rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Alipouawa Afisa wa TRA patasafishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumzia kifo cha Mtumishi wa Mamala ya Mapato Tanzania (TRA) Amani Kamguna ambaye ameagwa Jumapili, Disemba 8 katika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini Dar es salaam ambapo amesema kifo chake ni hasara kwa Familia na kwa Taifa huku akisema...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Chalamila: Jitokezeni kupiga kura tuepuke siasa za chuki

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza na wanahabari leo, Jumatatu Novemba 25.2024 ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo waliojiandikisha kwenye daftari la mkazi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaowataka. Sambamba...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa Uokoaji maafa ya Kariakoo na siku ya kufungua maduka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni. Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Huu mpango RC Chalamila una lengo gani?, "Nipe Kura moja, nikupe siku tatu za Bata"

    Wakuu Huu mpango wa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam una lengo gani, kwani amezindua Tamasha la siku tatu "Bata la Disemba - End of the year Carnival" lakini ili utokee lazima umpe Kura Moja, kisha yeye akupe siku tatu za Bata.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Chalamila azindua Bata la Disemba, kujipoza na majanga ya Kariakoo "Usije kwenye Bata kama hujapiga Kura Novemba 27"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aonya wanaotumia janga la Kariakoo kutapeli watu, "Sio muda wa kujinufaisha, Kuchuliwa hatua kali"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya baadhi ya Watu wanaotumia janga la kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo kutapeli kwa kuchanganisha michango kinyume na taratibu kuacha mara moja akisema wanaweza kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Pia, Soma: Maafa Kariakoo: Usichangishe...
  8. N

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, Umeshindwa kujifunza kwa Paul Makonda na Petro Magoti?

    Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani. Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Shule ya Ubungo NHC haiuzwi, inaboreshwa

    Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kuwa Shule ya Msingi National Housing iliyopo Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es asalaam inauzwa, kiasi cha kuzua taharuki miongoni mwa wazazi na jamii. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika shuleni hapo kukutana na...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, kuchanganya dini na siasa haikubaliki, ni kufilisika kisiasa

    Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo. Hapo naingia wasi wasi mkubwa kwa kiongozi wa juu kiserikali na kichama.
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila ajiachia kwa kucheza singeli mbele ya Waziri Mkuu Majaliwa

    PIA SOMA - LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Baadhi ya Matendo Polisi hawahusiki. Ulinzi wako sharti ujilinde mwenyewe

    Mheshimiwa waziri mkuu kuna tukio limetokea hapa mwezi uliopita kuna bwana mmoja alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mama mmoja katika kugombana kwao yule bwana kamdanganya yule mama kamchukua akaenda kumchinja na baada ya kuona haitoshi akamcharanga vipande na akaenda kutupa viungo sehemu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Barabara hazijatengenezwa, Bora Tungesaini mkataba bila kuwa na sherehe

    https://www.youtube.com/watch?v=_u-grci0Q9Q Akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila amesema ucheleshwaji wa maboresho ya Barabara unaoendelea hauna taswira nzuri kwa kuwa mikataba ilisainiwa na sherehe ikafanyika. Anasema “Tulisaini mkataba na...
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila awataka Wananchi kwenda kupima Homa ya ini bure viwanja vya Sinza Darajani

    MAADHIMISHO YA SIKU YA HOMA YA INI KITAIFA KUFANYIKA DAR ES SALAAM -RC Chalamila awataka wakazi wa Mkoa huo na watanzania kujitokeza kwa wingi -Asema maadhimisho hayo yanaanza Julai 25 hadi 28,2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ametoa taarifa kwa umma...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila ameongoza viongozi na mamia ya wananchi wa Mkoa, katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa wa Tanzania

    RC CHALAMILA AONGOZA VIONGOZI NA MAMIA YA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA-DSM. -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kama huwezi kuishi kota za Magomeni, hamia Vingunguti

    Kila siku naona malalamiko kwenye ofisi yangu kutoka kwa wakaaji wa Magomeni kota mara wanalalamika bili ya Maji ni kubwa wameshindwa kulipa wengine wanalalamika kwamba bili ya taka imekuwa kubwa wakati hizo taka wanazalisha wenyewe hii inaonesha wameshindwa kukaa kwenye hizo kota. Nashauri...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China

    RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF...
  19. Girland

    JamiiForums Tanzania Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Machinga wa Simu2000, hata kususia na kuondoka kwenye huo mkutano wa Chalamila mlishindwa?

    RC Chalamila amewafokea na kuwatweza machinga wa Simu2000 mpk wakatia huruma. Wamama na akina baba watu wazima wakawa wanaambiwa "washenzi" na "wapumbavu" lkn cha ajabu machinga hao wakashindwa hata kususia huo mkutano na kumuacha Chalamila na kamati yake. Hivi watanzania ni lini mtaamka? Nani...
Back
Top Bottom