rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila na mzaha wa kufikirika

    Ndio kwa utashi wangu nimeamua kumpuuza RC huyu wa Dar baada ya kujiridhisha kuwa hastahili nafasi hiyo. ni kubwa sana kwake, ajaribu shughuli nyingine Sina uhakika kama mwamba huyu anayafahamu au amezingatia kuwatumia wanajeshi 8000 kufanya usafi Jan 23 na 24. Kwa sababu:- 1. Wanajeshi 8000...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Mkoa wa Dar es Salaam una ratiba iliyobanana ya siku kadhaa za mwezi January 2024

    15 January 2024 Amesema siku hiyo kama kuna watu watajibadilisha kuwa takataka watabebwa. MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATANGAZA SHUGHULI NYINGI ZA WAZI ZA UMMA ZITAKAZO WATINGA WATENDAJI WOTE HADI MWISHO WA MWEZI https://m.youtube.com/watch?v=i-7HQxxRbbQ Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam RC...
  3. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ombaomba wa Dar waondolewe

    Akifanya mahojiano na East Africa Radio Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Albert Chalamila amesema; "Kuna watu wana zagaa zagaa kwenye Tanzanite bridge, kamateni watu wote wanaokaa kwenye maeneo na walemavu kuombaomba, tumegundua ule ni mtaji wa watu ambao jioni wanakusanya mapato wanawapa kidogo...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA mnalalamikia zoezi la usafi wakati RC Chalamila hajalaumu maandamano yenu?

    CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024. Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama kufanya usafi mkoani kwake tarehe 23-24 January 2024. CHADEMA kila kona mitandaoni wanamlaumu RC...
  5. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia kaelekeza Bonyokwa iongezewe fedha ili maji yatoke Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa...
  6. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mnyonge anafurahia vitu vya ovyo ovyo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo. Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: RC Chalamila anaropoka hovyo kama na kujipendekeza kwa Rais Samia

  8. B

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila - DSM Rasmisheni madanguro kwa kujenga motels na guesthouse siyo vile vibanda

    Mkuu wa mkoa ataka madanguro yawe yenye hadhi na staha badala ya vile vibanda uchochoroni [https://m.youtube.com/watch?v=-L8fJk4mSTk Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam pia azungumzia suala la demand and supply yaani soko na wateja wa biashara ya ngono ilivyo na jinsi ya kwenda nayo RC Albert...
  9. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ladha ya bia inategemeana na mhudumu

    Naunga Mkono kauli hii Kabambe ya RC Chalamila --- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewapongeza wamiliki wa baa na kumbi za starehe kwani uwekezaji wao umetoa ajira kwa watu wengi, na kwamba wakati mwingine ladha ya bia inategemeana na mhudumu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila amechoka kukaa DSM, changamoto zimezidi anatamani kutua mzigo. Kila la kheri kwenye majukumu mapya

    Watu wanaoishi Dar it's an asset to the Government. Lakini kwa RC Chalamila yeye hao ni liability nakwamba anatamani kuongoza watu wasiomtamkia changamoto. Ameelekeza wanaolerwa na jiji la DSM warejee kijijini. Anatamka maneno hayo kipindi ambacho wanaomiliki mwendokasi wamedharau na kuendelea...
  11. JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama unaona Dar kuna foleni hamia kijijini

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini. “Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya RC Chalamila ''Mtu akifia Polisi wanasema polisi kaua, lakini ikiwa ni hospitali ni mipango ya Mungu'' siyo ya kiungwana

    Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya...
  13. JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

    1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam. 2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza 3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya...
  14. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kutakuwa na operesheni maalumu ya kufuta makazi ya panyaroad

    RC Chalamila ameyasema hayo katika mkutano na wananchi wa maeneo ya Chanika alipokutana nao kusikiliza kero zao. Amesema katika utafiti walioufanya, panyaroad wengi wanatoka maeneo ya Chanika na Zingiziwa ambayo yapo wilaya ya Ilala.
  15. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia amewaona waliodandia Treni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiona ‘video clip’ ya abiria wa treni Jijini Dar es Salaam maarufu kama treni ya ‘Mwakyembe’ wakid andia na kuning’inia milangoni usiku. Kutokana na hatua hiyo, RC...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hongera RC Chalamila Kwa utumishi uliotukuka Kwa Kupambana na biashara haramu ya ukahaba, LAKINI.....

    Salaam, Shalom!! Ulichokifanya ni WAJIBU wako kama kiongozi, ila Si vibaya kukupongeza sababu wamekuwapo wakuu wa mikoa wengi tangu uhuru lakini hawakupata mafanikio kama uliyofikia Hadi sasa!! Kongole!!!🙏 Kupambana na biashara ya ukahaba inahitaji mtu kuwa na akili kama ya Mwendawazimu...
  17. JamiiForums Tanzania RC Chalamila aagiza Biashara za 'Massage' zinazokiuka maadili zifungiwe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kuzifungia sehemu zote zinazofanya biashara za masaji ambazo zinakiuka maadili ya Mtanzania ikiwemo zile ambazo zimegeuza maeneo ya masaji kuwa madanguro. “Kwa mfano juzi mmeona kuna lipicha linazagaa la masaji upande wa...
  18. JamiiForums Tanzania RC Chalamila hajawahi kuwa na adabu hata kidogo, Kinachomwokoa kwa sasa ni kuwa yupo Upande wa Pili

    Samia alimwambia Chalamila akue. Ila badala ya kukua amekuwa chawa wa mama. Maneno na matendo yake kama isingekuwa kumsilfia sifia mama. Saivi tungekuwa tunaongea mengine. Kiufupi huyu jamaa ana mdomo mchafu sana by nature ila inategemea anaongelea kuelekezea upande upi.
  19. JamiiForums Tanzania Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote. Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote. Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya...
  20. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

    RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua. Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…