rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China

    RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF...
  2. Girland

    JamiiForums Tanzania Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Machinga wa Simu2000, hata kususia na kuondoka kwenye huo mkutano wa Chalamila mlishindwa?

    RC Chalamila amewafokea na kuwatweza machinga wa Simu2000 mpk wakatia huruma. Wamama na akina baba watu wazima wakawa wanaambiwa "washenzi" na "wapumbavu" lkn cha ajabu machinga hao wakashindwa hata kususia huo mkutano na kumuacha Chalamila na kamati yake. Hivi watanzania ni lini mtaamka? Nani...
  4. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aagiza Majina ya Wafanyabiashara 891 yaondolewe kwenye mtandao wa Shirika la Masoko Kariakoo kupisha Uchunguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ameagiza kuondolewa majina 891 ya wafanyabiashara yaliyowekwa kwenye mtandao wa Shirika la Masoko Kariakoo mpaka pale vyombo vya dola vitakapojiridhisha na majina hayo. Hatua hiyo inakuja baada ya wafanyabiashara zaidi ya 800 waliokuwepo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila atoa maelekezo mahususi ukanda wa kibiashara Kariakoo

    -Ataka kutekelezwa haraka kwa maelekezo yake ili kufikia adhima ya serikali kufanya biashara saa 24 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 10,2024 amefanya kikao na viongozi wa wafanyabiashara pamoja na viongongozi wa Serikali, Taasisi, Mashirika na wataalam kutika ofisi...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila umetuumbua wengi, tuliamini Dar es Salaam hutaiweza

    Kiongozi CHALAMILA kipindi anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akitokea mkoa wa Kagera wengi TULIAMINI kwamba hataiweza Dar. Ila naona hekima yake Iko juu sana Anavyosuluhisha migogoro na changamoto za Dar Yuko vizuri mno. Dar imetulia hakuna panya road, migogoro ya machinga, up...
  7. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 utafanyika katika Mitaa yote 564

    Uchaguzi utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Jiji la Dar ikiwa na Mgawanyo wa Wilaya ya Ilala Mitaa 159, Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90. Hatua zinazoendelea ni pamoja na Maandalizi ya Vifaa vya Uchaguzi, Uhakiki wa Vituo vya kuandikishia Wapiga kura...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Amana wa Bilioni 3. Huduma ua Kangaroo kuwa bora zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu. Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara asimama kidete dhidi ya Chalamila, tusije kusikia amechukuliwa na watu wasiyojulikana

    Wakuu, angalieni wenyewe hapa kijana alivyomkazia RC Chalamila, amwambia Chalamila unakuja kututisha kwenye maduka yetu kisa tumefunga, akishikilia msimamo wake wa kutofungua duka lake. Pale Chalamila alipoambulia kuzomewa. Tusije kusikie kachukuliwa na watu wasiyojulikana au kapata ajali...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila: Nimeacha ubabe

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa. Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Amuaomba RC Chalamila apunguze doria za Usiku

    Waziri wa Habari Nape Nnauye amemuomba RC Chalamila apunguze zile doria za usiku kwa siku ya leo, Juni 18, 2024 kwa kuwa wadau wa habari watakuwa na mchapalo usiku wa leo. Nape amesema hayo kwenye kongamano la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika Mlimani City. Kwasiku za karibuni wilaya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais amesema tuache uongozi wa kibabe

    RC Chalamila amesema wameaswa na rais Samia kuwa na uongozi mzuri usiokuwa wa kibabe. Amesema yeye ameshaacha ubabe. Chalamila ameyasema hayo kwenye kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari yanayofanyika Mlimani City ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia. Chalamila amesema hadi sasa barabara...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ukiona una miaka 40 na huna hela, usimlaumu Rais wa Jamhuri

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, bwana Chalamila akiwa Ikulu leo amesema ukijiona una miaka 40 au zaidi na huna hela usimlaumu Rais kwani unakuwa umezaliwa wakati wa Mwalimu na katikati vimepita vipindi vingi vya uongozi, akidai kwanini alaumiwe mtu mwenye miaka mitatu kwenye uongozi. Chalamila amesema...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila hapa anamaanisha nini?

    Aliyemuelewa atueleweshe na sisi wengine Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka watendaji wa mkoa huo kufanya kazi kwa uweledi ili watakapoondoka waache heshima kutokana na utendaji wao. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Pia amewataka kuhakikisha miradi yote ya maendeleo...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Kama una miaka 40 na hauna pesa usimlaumu Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia. Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo hapa RC Chalamila alihalalisha watu kuua tena, aagiza Polisi wafanye hilo waziwazi

    “Ukikuta kijana ameingia ndani kwa kuvunja dirisha ujue kuna mambo mawili ameyadhamiria. Jambo la kwanza amedhamiria kuiba na jambo la pili amedhamiria kuua na jambo la tatu amekubali kuuawa. Naomba nisisitize, jambo la tatu amekubali kuuawa, naomba nirudie, jambo la tatu amekubali kuuawa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila akicheza singeli

  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wakazi wa Dar kuzoa takataka ni ajira

    Wanchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuchangamkia fursa ya Takataka zilizopo kwenye mitaa yao, kwani zinaweza kuwa chanzo cha mapato na kuondokana na tatizo la ajira ambalo ni janga kwa watu wengi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati anafanya ukaguzi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni

    Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye. Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa...
Back
Top Bottom