RC Chalamila aagiza Biashara za 'Massage' zinazokiuka maadili zifungiwe

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kuzifungia sehemu zote zinazofanya biashara za masaji ambazo zinakiuka maadili ya Mtanzania ikiwemo zile ambazo zimegeuza maeneo ya masaji kuwa madanguro.

“Kwa mfano juzi mmeona kuna lipicha linazagaa la masaji upande wa Kinondoni uko, kuna lipicha Wadada wanatikisa makalio yao kwenye maji sijui kwenye nini ile yanatoa mapovu nimemwambia RAS naye akaangalie pale atushauri kama Mama maana mimi ningeenda wangesema ametoka uko”

“halafu Limtu linatangaza kabisa, nimemshukuru sana Mheshimiwa Waziri (Gwajima) ame-react kwahiyo nahitaji Wakuu wa Wilaya Madubwasha yote ya aina hiyo ambayo yanakiuka misingi na maadili tuliyonayo mkazifunge zile biashara haraka, mkazifunge zile biashara haraka na mkazifunge kweli”
 
Atuambie hizo picha kazionea wapi kwanza au anatumia VPN ?

images - 2023-08-30T054356.728.jpeg
 
Na zikafungwe kweli,mi lazima taifa letu liwe ni taifa la watu wenye maadili,huu upumbavu wa kisodoma na gomola usiruhusiwe kutangazwa wazi.hata basata pia iwaangalie wasanii na wanamziki,kuna vitu wanafanya vya ajabu kweli,ni vigumu sana mtu mwenye maadili kuviangalia,kuna miziki na maigizo huwezi kuangalia ukiwa na familia yuko.Nia aibu.hivyo chalamila nakuunga mkono.
 
View attachment 2799187
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila @albert_john_chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kuzifungia sehemu zote zinazofanya biashara za masaji ambazo zinakiuka maadili ya Mtanzania ikiwemo zile ambazo zimegeuza maeneo ya masaji kuwa madanguro.

“Kwa mfano juzi mmeona kuna lipicha linazagaa la masaji upande wa Kinondoni uko, kuna lipicha Wadada wanatikisa makalio yao kwenye maji sijui kwenye nini ile yanatoa mapovu nimemwambia RAS naye akaangalie pale atushauri kama Mama maana mimi ningeenda wangesema ametoka uko”

“halafu Limtu linatangaza kabisa, nimemshukuru sana Mheshimiwa Waziri (Gwajima) ame-react kwahiyo nahitaji Wakuu wa Wilaya Madubwasha yote ya aina hiyo ambayo yanakiuka misingi na maadili tuliyonayo mkazifunge zile biashara haraka, mkazifunge zile biashara haraka na mkazifunge kweli”
Naona Mheshimiwa anataka kuudhi wabunge sasa, anataka waende wapi?
 
Tukiita utalii wa ngono ni kosa? Wengine hutembelea huko kujionea hayo mambo hata kama hatuhitaji kukandwakandwa. Vipi na zile saluni za kiume unakuta zina wadada warembo kazi yao ni kukuosha uso na maji ya uvuguvugu kwa kufanyiwa scrubbing na kuwekewa wave kichwani. Mara uoshwe ndevu, mara upakwe mafuta kwa mikono laini ya wanadada hao, hiyo nayo vipi?

Masuala ya kuhamasishana kingono ngono yapo kila dizaini. Kuna wapaka rangi kucha wengi ni wanaume, katika kupaka rangi wanawake wengine hujifanya wamejisahau kupana nguo pale kati na kuachia kabati wazi vyombo vinaonekana, wapaka kucha wanafadhaika sana kuona mitaiti na chupi iliyoshikamana kisawasawa na mapaja yaliyojaa jaa kinenani huku macho hayana pazia.

Mara waone kitumbua hicho kimetuna. Wanafanyiwa maksudi waleweshwe kwa kuona mituno na mwisho watoe ofa ya kupaka kucha bure
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kuzifungia sehemu zote zinazofanya biashara za masaji ambazo zinakiuka maadili ya Mtanzania ikiwemo zile ambazo zimegeuza maeneo ya masaji kuwa madanguro.

“Kwa mfano juzi mmeona kuna lipicha linazagaa la masaji upande wa Kinondoni uko, kuna lipicha Wadada wanatikisa makalio yao kwenye maji sijui kwenye nini ile yanatoa mapovu nimemwambia RAS naye akaangalie pale atushauri kama Mama maana mimi ningeenda wangesema ametoka uko”

“halafu Limtu linatangaza kabisa, nimemshukuru sana Mheshimiwa Waziri (Gwajima) ame-react kwahiyo nahitaji Wakuu wa Wilaya Madubwasha yote ya aina hiyo ambayo yanakiuka misingi na maadili tuliyonayo mkazifunge zile biashara haraka, mkazifunge zile biashara haraka na mkazifunge kweli”
Challama must have his priorities right, aache kukurupuka! Biashara ya ngono ni kongwe duniani , haijawahi kuthibitiwa na kufanikiwa kokote duniani!

Yeye ashuhulike na matatizo yanayowakera wananchi kwa mfano huko Jangwani Beach watu wanateswa na mafuriko ya maji wakati huu wa mvua kwasababu watu wameziba barabara na viongozi wa Kinondoni hawachukui hatua stahiki kuwasaidia : kwa sababu ya hawa matajiri kuwahonga!!

Ingefaa Challamila kutembelea sehemu hizo na kuzungumza na wananchi ili kutatua shida hizi wakati huu wa mvua!
 
Back
Top Bottom