shs 20,000/= tu kwa ile 100,000 tu niliyopewa risiti.

Hii ingewezesha hata serikali kupunguza Value added Taxi (VAT) kutoka 20% hata kuwa 10% tu ili ishawishi watu kulipa zaidi maana kwa kufany hivyo katika 1M yangu kwa 10% itakusanya 100,000 na sitarubuniwa kuikwepa na wafanyabiashara walio mawakala wa kuikusanyia serikali hiyo (VAT).

Kwa sasa ni 20% narubunika kuikwepa ili kuokoa hela na serikalini inaambulia 20,000 tu lakini wakiipunguza kwa 50% na kila mtu akaolipa watakusanya hizo 80,000 zote wanazokosa sasa.

Maana watu wengi huwa hawajui kuwa VAT sio mfanyabiashara ndie analipa hiyo....hapana hiyo ni Value added Taxi yaani wewe mnununi ndio unalipa hilo ongezeko la thamani ununuapo bidhaa na wafanyabiashara wao ni mawakala tu wa kuikusanyia serikali hela hizo.

Hivyo mfanyabiashara hapotezi hela yoyote ile maana ilivyo ni kwa yeye kuweka bei yake ambayo hadi faida yake iko hapo....kwa mfano anauza ngazi kwa shs 20,000/= hapo yeye anajua ngazi kaileta dukani kwa shs 15,000 anaweka faida yake ya shs 5000 hivyo akiuza shs 20,000 yeye kapata hadi faida yake....sasa hapo sasa hiyo 20,000 VAT yake ya 20% ni shs 4000/= hivyo kwa mujibu wa sheria ya VAT itabidi sasa ngazi hiyo aiuze shs 24,000/= ili awe ameikusanyia serikali 20% yake ya VAT kwa bei ya hiyo ngazi.

HILI WATU WENGi hawajui kabisa na pengine hata humu wako watu ndio wanajua Leo how it works..

Sasa basi mfanyabiashara akikupa wewe risiti ya bei ndogo wakati umelipa hela nyingi....yeye ndio anakuwa ANAIOBIA SERIKALI VAT YAKE ambayo wewe masikini mlaji umeilipa kihalali.

Kakuuzia ngazi shs 24,000 kakuchaji na 4000/= VAT hapo hela anayotakiwa kuipeleka TRA wewe hakupi risiti..na wala hudai risiti maana yake yeye ataiba hiyo 4000 ya serikali ya VAT na huku ana ile 5000 faida katika faida yake pangwa maana yake ni kwamba anapata faida sasa ya shs 9000 na serikali imekosa kodi yake

Ndio maana wananchi mnatakiwa kukomesha wizi huu wa wafanya biashara kwa KUDAI RISITI za kieletroniki

Kama ulikuwa hujui hilo basi tambua
TRA wenyewe Tax Collectors are not claim tax receipts.

Ibada njema huanzia nyumbani

Waanze wao kwanza kuwa mfano

Den tufate sisi
 
Back
Top Bottom